Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Walitangaza adminstrative assistant ila naona kimya sijui kuna mtu anaweza nisaidia kama ana information yoyote.
0 Reactions
1 Replies
951 Views
Je, naweza kupiga picha vyeti vyangu kwa kutumia simu yangu na nikavi atach na barua yangu ya maombi ya kazi kwenye mtandao? Au simu inaweza kutumika kufanya application au ni lazima nitumie compyuta?
0 Reactions
2 Replies
681 Views
kwanza natanguliza pole kwa masaibu yanayowakuta watanzania wenzangu hasa baada ya kusitishiwa ajira zetu, ili kupisha zoezi la kuhakiki watumishi hewa tunaitaji kufungua group kwa upande wa...
2 Reactions
45 Replies
6K Views
habari zenu wakuu ninaomba msaada kwa waliopo mwanza nahitaji volunteer kwenye kampuni yeyote iliyopo mwanza inayojihusha na mambo ya gis/remote sensing.niko vizuri katika kufanya image processing...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari. Natumaini wazima wa afya. Ninatafuta mwalimu ambae anafundisha kindergaten au ndoto yake ni kufundisha kindergaten tu. Karibu PM tafadhali. Jinsia awe mwanamke. Asante.
0 Reactions
1 Replies
550 Views
Kwa wale wenye ndugu, jamaa na marafiki nafasi ya Ukuu wa Posta imetangazwa. Angalieni kwenye Portal ya Ajira. Tanzania
0 Reactions
1 Replies
630 Views
wadau natumai ni wazima wa afya.. Nimeitwa kwe interview hili shirika la kimataifa, je interview zao zikoje? pia ntashkuru kwa anayefahamu vizuri jinsi walivyo anipe maujanja .
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari za majukumu wana JF,Natumaini mu wazima mimi ni kajana wa kiume niko chuo kikuu katika kozi ya bachelor degree in mechanical engineering ,baada ya kumaliza mafunzo kwa vitendo yani...
3 Reactions
5 Replies
3K Views
Mimi ni kijana mwaminifu na mchapa kazi naomba kazi ya uhouse boy nipo Dar na nipo tayari kufanya kazi kwa muda wowote
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Nimeapply tangu juni adi leo au wameshaita watu nini?
0 Reactions
10 Replies
1K Views
See, the truth is that not everyone will secure a white collar job!!! In fact, majority of Tanzanian graduates willing to work will never find a job. I am not cursing you pls...but I am being real...
0 Reactions
3 Replies
826 Views
Urgently Looking Graphic & Web designer. Able to use well Adobe suite especially Photoshop, illustrator, Flash and Dreamweaver. To have extensive knowledge on JAVA, PHP and HTLM. Salary 500,000+...
0 Reactions
0 Replies
632 Views
Mdada anatafuta kazi ya bakery,anayo cerficate anapatikana Arusha.
1 Reactions
0 Replies
551 Views
Habari zenu wakuu, Mimi ni kijana wa kiume muaminifu, mtaratibu na mchapakazi nina bachelor degree of science in food science and technology, natafuta kazi na nipo tayari kufanya kazi sehemu...
0 Reactions
5 Replies
669 Views
Hi folk! Its my hope that your constitutions are all the way good and you are proceeding well building Tanzania. I am a teacher, a pursuant and specialist of ICT and Geography subjects I hereby...
0 Reactions
1 Replies
569 Views
habar zenu wadau kuna ngo moja inaitwa heifer international walikuwa wanahitaji project accountant mwenye info anijuze kama walishaita watu kwa ajili ya interview. naomba kuwasilisha
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Awe na Miaka 18 hadi 25 awe form 4 kuendelea,ajue kuongea kiingereza na kiswahili. Ajue kufanya miamala ya fedha benk.Ajue kutumia compyuta.awe muaminifu.awe anajua lugha ya kuvutia biashara Awe...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Nimemaliza chuo mwaka 2015 degree course wildlife mgt. Bahati mbaya sijafanikiwa kujiajiri/kuajiriwa.Nimeapply sana kwenye ma college ya tourism na wildlife_hakuna kitu.sambaza cv NGOs na...
0 Reactions
6 Replies
901 Views
Habari, Kwa yeyote unayehitaji kisima cha kuchimbwa kwa mkono(hand_dug wells) kwa shughuli za kilimo au matumizi ya nyumbani n.k usisite kututafuta,tupo Dar es Salaam na Pwani. Huduma zetu ni bora...
0 Reactions
0 Replies
661 Views
Back
Top Bottom