Baada ya uongozi kuwafukuza wanaojitafutia rizki kwa kuuza vitu mbali mbali na mitaji midogo, isiyozidi dola 10,
uongozi wao ulidai umewatengea maeneo ya biashara, kuzuia uwepo wao barabarani. Cha...
Imetimia miaka nane, kwenye kata anayoinongoza, hakuna mtoto wa kike aliebeba mimba bila ndoa.
Aliweka utaratibu usio wakawaida kuweza kuhamia katika eneo analoongoza.
Ana fomu ya kila raia...
1. Ghost
2. Poetic Justice
3. The Idea of you
4. The Notebook
5. Titanic
6. Pride and Prejudice
7. You've Got mail
8. Meet the Parents
9. When Harry Met Sally
10. The Breakup
Je, una...
Rwanda na DRC, siku za nyuma wamesaini makubaliano ya awali, kusitisha vita vinavyoendelea kati ya DRC na M23.
Rwanda imekuwa ikihusishwa na kuisaidia M23, huku Rwanda ikiituhumu DRC kuwapa msaada...
Baada ya dili la Uingeleza kugonga mwamba, serikali ya rwanda imekili kuwa ipo kwenye mazungumzo na serikali ya marekani, kupokea wahamiaji haramu,wanaokimbilia nchini humo, kusaka riziki...
Wanawake nyie, shauri zenu.
Unaenda kwa mtu wako, unaongozana na rafiki yako. Rafiki yako huyo, kumbuka wewe hujakamilika kila idala.
Sasa basi, mtu wako huyo huyo atagundua rafiki yako ana kitu...
Igisirikare cy’u Rwanda cyatangaje ko abasirikare batatu bari mu butumwa bwo kurwanya ibyihebe mu Ntara ya Cabo Delgado, bishwe baguye mu gico batezwe, abandi batandatu bagakomereka. Byabaye ku wa...
Akiwa na bangili za serikali, Bwana Erasme Ntazina amefikishwa mahakamani, jijini Kigali kujibu tuhuma zinazomkabili.
Pichani, ni mchepuko wake, inaosemekana, kwenye hafla ya kuweka mashudu ya...
Mu gihe ubuhahirane hagati y'ibihugu bituranyi ari inkingi ya mwamba ku batuye impande zombi, mu minsi ishize, igihugu cya Malawi, cyafashe umwanzuro wo guhagarika ibikomoka ku buhinzi byose biva...
https://irembo.gov.rw/home/citizen/all_services
Taasisi ya irembo, kwa muda sasa, imekuwa miongoni mwa watoa huduma wazuri mtandaoni, toka walipoanzisha mfumo wao miaka zaidi ya nane iliyopita...
Trump, rais wa marekani, alisema DRC inapigana na Rwanda.
Congo ina rasilimali nyingi sana, ambapo inasemekana ndo nchi tajiri duniani kwa madini.
Lakini, haina jeshi la kuilinda. Mjirani wenye...
Pichani, ni badhi ya malori yaliyobeba silaha za SAMIDRC kuelekea Tanzania. Hapo ni kwenye kambi moja ya SAMIDRC nchini DRC,mashariki mwa nchi hiyo. Jumla ya lori 41 ndo zimetoka kuelekea Chato.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.