Rwanda Forum

Murakaza neza ku rubuga rwa JamiiForums. Nezerwa n'amakuru n'ibiganiro bitandukanye mu rurimi rw'ikinyarwanda
Jijini Kigali, ni zaidi ya mwaka sasa mabasi yatumiayo umeme kuanza kutumika jijini humo. Ni katika jitihada za nchi hiyo kupunguza uchafuzi wa mazingira. Zilikuja zikifata pikipiki amazo ni...
1 Reactions
1 Replies
193 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara, linamshikilia Samwel Emmanuel maarufu Nzaliya (20) mkazi wa kijiji cha Nata Wilaya ya Serengeti kwa tuhuma za mauaji ya Josephina Magani( 52). Kwa mujibu wa Taarifa...
0 Reactions
1 Replies
144 Views
Baadhi yenu mlifikiri hao makadinari wanaweza kupiga kura ya kumchagua Papa kutoka Africa? Kweli kabisa mliruhusu wendawazimu wa fikra uwaongoze kuwaza hivyo? Africa kuwa na papa mweusi hiyo...
0 Reactions
3 Replies
256 Views
Watanzania wenye shahada za ualimu, mnaferi wapi kuomba kazi za kufundisha kiswahili? Rwanda kwa sasa inatambua lugha ya Kiswahili kama moja ya lugha zinazokubalika nchini. kwa bahati mbaya...
0 Reactions
1 Replies
279 Views
Jeshi la Congo halijambo
0 Reactions
1 Replies
119 Views
Si vingine, ni : 1. Waya wa umeme ulio uchi 2. Mwanamke alie uchi
0 Reactions
1 Replies
126 Views
Hivi, hujawahi jiuliza kwa nini baada ya kujikuna njia ya haja kubwa inapokuwasha,kuna sauti inayokusihi kunusa kidole!?
0 Reactions
1 Replies
144 Views
Kumshawishi mwanamke aliekutembelea ghetto, kuhama toka sebuleni mpaka chumbani, si kazi ndogo, yahitaji ufanisi wa hali ya juu.
0 Reactions
2 Replies
109 Views
Kwingine raha sana. Chakula hadi wanauza kwa debe,na wateje wa kusubiria. Rwanda, maisha kama haya yasikie kwa majirani hawa tu.
0 Reactions
2 Replies
231 Views
MWANANGU kama umezaa na Mwanamke na mkatengana kisha mkakubaliana kumlea Mtoto au Watoto wenu, hakuna ubaya wakati unatuma hela kwa ajili ya Watoto wako basi tia busara kumkumbuka pia Mama yake...
0 Reactions
1 Replies
208 Views
Ni mwanamitindo maarufu nchini Rwanda, mmiliki wa Moshions Fashions Design, aliejizolea umaarufu kwa kuwashonea viongozi wakubwa na viongozi wa mataifa mbali mbali. Hapo nyumba, kwenye ukurasa...
1 Reactions
2 Replies
300 Views
Haya ni makazi ya familia moja, ya watu wa nne. Kwa sasa, ni miaka mitau(3), tangu wameanza kuishi maisha haya. Cha ajabu, kila kiongozi anaeulizwa kwa nini, anadai hakuwa na taarifa. Nchini...
0 Reactions
1 Replies
117 Views
Kanisa la mchungaji maarufu Pastor Julienne Kabanda lafungiwa na RGB(Rwanda Governance Board). Sababu zilitajwa kufutiwa vibali, kulitokana na kuendesha shughuli zisizoendana na zilizokuwa...
0 Reactions
1 Replies
198 Views
Huko New Zealand, inasemekana ni nchi ambayo, kondoo ni wengi kuliko raia. Nchi hii ina watu milioni 5.3. Lakini ina kondoo milioni 23.6. Ni kama kila mtu ana kondoo 4.5 Kondoo nchini humu ni uti...
0 Reactions
1 Replies
192 Views
Huko nitokako. Kwenu vipi?
0 Reactions
1 Replies
123 Views
Siku za nyuma walirushiana maneno makali, na hakuna alietegemea kicheko cha namna hiyo, ila walionyesha kuwa siasa inaishia ofisini, na tofauti hazimaanishi watu ni maadui.
0 Reactions
3 Replies
204 Views
Dunia hii ni siku 3 tu: 1.Jana imepita na haitajirudia Tena 2.leo ni nzuri na haitodumu 3.kesho sijui tutakuwa wapi Yafanyie kazi
0 Reactions
1 Replies
137 Views
Baada ya kuelezwa taratibu za wanandoa kwa mjibu wa shelia za jamhuri ya Rwanda, nimekubali kuolewa hapa hapa
0 Reactions
1 Replies
153 Views
Jamani jamani, Nawakumbusha tu. Atakaekuwa wa mwisho kutoka duniani, atakumbushwa na nani kuzima taa
0 Reactions
1 Replies
100 Views
Back
Top Bottom