Jeshi la Somalia, limewanyonga wanajeshi wawili waliokutwa na hatia ya kujihusisha na kundi la waasi la Al-Shabab. Walikutwa na hatia baada ya kiongozi wao Aided Mohamed Ali, kuuwawa, na hatimae...
Mwanaume akihamisha hisia anaanza kukuona kama ndugu yake, hata ukae uchi mbele zake, hujisikia kinyaa. Halafu mwanaume huwa hapendi makelele kwenye nafsi yake, ukimtamkia maneno ya shombo, matusi...
Mwanamke asiye na marafiki wengi anaweza kuwa na sifa mbalimbali, ambazo si lazima ziwe hasi au chanya, zinategemea muktadha wa maisha yake, tabia yake, na mazingira yanayomzunguka. Hapa kuna...
Mpaka sasa, wapiganaji wa M23 wapo Kaniola, huko Kivu kusini, umbali wa km 53 tu kutoka mji wa Uvira. Eneo hilo liliangukia mikononi mwa wapiganaji hao, baada ya mapigano kati yao na jeshi la DRC...
Hili swali binafsi najiuliza lakini jibu sipati.
Mmoja akiwa + na mwingine -, huku wana watoto, nini cha kufanya? Maana kuna wakati ukizingatia, nguvu ya kuachana haipo. Kuzagamuana, hakukwepeki...
Brothers ipo hivi:
Mwanamke ukimuelewa na akaanza kukuletea mambo meusi, wala usihangaike.
Downlaod app ya mkopo, kopa tu. Af, namba yake iweke kama mdhamini wako. Deni usilipe. Ataanza...
Uwanja wa ndege wa Nzibira, huko Kivu kusini, uliopo katika eneo lililokuwa likilindwa na Wazalendo kushilikiana na jeshi la Burundi, jana tarehe 10 August, ulibaki mikononi mwa M23 baada ya...
Mwanaume ukiwa na akili sana kwenye mahusiano huwa anajaj sna ,hua na question sana,hua anakua active sana kiakil, kiutimam kitu ambacho kina mpa wakati mgumu mwenza wako hasa wale ambao...
Ngono si mapenzi, kwenda kwenye miadi si mapenzi, kuzungumza na mtu kila wakati si mapenzi, wala kukesha usiku kucha kwa ajili ya mtu si mapenzi.Mapenzi ni pale mtu anapokuona kwa udhaifu wako...
1. Mwanamke mwenye mdomo, anaongea kuliko kawaida (umbea umbea)
2. Anayeamini uchawi (mshirikina)
3. Mwanamke anayependa hela kama ATM
Mwanamke aliyeweka pesa mbele ni ngumu kudumu nae kwenye...
Mapenzi ndo darasa pekee binadamu huingia na roho nzuri, lakini anatoka katili. Kwa nini? Mwalimu ndo hafai?
Tena wengine unafundishwa na uchawi kabisa.
Tukiwa Single, hamtutaki.
Tukishapata mtu, mnatutext hata usiku ili tushikwe tuwe tena ma single.
Mna nini? Nda yale ya yule mnyama anaetambua umhimu wa mkia unapokuwa umekatika!!!
Nani anabisha?
Mme hukumu ya miaka 20. Mke anawaza aolewe,abaki amlelee mfungwa?!
Mfungwa nae anawaza watoto wake wataenda wapi! Mwenake ataoa/kuolewa? Ataenda na watoto, je siku akitoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.