Check Names Called for Placements at UTUMISHI (Kuitwa Kazini UTUMISHI September, 2025) – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS). Call For Work (Placements) UTUMISHI – Public Service...
Kampuni ya utangazaji ya Global TV imetangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye vipaji na shauku ya kujiunga katika timu yake ya vipindi vya runinga.
Kwa mujibu wa tangazo lao , jumla ya nafasi 6...
Masaa wana jamii ni wapi kuna maslahi mazuri ya malipo/kipoato (mishahara na posho) kwa ngazi ya degree taasisi za serikali hizi
1.PURA.....As geophysics
2.Ocean road Hosp......as medical...
Natanguliza salamu. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 mwenyeji wa Dodoma, kwa sasa napatikana Tabata Dar es salaam. Natafuta kazi ya aina yoyote ile sibagui kazi.
Elimu yangu ni shule ya...
Wale truck drivers wenye kauzoefu kiasi karibuni ofisini kwetu tuwaunganishe mkaendeshe trucks along europe, kampuni iko Lithuania mshahara ni kuanzia euro2300 plus bonus kutakuwa na training ya...
Wakuu poleni na majukumu,
Katika pita pita za mitandaoni nimeona baadhi ya nchi zikiwa na uhitaji wa wafanyakazi hivi ni nchi gani huwa wanachukua wanyakazi tz hata wale vibarua wa mashambani...
Mimi ni mdau wa elimu, naomba ujumbe huu ufike kwenye mamlaka za Juu Serikalini, lengo sio kuchafua taasisi yetu bali ni kutusaidia sisi Watanzania ambao tuna hali ngumu na hatuna mtu wa...
Habari wanajamii.
Natumaini wote wazima.
Hivi zile kazi za afisa ugavi 340 za mwaka jana agosti naomba kuulizia hivi nafasi zote zimeshapangiwa kwa waliofaulu??
Nina uzoefu wa miaka 8 nimeendesha katika nchi tatu ikiwemo rwanda, kenya,pamoja na south Afrika
Nina mepitia veta na nina cheti, nina leseni class E, C, B,D
Nipo tayari kufanya kazi mkoa...
Wakuu habari ya kuamka,natumai mmeamka salama
Kama kichwa cha habari ,kinavyojieleza ,mimi(29) nimesomea clinical medicine nikaamua kuishia ngazi cheti yaani Certificate in clinical medicine 2023...
Habarini Wana jamii forum.
Kwa majina naitwa JOSHUA E JAMES, Mimi ni Dereva kwa mda mrefu Sasa nikibezi kwenye upande wa gari ndogo za watu. Nimekua nikifanya KAZI kwenye office mbalimbali kama...
Nimezaliwa na kukulia Tanzania, lakini kwa sasa ninasoma Computer Science huku Marekani. Nimekuwa nikijifunza mambo ya software development kwa muda, na baada ya kufanya majaribio kadhaa, niliona...
Kuna agenda gani kati ya NMB na mfumo wa ESS UTUMISHI katika suala la uuzaji mikopo? Maana watumishi waliokuwa na mikopo NMB wanashindwa kuuza mikopo yao (topup to another bank) bank nyingine...
Job Advertisement: Laboratory Technician at Bonite Bottlers Ltd
Position Overview
Position Title: Laboratory Technician
Qualifications
Applicant should be a holder of Diploma in Laboratory...
Niende moja kwa moja, Nimesoma Ordinary Diploma in Laboratory science and Technology... Pale kwenye kuchagua kozi kuna Diploma in Laboratory science and technology na pia kuna Diploma in...
Wakuu habari za Leo.
Mimi hapa ni mhitimu wa diploma ya electrical engineering mwaka huu 2024. Naombeni msaada wa namna ya kupata uzoefu na ajira zinazo hususu umeme.
Mnisaidie mashirika yote...