Habari, mimi ni msichana wa umri wa miaka 29, nina shahada ya maendeleo ya jamii. Ni mwaka wa 4 sijapata kazi, kutokana na ugumu wa kupata kazi na ukosefu wa mtaji naomba mtu yoyote mwenye uwezo wa kunipa kazi ya aina yoyote ya halali.
Mshahara uwe kuanzia laki 5, yoyote atayeguswa tuwasiliane PM.
Asante na Mungu awabariki.
Mshahara uwe kuanzia laki 5, yoyote atayeguswa tuwasiliane PM.
Asante na Mungu awabariki.