unique vee
Senior Member
- Jul 9, 2016
- 128
- 176
G
Habari wana jf mm n msichana mwenye miaka 21 elimu yangu n kidato cha nne nlikuwa natafuta kazi ya kuuza duka au yyte ile mwenye hitaji la mfanyakazi naomba aniinbox ntamtafuta naishi dar temeke
sorry dada kaz za ndan cwezNatafuta msichana wa kazi za ndani kama upo tayari ni Pm
Nashukuru kwa kunisahihisha kaz yyte ile icpokuwa house girl maana ciwezUnaonaje kama hapo kwenye neno 'kazi yoyote' ukalifungua zaidi maana isijekuwa unaongea kama ahadi ya Kaizari kwa binti yake.
JF hii bwana?Unaonaje kama hapo kwenye neno 'kazi yoyote' ukalifungua zaidi maana isijekuwa unaongea kama ahadi ya Kaizari kwa binti yake.
Habari wana jf mm n msichana mwenye miaka 21 elimu yangu n kidato cha nne nlikuwa natafuta kazi ya kuuza duka au yyte ile mwenye hitaji la mfanyakazi naomba aniinbox ntamtafuta naishi dar temeke
Npo serious nataka kukupm bt sorry kwa profile yako mbona cjaona pa kukupm kama hutojar anza kunipm plzNitafute PM kama uko serious
Nakushauri Usome tu Mdogo Wetu.. Tafuta fan yeyote uwe na kaujuzi... nchi ya viwanda ndio imeshaanza kuandaliwa na wewe jiandae... i know life ni tafu... ila komalia elimu hata kama ni ngumu rudia rudia akili zitashika tuNponpo
Nimekumbuka this song
Asante kwa ushaur wako na mungu akubarikiNakushauri Usome tu Mdogo Wetu.. Tafuta fan yeyote uwe na kaujuzi... nchi ya viwanda ndio imeshaanza kuandaliwa na wewe jiandae... i know life ni tafu... ila komalia elimu hata kama ni ngumu rudia rudia akili zitashika tu
Kwa upande wng natumia pm maana nmaelewano ya kaz kwa mwajir na mtafuta kaz na pia kufanya sir ya malipo ya kaz kama ntakuwa nmekosea naomba unisahihisheHuko PM mbona watu wanapenda kupatumia sana hasa kwenye matukio kama haya?
Ok Bahati Mbaya Siamini uwepo wa Mungu Mnayemuamini Nyie... Na Maisha yanasonga kwa Juhudi tu... Ukilala hali inakuwa Mbaya... so Ni Maamuzi tu... Ukitaka Kuwa Masikini Tajiri hakuhitaji Umungu...Asante kwa ushaur wako na mungu akubariki
Mabazazi??Humu Mabazazi bado hawajakuona?