Utangulizi
Kumekuwa na harakati nyingi za kutetea haki za mtoto wa kike ambazo chimbuko lake ni kuwepo kwa mfumo ambao ulimpa kipaumbele mtoto wa kiume (Mfumo dume). Mfumo huu ulijengeka na kuwa...
'MASINGO MAZA NA MASINGO FATHER', MAYATIMA WAPYA WANAOHITAJI KITUO CHA MALEZI CHA TAIFA.
Ndugu zangu, Idadi ya MASINGO MAZA, inatishia uhai wa KIZAZI KIJACHO. Hivi sasa tunaanda KIZAZI ambacho...
BARAZA LA MAADILI LA TAIFA KULINDA KIZAZI KIJACHO.
Suala la maadili, ni hoja mtambuka, ni suala nyeti katika jamii lenye kubeba taswira ya aina ya jamii tuliyonayo. Maadili sio kama wengi...
Title: Strategies to Curb Global Warming in Tanzania.
Introduction:
The United Nations (UN) 17 sustainable development goals (SDGs) which in September 2015 were agreed by world leaders aim at...
KUWEKEZA KWA WALIMU WA MASOMO YA SAYANSI NA HISABATI ILI KUFANYA MAPINDUZI YA SAYANSI.
Kufanya mapinduzi ya Sayansi na teknolojia serikali inapaswa kuwekeza kwa Walimu wa masomo ya Sayansi na...
Karibia sekta nyingi za umma hazitumii mifumo thabiti katika kukabiliana na upotevu wa fedha na rushwa kwa namna tofauti licha ya maendeleo makubwa ya tehama kwa kiasi kikubwa nchini na hata...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imejidhatiti kikamilifu katika kupigania usawa wa kijinsia kati ya watoto wa kike na wale wakiume. Lakini kwa siku za hivi karibuni serikali imejenga...
Sekta ya habari na mawasiliano ni sekta muhimu sana katika taifa lolote linalohitaji maendeleo. Kwa kuwa sekta hii inahusisha kukusanya taarifa mbalimbali,kuzichakata na kuzihariri na baadaye...
Mashindano ya UMISSETA na UMITASHUMTA hufanyika kwenye ngazi ya shule ya msingi pamoja na sekondari ikijumuisha michezo mbalimbali kama vile soka, netiboli, mpira wa mikono, nk, ambapo mashindano...
Binadamu wanamahitaji makuu matatu - chakula/kinywaji, mavazi na makazi. Nyumba sio anasa, bali ni moja ya mahitaji muhimu yanayochochea amani na utulivu, ukuaji wa kiuchumi pamoja na heshima...
Ni mwaka 2034. Tanzania imebadilika kabisa, ikiwa na miundombinu ya kisasa ya mawasiliano na uchukuzi inayotumia teknolojia za hali ya juu. Haya yote yalianza na maono thabiti na mipango kabambe...
Utangulizi
Kumekua na kero Kadhaa kwenye matumizi ya simu kufanya miamala ambayo huwa inajitokeza na kuchukuliwa kama changamoto ya kawaida bila mamlaka husika kuchukua hatua kutatua kero .Kwa...
Utangulizi
Ukuaji wa tenolojia ya mawasiliano na tehama nchini pamoja na ongezeko kubwa la watumiaji wake unazidi kuleta hofu kubwa kwa jamii juu ya maudhui yasiyofaa yanayopatikana hasa kwenye...
Sekta ya Elimu nchini Tanzania ni miongoni mwa sekta muhimu ambapo watu wanapata maarifa na ujuzi unaowasaidia kuondoa ujinga, kuwa wasomi na watu wanaoleta mabadiliko Chanya nchini. Sekta hii...
Somo la kilimo (Agricultural sciences) ni miongoni mwa masomo yanafofundishwa katika elimu ya sekondari pekee kama somo ambalo mwanafunzi anachagua kusoma. Kutokana na umuhimu wa somo hili na tija...
Utangulizi
Vyeti vya kuzaliwa ni nyaraka muhimu zinazothibitisha hali ya kisheria ya kuzaliwa kwa mtu na zina umuhimu mkubwa katika maisha ya kila siku.Katika Tanzania mchakato wa kupata vyeti vya...
KIKOSI MAALUMU CHA UFUATILIAJI NA UTEKELEZAJI.
Serikali iunde kikosi maalum cha kufuatilia utekelezaji na uwajibikaji wa watumishi serikalini na sekta binafsi. Kutokana na watanzania wengi kuwa...
Baraza la sanaa la Tanzania linahusika kwenye ukaguzi wa maudhui ya sanaa pamoja na utoaji wa hakimiliki ya kazi za sanaa za wasanii wa Tanzania. Baraza hili limekua likijitahidi kuhakikisha...
MUAROBAINI WA MAENDELEO YETU NI NISHATI.
Tanzania tume pata uhuru wetu mwaka 1961 na katika kipindi hicho ni mikoa miwili tu ilio kuwa na umeme wa uhakika mbayo ni Tanga na Dar Es Salaam. Tanga...
Ufanisi na ufikiaji wa huduma za serikali ni muhimu kwa maendeleo ya kitaifa. Tanzania ni taifa lenye uwezo mkubwa wa kufanya huduma za kidijitali ili kuimarisha ufanisi, uwazi na ufikiwaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.