Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Habari zenu wakuu. Nahitaji kijana wa kuuza chips. Awe anaishi maeneo ya mbagala na ajue kazi vizuri. biashara ndo kwanza inaanza. Malipo ni maelewano. Atakayehitaji ani PM ntampa maelekezo
0 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Closed
Habari wanajamiiforums Mimi ni kjana wa kiume, ninatafuta kazi ya ufamasia popote hospitali au kiwandani kwahiyo naombeni msaada wenu kwa mwenye taarifa yoyote ya ajira kwenye nyanja hiyo. Asanteni
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba ushauri wanajamvi!!!! nimefanya kazi kampuni fulani kwa miaka 3, malipo ya mshahara walikuwa wanalipa wanavyo jisikia, nilivumilia sana mpaka ikatimia miaka hyo, baada ya hapo niliamua...
0 Reactions
3 Replies
851 Views
Habari wanajamvini asubuh hii nmepa e-mail kutoka rifa co ltd yakuitwa interview tar 22/9/2016. Lakini wamedai nitume sh 16500 kupitia airtel na namba yao wameweka pale. Sasa naomba ushaur wenu...
1 Reactions
36 Replies
5K Views
......................................................
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Dada angu ana umri w miak 20,Elim yake kidato cha nne, alisomea computer na alifanya kazi steshenal mwak 1 ,kwa sasa yupo dar tandika anaweza kufanya kazi yeyote ila isiwe y kumshushia heshima...
1 Reactions
4 Replies
916 Views
Nimejiajili kwa kutafutia watu wanaohitaji wafanyakazi wa ndani ali maarufu kama ma house girl, wasifu wao ni wachapa kazi wazuri bei yakuwalipa ni maelewano ila isiwe Chini ya elfu 30 na gharama...
0 Reactions
79 Replies
9K Views
Habari, mimi ni msichana wa umri wa miaka 29, nina shahada ya maendeleo ya jamii. Ni mwaka wa 4 sijapata kazi, kutokana na ugumu wa kupata kazi na ukosefu wa mtaji naomba mtu yoyote mwenye uwezo...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari ndugu zanguni...... Mimi n binti wa miaka 21. Naishi dar es laam. Najitokeza kwenu kuomba kazi yoyote inayoendana na elimu yangu. Nmemaliza kidato cha nne na nmesoma computer basic...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
WAKUU! Ajira sasa hv ni kama dhaabu iliyofichwa na inatafutwa na watu hile mbaya, ukisikia hiko huku!! watu wanahaa vibaya. sasa hata kama tunakata tamaa lakini tunajikuta tunaendelea kuziulizia...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwaka huu uhamisho vipi walioko tamisemi ama jikoni huko tunaomba mtusaidie updates
0 Reactions
2 Replies
811 Views
Hi!! I have earned $75 dollars last month from this captcha typing site(www.megatypers.com) it is genuine site to earn pocket money. Use this invitation code for better earnings, Choose any...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naitwa Gabriel...ninaishi morogoro mjini..natafuta kazi yoyote ile halali...sehemu yoyote ile lakini ningependa zaidi kama ikiwa hapahapa Moro..elimu yangu ni kidato cha nne (division...
0 Reactions
1 Replies
789 Views
Habari kwa jina naitwa anderson ninaishi jijini mbeya elimu yangu ni ya kidato cha nne na nina stahashada na nina certificate pia level ya procurement and supply manangement . Ni kijana...
1 Reactions
2 Replies
765 Views
JOB TITLE: OFFICE SECRETARY QUALIFICATIONS · Must have at least a certificate in secretarial and office management · Should speak fluent English and Swahili · Must have...
2 Reactions
2 Replies
773 Views
Habari, Nimehitimu masomo ya maabara kwa level ya diploma katika chuo kimoja hapa Dar es salaam. Nimetokea kupenda sana hii kazi ya Mortuary Attendant ila nashindwa kujua nianzie wapi kutimiza...
1 Reactions
89 Replies
10K Views
An Economics lecturer is needed to lecture in St. Augustine University of Tanzania - Arusha. Should have scored a GPA of 4.0 in masters and a GPA of 3.8 in bachelors. Send your applications to...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau habari za kwenu. Najua ajira imekua ngumu na zaidi pia haijulikani siku wala saa kwamba hizo.ajira zitaachiwa lini, sasa nmeona kuna kazi DUBAI za kufanya kazi katika hoteli kubwa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Back
Top Bottom