Stories of Change 2024

Awamu ya Nne. Tanzania Tuitakayo: Maudhui yanayolenga kuibua fikra tunduizi au mawazo mbadala kuelekea miaka 5 hadi 25

On JF:

3 Votes
Tanzania imepiga hatua kubwa katika sekta ya afya, hususan katika huduma za matibabu ya kibingwa na ubingwa bobezi. Huduma hizi zinahusisha upasuaji wa moyo, upandikizaji figo, upandikizaji uroto...
2 Reactions
1 Replies
558 Views
Upvote 3
2 Votes
Ajali nyingi zikitokea huwa tunasema ni uzembe wa dereva mm sikatai Kuna muda ni kweli ila Kuna muda nakata sio uzembe wa dereva Bali ni uzembe wa mmiliki wa hicho chombo.nitatoa vitu vinavyo weza...
1 Reactions
1 Replies
286 Views
Upvote 2
1 Vote
Akili bandia (Artificial Intelligence.) Habari! Kila zama kuna bunifu kubwa zinafanyika duniani ili kurahisisha maisha ya mwanadamu na mazingira yake kama siyo kutatua changamoto zinazomkabili...
1 Reactions
1 Replies
312 Views
Upvote 1
4 Votes
Stories of change. Maoni yangu kuhusu Tanzania tuitakayo, napenda kuyaelekeza kwa kiasi kikubwa katika Wizara ya Elimu, maendeleo ya Sayansi na teknolojia. Katika kuiboresha Wizara hii naishauri...
2 Reactions
2 Replies
443 Views
Upvote 4
123 Votes
1.0 UTANGULIZI KIONGOZI Ni mtu mwenye dhamana ya kusimamia kundi fulani la watu yeye akiwa mstari wa mbele kama muwakilishi wa kundi hilo katika jambo fulani. Kiongozi hupatikana kwa namna...
7 Reactions
3 Replies
1K Views
Upvote 123
4 Votes
Utangulizi Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizo na utajiri wa madini, tanzanite, dhahabu, rubi, fedha (silver), chuma, almasi, na nikeli. Hoja hii inagonga vichwa tuishie kuorodhesha utajiri...
0 Reactions
2 Replies
733 Views
Upvote 4
6 Votes
Sayansi na teknolojia kwa mwanamke zina umuhimu mkubwa hasa kumpa fursa ya kujitegemea, kuwa na ushawishi katika jamii na kujenga mustakabadhi bora. Pia sayansi na teknolojia inaweza kuondoa...
0 Reactions
2 Replies
633 Views
Upvote 6
6 Votes
Hapa kuna maelezo kuhusu mbinu nne za kisayansi za kukuza sekta ya uvuvi pamoja na mifano ya kila moja: 1. Utafiti wa Mabadiliko ya Mazingira ya Bahari: Utafiti wa kisayansi unaweza kusaidia...
1 Reactions
2 Replies
389 Views
Upvote 6
4 Votes
The Tanzania We Aspire To: A Vision for the Next 5-25 Years Introduction As Tanzania stands at the cusp of its potential, there lies a pressing need to envisage and articulate a future that...
0 Reactions
1 Replies
406 Views
Upvote 4
1 Vote
Tanzania, is a vibrant nation on the East African coast, is known for its rich cultural heritage, stunning landscapes, and diverse wildlife. However, when it comes to its political landscape, the...
0 Reactions
1 Replies
459 Views
Upvote 1
0 Votes
SAVE A WOMAN SAVE ALL GENERATIONS Among 100,000 women in Tanzania 11 women have experienced gender based violence at some point in their life, According to Global 2013,35% of women worldwide have...
0 Reactions
1 Replies
352 Views
Upvote 0
62 Votes
Mwaka 2014, Benki ya Maendeleo ya Afrika iliandaa kongamano lililofanyika nchini Rwanda ambalo nilipata abra ya kusikiliza. Kongamano hilo, lilikuwa linafanya kumbukizi ya kila mwaka ya Benki ya...
16 Reactions
6 Replies
2K Views
Upvote 62
4 Votes
## UChawa na Ulevi wa Madaraka Unavyochangia Kutokuwa na Uongozi Bora kwa Taifa la Tanzania Uchawa na ulevi wa madaraka ni miongoni mwa changamoto kubwa zinazoathiri uongozi bora katika mataifa...
0 Reactions
2 Replies
352 Views
Upvote 4
2 Votes
Tanzania kama nchi inayoendelea kiuchumi, sekta ya uvuvi ni miongoni mwa sekta muhimu inayochangia ustawi na ukuaji wa pato la Taifa, ikiwa ni sekta inayotoa ajira nyingi rasmi na zisizo rasmi kwa...
1 Reactions
2 Replies
573 Views
Upvote 2
1 Vote
Kwenye miti hakuna wajenzi nadhani umesikia huu msemo mara kadhaa,Kwa tafsiri ya kimsingi ni kuwa, kuna namna saa zingine kunakuwa na nyenzo pasi uwezo. Msemo huu hudhaniwa pia kuwa ni kitu...
0 Reactions
1 Replies
372 Views
Upvote 1
3 Votes
Mara baada ya kupata uhuru baba wa taifa hayati Mwl. JK Nyerere aliainisha na kutangaza maadui wakubwa wa taifa letu. Mwl. JK Nyerere alitangaza maadui wa taifa kuwa ni maradhi, umaskini na...
1 Reactions
1 Replies
303 Views
Upvote 3
5 Votes
Kilimo ni shughuli ya uzalishaji wa mazao kwenye mashamba ambayo inajumuisha uzalishaji wa mimea, ufugaji wa wanyama, na uvuvi wa samaki. Kilimo hulenga kuzalisha chakula, malighafi za nguo, na...
0 Reactions
3 Replies
695 Views
Upvote 5
2 Votes
Utangulizi Katika kuiona Tanzania ya baadae yenye wananchi wenye nguvu na afya ni lazima tuweke kipaumbele cha upatikanaji wa huduma za afya kwa wananchi wote. Wazo moja la kiubunifu ambalo...
1 Reactions
1 Replies
545 Views
Upvote 2
1 Vote
Tanzania Tuitakayo, Tanzania Tunayostahili Elimu Katika kuunda Tanzania tunayoitaka, elimu inapaswa kuwa msingi wa maendeleo yetu. Serikali lazima ijikite katika kuboresha shule zilizopo na...
0 Reactions
1 Replies
403 Views
Upvote 1
114 Votes
Utangulizi Kumekuwa na harakati nyingi za kutetea haki za mtoto wa kike ambazo chimbuko lake ni kuwepo kwa mfumo ambao ulimpa kipaumbele mtoto wa kiume (Mfumo dume). Mfumo huu ulijengeka na kuwa...
20 Reactions
29 Replies
2K Views
Upvote 114
Back
Top Bottom