Stories of Change 2024

Awamu ya Nne. Tanzania Tuitakayo: Maudhui yanayolenga kuibua fikra tunduizi au mawazo mbadala kuelekea miaka 5 hadi 25

On JF:

1 Vote
Elimu na teknolojia ni misingi muhimu katika kuleta maendeleo endelevu katika taifa lolote. Katika muktadha wa Tanzania, uwekezaji katika elimu kwa kutumia teknolojia unaweza kuwa kichocheo...
0 Reactions
0 Replies
362 Views
Upvote 1
1 Vote
KUJITEGEMEA KWA NAFASI ZA AJIRA ZINAZOPATIKANA KUTOKEA KWA WATUMISHI WALIOSTAAFUU NA WALIOFARIKI. Kupata kazi au ajira baada ya kumaliza masomo imekuwa ni ndoto ya kila msomi, lakini katika karne...
0 Reactions
0 Replies
354 Views
Upvote 1
1 Vote
Huu ni mradi bunifu wa kuitangaza Tanzania kwa njia ya vitabu, kwamba vitabu vinavyohusu hadithi na matukio ya kitalii, vivutio, wanyama pekee, picha za maeneo ya kitalii vitakuwa katika simulizi...
0 Reactions
1 Replies
362 Views
Upvote 1
1 Vote
TANZANIA TUITAKAYO KUTANGAZA UTALII KWA NJIA YA KADI. Huu ni ubunifu wangu kwenda sekta ya utalii Tanzania kwa kutumia kadi ya mwaliko, Je kadi mwaliko ni nini? Ni kadi maalum itayotolewa au...
0 Reactions
0 Replies
414 Views
Upvote 1
3 Votes
Toka mtandaoni UTANGULIZI Nchini Tanzania, Swala sio kutoa elimu juu ya umuhimu wa elimu, wala kutumia nguvu kubwa katka kunadi sera za elimu pekee bali tunahitaji kufanya mchunganuo na...
1 Reactions
0 Replies
423 Views
Upvote 3
1 Vote
UTANGULIZI. Ubinifu wa teknolojia umeendelea kushika kasi dunia huku gunduzi za teknojia mbalimbali zikigunduliwa kwenye nyanja mbalimbali ikiwemo mawasiliano, elimu, afya, usafiri za uzalishaji...
0 Reactions
0 Replies
451 Views
Upvote 1
1 Vote
HALI ILIVYO NA MAMBO YA KUANGAZIA: Bado kuna ombwe kubwa la kutofautiana katika ujuzi na maarifa miongoni mwa baadhi ya wahitimu wa vyuo tofauti waliosomea shahada zinazoshabihiana. Aidha...
0 Reactions
0 Replies
360 Views
Upvote 1
0 Votes
TANZANIA TUITAKAYO Niingie katika lengo la andiko langu moja kwa moja; Katika jamii yetu na Taifa kwa Ujumla, kumekuwepo Malalamiko mengi juu ya Akina Mama Wajawazito pindi waendapo kujifungua...
0 Reactions
0 Replies
258 Views
Upvote 0
3 Votes
MIPANGO MINNE YA MAENDELEO YA KIUCHUMI TANZANIA. Je! Uchumi wa Tanzania wa sasa unafanana na ule wa Tanzania ya mwaka 2015? Jibu ni HAPANA! Hivi sasa ni mwaka 2024, kwenye kalenda ya serikali...
3 Reactions
1 Replies
257 Views
Upvote 3
0 Votes
Uongozi wa Edeni Rushwa kama upepo wa kusi, inavuma kwa kasi, Inakita mizizi kila kona, inaibomoa Edeni, Kila mtaa kila kijiji, maendeleo yanabuma, Watu wanasaga meno na kulia, haki haipatikani...
0 Reactions
0 Replies
284 Views
Upvote 0
1 Vote
Hivi karibuni (Mwezi Juni 2024) wakati Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano waTanzania, Tulia Ackson akitangaza maamuziya kumsimamisha Mbunge Luhaga Mbinakushiriki vikao 15 vya Bunge pamoja...
0 Reactions
0 Replies
276 Views
Upvote 1
1 Vote
UTANGULIZI Kumekuwa na changamoto nyingi zinazo wakabili vinaja wabunifu nchi nifurahi kuleta wazo hili kwa mara ya kwanza kama mtu ninayependa kushauriana nawe katika maana ya kuleta maendeleo...
1 Reactions
0 Replies
435 Views
Upvote 1
1 Vote
Kupata kazi ni haki ya kila raia mwenye sifa STAHIKI kwa miongozo ya kitaifa na kimataifa. Sifa kubwa ni kuhitimu katika fani inayotakiwa sokoni kutoka kwenye vyuo vinavyotambulika na mamlaka za...
1 Reactions
0 Replies
595 Views
Upvote 1
1 Vote
Huu ni mradi bunifu wa kuitangaza Tanzania kwa njia ya vitabu, kwamba vitabu vinavyohusu hadithi na matukio ya kitalii, vivutio, wanyama pekee, picha za maeneo ya kitalii vitakuwa katika simulizi...
0 Reactions
0 Replies
379 Views
Upvote 1
1 Vote
Nchi yetu Tanzania, ni fahari ya Watanzania, Lazima tujue mipaka, na tusifanye mzaha, Siasa iwe njia, njia ya kuleta ufanisi, Lakini taaluma iheshimike, na isiburuzwe na siasa. Uongozi bora ni...
0 Reactions
0 Replies
324 Views
Upvote 1
4 Votes
Bila mapinduzi ya elimu, Tanzania tuitakayo ni ndoto ya mchana Yapo mengi ninayoyataka nchini kwetu lakini, hatimaye, Tanzania tuitakayo itajengwa na watoto na vijana wetu na waitakayo wao. Na...
0 Reactions
0 Replies
401 Views
Upvote 4
1 Vote
Tunafahamu kuwa kilimo ndiyo sekta kubwa hapa nchini Tanzania ambayo imeajiri watu wengi sana kuliko sekta yoyote nchini hivyo basi ili wananchi wajikwamue kupitia sekta hii muhimu kabisa ni...
0 Reactions
0 Replies
379 Views
Upvote 1
1 Vote
Bila shaka ni kwamba tunahitaji dira ya maendeleo itakayotuongoza kwa kipindi cha muda fulani,ili kufikia Malengo thabiti yenye maslahi mapana kwa nchi. je tuna sera imara ambazo zitawabana...
0 Reactions
0 Replies
322 Views
Upvote 1
5 Votes
Ni wazi kwamba Ajira kwa vijana imekuwa ni kilio kwa kila Familia hapa nchini. Na hata kuwa Agenda/Fursa kwa wanasiasa pia. Ila mwiba wa hicho kilio kinapaswa pia kianzie na sera madhubuti...
1 Reactions
2 Replies
620 Views
Upvote 5
1 Vote
Wizara ya Elimu Tanzania
0 Reactions
0 Replies
262 Views
Upvote 1
Back
Top Bottom