Tanzania ni moja kati ya nchi zinazopiga hatua katika maendeleo kwenye nyanja mbalimbali barani Afrika. Ni nchi iliyojaliwa raslimali nyingi kama madini, maji, misitu, mbuga za Wanyama na watu...
Kariakoo ni soko kubwa Afrika mashariki na kati kutokana na haswa ikichagizwa na ubora wa bandari yetu ya Dar es salaam kupitisha asilimia kubwa ya mizigo yote kwa Afrika mashariki na kati.
Soko...
Kiukweli watumishi watumishi wa umma na wale wa sekta binafsi wanakubwa na changamoto nyingi sana za kiutumishi,kijamii,kisiasa na kiuchumi pia suala hili serikali isipolipa uzito mapema matokeo...
Tanzania ni nchi iliyo barikiwa sana ilikuifikia Tanzania tuitakayo ,ningependa kutoa maoni yangu katika secta ya madini Nchi yetu ina madini ya kutosha hususani madini ya chuma yanayo patikana...
Taasisi ya elimu ingeandaa masomo ya kizalendo kwa watoto sio ti stadi za kazi.Watoto wanabidi wafundishwe uzuri wa nchi yao na pia kupenda nchi yao maana ndio urithi wao ni kazi yao kuilinda...
Watanzania tunapopatwa na changamoto fulani, wengi wetu huishia kulalamika tu, badala ya kuchukua hatua. Hali hii imefanya watesi wetu kuzidi kutuonea Kwa sababu hata wao wanajua Kuwa hatutochukua...
Tunajua kwamba elimu ni kitu ambayo tunaenda kuongeza maarifa na kufungua akili zetu.Pale ambapo akili za kawaida zinaishia ukiongezea na za elimu basi tunaweza kuvuka kona nyingine.Lakini elimu...
Katika ulimwengu unaobadilika kwa kasi, Tanzania ina nafasi ya kipekee ya kuibuka kama kiongozi wa maendeleo endelevu barani Afrika. Ili kufikia azma hii, ni muhimu kuwekeza katika ubunifu na...
"Tanzania tuitakayo kwa miaka 5 hadi 25" Katika mapambano dhidi ya rushwa na utawala bora
UTANGULIZI
Mfumo wa data wazi ni mfumo ambao unaruhusu ufikiaji wa data na taarifa bila vikwazo au...
Tanzania is a nation with the merger of Tanganyika and Zanzibar, where the merger took place in 1964, Tanzania has been making various efforts to achieve a middle-class economy, including...
Tanzania inakabiliwa na fursa na changamoto nyingi katika juhudi za kujenga taifa imara na lenye maendeleo endelevu. Katika miaka kumi hadi kumi na tano ijayo, mkazo mkubwa unatakiwa kuwekwa...
Tanzania, yenye utajiri mkubwa wa vyanzo vya maji kama mito mikubwa na maziwa, bado inakabiliwa na changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji safi na salama kwa wananchi wake. Licha ya rasilimali...
Tanzania kwa kiwango cha uchumi tulichopo kuna haja kubwa ya kufungua na kutoa uhuru kwa wananchi kujishughulisha na kazi yoyote ilmradi haigharimu taifa kiuchumi.
Kiu kubwa ni kuwepo kwa mianya...
Afya ni ile hali ya mwili, akili, na kijamii kuwa sawa. Ni muhimu kujali afya kwa kula vizuri, kufanya mazoezi, na kupata muda wa kutosha wa kupumzika ili mtu aweze kuwa na afya njema. Hili mtu...
UTANGULIZI
Kumekuwa na changamoto kubwa sana katika sekta yaAfya hususani kitengo chakusafirishia wagonjwa kwa kutumia Ambulance, hii ni kutokana na gharama ya usafirishaji kuwa juu zaidi na...
KWANZA AWALI YA YOTE NAMSHUKURU MUNGU KWA AMANI NA NEEMA ALIYOTUPA SISI KAMA TAIFA LAKINI YAFUATAYO NI MITAZAMIO YA MIAKA 5 HADI 25 NTAKAYOCHANGIA;-
1. Kulingana na mtazamo wangu miaka ijayo...
Tukisema mtoto ni taifa la kesho iwe Ina maanisha Kwa vitendo Kwa wadau wazazi mpka serikali yenyewe.
Ifike mahali wataalam waafya watoe masomo ya mlo kamili Kwa kina mama wajawazito wapo kliniki...
Utangulizi
"Tanzania Tuitakayo" ni kauli mbiu inayolenga kuleta mabadiliko chanya kupitia mijadala na fikra bunifu kwa ajili ya mustakabali wa nchi yetu. Katika kipindi cha miaka 5 hadi 25 ijayo...
Maendeleo ni Jambo linalohitaji Jitihada kubwa na jumuishi katika Sekta Muhimu kama vile ELIMU, UTALII, VIWANDA, AFYA, SAYANSI NA TEKNOLOJIA
Kwa Uhakika Suala la maendeleo ni mchakato wa muda...
Tanzania Ijayo bila Watoto wa Mtaani: Mwelekeo Sahihi wa Kitatuzi
Kadiri siku zinavyokwenda idadi ya watoto wa mtaani inazidi kuongezeka. Ongezeko lao linatishia mustakabali wa nchi kwa sababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.