Rwanda Forum

Murakaza neza ku rubuga rwa JamiiForums. Nezerwa n'amakuru n'ibiganiro bitandukanye mu rurimi rw'ikinyarwanda
SIKATAI niko kuwa nimeolewa.. Lakini, kuna haka kashikaji kamehamia majuzi, ni moto wa kuotea mbali. Kajinga kashanichanganya hadi nikaamuwa nimdanganye mme wangu kuwa naenda kumuona dada...
0 Reactions
1 Replies
215 Views
MKE: Mbona unanukia pafyumu ya kike? MUME: Yaa kuna mwanamke tulikuwa tumeminyana ndani ya daladala MKE: Na lipstiki kwenye shati? MUME: Tulikumbatiana na wageni toka Zambia walitembelea ofisi...
0 Reactions
1 Replies
117 Views
Nchini Kenya, umri wa kuruhusiwa kunywa pombe, umetoka 18 hadi 21. Nchini Rwanda, baa na maeneo mengine, japo umri ni miaka 18, lakini masaa yamepunguzwa. Muda elekezi ni kutoka saa kumi jioni...
0 Reactions
1 Replies
222 Views
Rwanda, pamoja na nchi nyingine za Afrika mashariki, hasa Kenya na Uganda, zimeiomba Tanzania kuhakikisha inafuata utaratibu uliowekwa na nchi wanachama, kurahisisha shughuri za kiuchumi kati ya...
0 Reactions
1 Replies
169 Views
Ukiambiwa ubebe watu wote uliofanya nao mapenzi utatumia chombo gani cha usafiri 🤣😂
0 Reactions
1 Replies
180 Views
French media giant Canal+ has officially acquired MultiChoice Group in a landmark $3 billion deal. This move gives Canal+ full control over popular African pay-TV platforms DStv and GOtv, as well...
0 Reactions
4 Replies
412 Views
Kutokana na kinachoonekana kuwa matumizi mabaya ya ardhi, huku nchi hii ikikabiliwa na ongezeko kubwa la raia, matumizi ya ardhi hasa kuhusu ujenzi, serikali imelazimika kusitisha utoaji wa vibali...
0 Reactions
1 Replies
141 Views
WALLET YA KIJANA WA MAREKANI 1:Visa Card 2:Driving License 3:Hela ya matumizi WALLET YA KIJANA WA TANZANIA 1:ATM card ya NMB 2:ATM card CRDB 3:Kitambulisho cha Taifa 4:Leseni 5:Kadi ya mpiga kura...
0 Reactions
1 Replies
155 Views
You dump a man because he cheated,and you went to a man who was dumped because of his cheating and then you claim you moved on...Moved on to where?...My sister this is what we call cross...
0 Reactions
1 Replies
176 Views
Katika zoezi la kuwapa kipaumbele wazawa, Tanzania imefikia uamzi wa kuondoa leseni za waliokuwa wanafanya shughuli ndogo ndogo za kiuchumi. Je, utaratibu huu, unawanufaisha kweli wazawa? Kama na...
0 Reactions
1 Replies
107 Views
Sawa, pamoja na kwamba ni makauzu, laikini kufikia hatua hii, ni kubisha hodi mwenyewe mjengo wa wahalifu. Watoto wakimuona mama yao hivi, jiandae wakikuwa utakipata cha mtema kuni.
0 Reactions
0 Replies
138 Views
Mwanamke usijaribu kutafuta pesa kwa lengo la kushindana na mwanaume, Kumbuka kutafuta pesa kukabiliana na changamoto za maisha...
0 Reactions
1 Replies
118 Views
MWANAUME kamwe usiombe ukakosa pesa au kazi au ukayumba kiuchumi kipindi ambacho ulijawa jeuri na kiburi kwa mke wako kisa mali alizo kukuta nazo au mlizo chuma pamoja. Rafiki yangu kumbuka...
0 Reactions
1 Replies
155 Views
Joseph Kabila, baada ya kuondolewa kinga na Bunge na seneti ya nchi yake, leo hii kesi yake imeanza mahakamani. Anakabiliwa na tuhuma za usaliti, na kuwa mmoja wa waasi, ambao ni kundi la AFC/M23...
0 Reactions
1 Replies
178 Views
Wanaume wengi bado wanaishi kama watoto yatima.... Wanatoa kwa kila mtu lakini hakuna anayewapa wao kitu. Wanalipa bills zote, kodi zote, wanakuwepo katika kila janga, wanalinda familia n.k...
0 Reactions
1 Replies
109 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…