Rwanda Forum

Murakaza neza ku rubuga rwa JamiiForums. Nezerwa n'amakuru n'ibiganiro bitandukanye mu rurimi rw'ikinyarwanda
Maisha ya wanyarwanda bado yanazidi kuwa kitendawili. Kwenye video, ni nguzo inayosafirisha umeme wa Kv30,000, iliyohalibiwa na wanaotafuta chuma chakavu kwa ajili ya kuuza.
1 Reactions
2 Replies
240 Views
Kama tunavyoambiwa Makombola ya Iran hayaui mtu huko Israel. Ripoti kutoka vyombo vya habari, zilidai wanajeshi 14 tuu wa SAMIDRC(Mission iliyofeli nchini Congo), ndo waliuliwa vitani na M23...
0 Reactions
2 Replies
171 Views
Hahahahahaha imagine ingekuwa ni Konyagi kweli wanaishusha kwa mtindo huo!!!
1 Reactions
2 Replies
161 Views
Wazee wa kazi huko DRC
1 Reactions
3 Replies
181 Views
Msemaji mkuu wa Serikali ya DRC, Patrick Muyaya, akisema kwamba, DRC ni nchi kubwa ya ukanda. Hii inatosha kuonyesha kwamba, Rwanda, Burundi na nchi nyingine jirani, haziwezi kuishi bila Congo...
0 Reactions
3 Replies
242 Views
Ujue Sasa hivi wanaume wanafanya mapenzi kupunguza hamu tu............. Kwanini nasema hivi?! Wanaume wa sasa hivi wanaonekana hawana nguvu za kiume kwa wadada wengi kitu ambacho sio kweli...
0 Reactions
1 Replies
209 Views
Chanzo cha yote pichani. Vitu kama hicyo,ongezea matango na karoti,vyote vinasokomezwa humo. Uchi ushakuwa kama dekio. Huo huo unatolewa kwa malipo. Mwenye kutoa chake,haijalishi anatumia dakika...
0 Reactions
1 Replies
141 Views
Daraja hili limekula karibu milioni 245 za Kitanzania. Kwa mtindo huu, acha tu wazungu watutawale sisi hatuwezi. Urefu wake mita 45 tu jamani.
1 Reactions
2 Replies
201 Views
Polisi nchini Rwanda, imejibu malalamiko ya wananchi wa Rwanda, waliohoji inasaidia nini jamii, wimbi la mauaji linaloongezeka kwa kasi kati ya wanandoa. Kwa kujibu,Polisi imesema si rahisi,kwa...
0 Reactions
1 Replies
204 Views
South Africa imetangaza kuwa, kundi la kwanza la wanajeshi hao, waliokuwa DRC kwa jukumu la kupambana na M23, litawasili nchini humo tarehe 13 Juni, 2025. Wanajeshi hao pamoja na silaha zao...
0 Reactions
1 Replies
167 Views
Hakuna kitu kinachouma, kama kumuona mzazi ambae hajasoma, akijipigapiga na kujimaliza, mpaka anauza chochote alicho nacho, kusomesha watoto mpaka watano au zaidi, hadi chuo kikuu. Na baada ya...
0 Reactions
1 Replies
188 Views
Tangazo lililotufikia, ni kwamba chanzo ni Rwanda kuchelewa kutumia ardhi iliyopewa. Rwanda ilipewa heka 11, na makubaliano yalikuwa kwamba ifikapo Desemba 8, 2024 bila Rwanda kuanza kutumia...
0 Reactions
1 Replies
219 Views
One of the saddest photos ever taken Pratik Joshi had been living in London for six years. A software professional, he’d long dreamed of building a life abroad for his wife and three young...
0 Reactions
1 Replies
224 Views
Awali, nguo za mtumba, zilikuwa zikitozwa 35% ya manunuzi. Ikumbukwe, bei ilikuwa makadilio kwa nguo mpya wala si za mtumba, na sasa ushuru utakuwa Dola za kimarekani 2.5 kwa kilo ya nguo hizo...
0 Reactions
1 Replies
273 Views
https://www.facebook.com/share/v/16ayaaBEph/
0 Reactions
0 Replies
148 Views
Dr. Rusa, mchambuzi wa kisiasa nchini Rwanda, alipoulizwa maoni yake kuhusu maeneo ya Uganda na DRC kuwa maeneo ya Rwanda, miaka ya 1880 kabla ya kukatwa kwa mipaka ya sasa, mwaka 1885; alisema...
1 Reactions
2 Replies
280 Views
Mwanamke halisi hujulikana katika nyakati za umasikini wa mume wake, ama akiwa hajazipata pesa au akiwa kafilisika au kupoteza madaraka. Hapa utaijua sura halisi ya mwanamke wako. Sura na tabia...
1 Reactions
2 Replies
300 Views
Kama kuna kitu kigumu maishani, ni kumiliki nyumba nchini Rwanda. Kuanzia ardhi, mpaka vibali, ni mtihani. Jambo hili husababisha walio wengi wajenge tu kutokana na uwezo wao. Mbaya zaidi, kila...
1 Reactions
7 Replies
475 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…