Ngono si mapenzi, kwenda kwenye miadi si mapenzi, kuzungumza na mtu kila wakati si mapenzi, wala kukesha usiku kucha kwa ajili ya mtu si mapenzi.Mapenzi ni pale mtu anapokuona kwa udhaifu wako...
1. Mwanamke mwenye mdomo, anaongea kuliko kawaida (umbea umbea)
2. Anayeamini uchawi (mshirikina)
3. Mwanamke anayependa hela kama ATM
Mwanamke aliyeweka pesa mbele ni ngumu kudumu nae kwenye...
Mapenzi ndo darasa pekee binadamu huingia na roho nzuri, lakini anatoka katili. Kwa nini? Mwalimu ndo hafai?
Tena wengine unafundishwa na uchawi kabisa.
Tukiwa Single, hamtutaki.
Tukishapata mtu, mnatutext hata usiku ili tushikwe tuwe tena ma single.
Mna nini? Nda yale ya yule mnyama anaetambua umhimu wa mkia unapokuwa umekatika!!!
Nani anabisha?
Mme hukumu ya miaka 20. Mke anawaza aolewe,abaki amlelee mfungwa?!
Mfungwa nae anawaza watoto wake wataenda wapi! Mwenake ataoa/kuolewa? Ataenda na watoto, je siku akitoka...
Mwanamke ndio kiumbe pekee ambaye kitu anachokitaka leo hakitaki kesho
Kitu anachokipenda leo hakipendi kesho na mbaya zaidi anaweza kurudi kwenye vitu vile vile ambavyo alisema havipendi...
Bunge la serikali ya Rwanda, lipo katika hatua za mwisho kutia saini sheria inayomruhusu mtoto wa miaka 15 kupata huduma ya uzazi wa mpango bila wazazi wake kushilikishwa.
Je, ikiwa bunge...
Mambo yote watu wanayohusisha ndoa na Mungu yanatoka wapi? Alieandika amri 10, kama hakusahau kuhusu ndoa, ni kwamba ni jambo lisilo na umhimu. Mungu aliacha zivurugike makusudikali.
Kila mtu siku zote hujiuliza lipi afanye, ili aweze kufikia walipo wale anaowachukulia kama mifano ya kuigwa(role models). Kila mtu hujiuliza siri ya mafanikio yao kupata walicho nacho, au...
Hivi, swali hili linalenga sana wanaume. Ukimkataa mtoto, na mwisho wa siku mahakama inaamuru kipimo cha DNA kifanyike, mtoto anakutwa wa kwako, akikuwa, utamueleza nini?
Mwanaume, unakaa na mwanamke, unamzalisha, umri unamtupa nachakaa, unamuona wa nini, unamkimbia na kila kitu.
Jamani, mtu kama humtaki, na umekaa ukafikilia ukaona hafai kuwa tena mkeo, kumbuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.