Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Habari wana JF, mimi ni muhitimu wa shahada ya awali ya sanaa katika elimu, (barchelor of arts with education)katika chuo kikuu cha Dodoma mwaka 2016. Umri - miaka 23 Mahali nilipo - Dodoma...
0 Reactions
2 Replies
814 Views
Jaman kma kunafulsa ya biomedical engineering tujulishaneee wadau tuko tayar kuwajibika popte mawasiliano 0625979681
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Our vision is to be the leading provider of Business Assurance, Capacity Building, and Internal Audit Solutions in Tanzania and East Africa. We conduct Computer Based (IT) Audit training, Risk...
0 Reactions
0 Replies
554 Views
Wiki iliyopita niliweka uzi humu ndani na kutoa wasifu wangu. Kwa hakika kupitia JamiiForum nimepata kazi ya kutoa ushauri kwa miezi mitatu (Consultant) katika moja ya NGO.. Sina budi kutumia...
14 Reactions
42 Replies
4K Views
Jamani nilikuwa naomba kujua nchi za jirani na tz ambazo biashara ya ubuyu inalipa/ inatoka. Ninauza ubuyu mzuuuuri/mtam ishu ni soko! Naomba mnisaidie
0 Reactions
0 Replies
4K Views
The East African Community is a regional intergovernmental organisation comprising the Republic of Burundi, the Republic of Kenya, the Republic of Rwanda, the United Republic of Tanzania, and the...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
habarini wanaforum wenzangu. naitwa joseph leonard haule ni ceo wa metanoia info com ltd.natafuta watu wenye uwezo wa kufikiri na kuleta mawazo mapya ili kuweza kuboresha sekta ya utalii na habari...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Hivi karibuni nimeanza kujipikia baada ya muda mrefu wa kula migahawani. sasa kidogo naona changamoto mambo ya kuosha vyombo, usafi wa ndani, kufua, kupika nk. Nimeona nitafute hg mapema maana...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
  • Redirect
RESUME; (summary) This is the summary of one's education, skills and employment when applying for a new job, so it is usually 1or at the max 2 pages long. CV- CURRICULUM VITAE; (course of life)...
4 Reactions
Replies
Views
Jamaa anakipaji cha kutangaza radio na anafanya for funny anatafuta radio ya kutangaza as a parttime job (hakuna malipo) pia anasifa zifuatazo:- -fluent english na swahili -computer skills -online...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau wa jf Mimi ni mwalimu mwenye uzoefu wa miaka sita katika kufundisha shule za binafsi kwa upande wa sekondari na primary...Nina stashahada ya elimu lakini pia na shahada ya elimu.. Baada ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Poll
M
0 Reactions
1 Replies
468 Views
wakuu habarini, nisaidien kaz jaman,Nina operate machine excavator pia Nina diploma ya engineering please nisaidien kaz yeyote ile pia Nina blasting certificate na driver licence, Nina mwaka mzima...
0 Reactions
4 Replies
806 Views
TWECHUNGURE Ni shirika la kijamii (CBO) lililosajiliwa na kutambulika na serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania. Tunatoa huduma zifuatazo 1. Ujenzi 2. Ushauli wa biashara na miradi 3...
0 Reactions
0 Replies
672 Views
Nimekuwa nikijaribu kujisajili online lakin nakwana kujua format ya tarehe inayohitajika kama kuna mjuzi wa haya mambo anisaidie
0 Reactions
1 Replies
844 Views
Habari jf, nina ndugu yangu anatafuta kazi za viwandani au zinazoendana na carrier yake. Ni msichana, umri 25, anaishi dar. Ana cheti cha hotel management! Pliz mwenye connection yoyote naomba...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu mabibi na mabwana hapa JF. Kwa mara ya kwanza kuitwa kwa ajili ya interview kwa upande wangu yafuatayo yalitokea 1.Furaha iliyopitiliza mpaka ikazidi na kugeuka hofu nzito katika...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
  • Redirect
Jamani, hii ni kweli na inatokea hapa Tanzania? Wenye kututhibitishia hili? [emoji117]Rifa Company 23:19 (8 hours ago) to me Hi Applicant! I have the pleasure to inform you that the...
0 Reactions
Replies
Views
Iam 32 years old looking for job as barman, waiter, supervisior restaurant manager. hold certificate in food and beverage service and diploma in journalism and mass communication.Ihave seven years...
0 Reactions
0 Replies
463 Views
Habarini.... Kwa wale AMBAO tuliitwa kwenye interview ZIMAMOTO hebu tufunguane macho kidogo. Je interview itafanyika kwa wakati mwingine au ndo imeshatoka hiyo?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom