Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Kama wewe ni mwajiri na unatamani kuajiri kisasa kabisa, tembelea website yetu www.kazilink.co.tz na utangaze kazi yako.. Platform hii pia itakusaidia kuweza kuona walioomba kazi kupitia account...
2 Reactions
3 Replies
269 Views
CLICK THIS LINK TO APPLY
0 Reactions
0 Replies
186 Views
Kwa changamoto wasiliana na 0623446608
2 Reactions
0 Replies
233 Views
Habari wakuu, Kama kichwa kinavyojielezea hapo juu, Ninahitaji vijana kwa ajili ya kufanya mauzo ya Ku Push products za Yas Business kama Vile Yas Routers, SME and Individual Bundles, Home...
2 Reactions
11 Replies
538 Views
Wakubwa nimewaza tu kwa sauti tunakoelekea mambo yanaenda kuharibika pesa itakuwa adimu sana na pengine serikali ikashindwa kulipa mishahara, ikitolea hivyo mabenki yatapoteza imani na watumishi...
8 Reactions
16 Replies
1K Views
AS4G Visibility Conference – Opportunities to Work in Germany Join us this Friday for an insightful conference on pathways to work and train in Germany under the African Skills 4 Germany (AS4G)...
2 Reactions
3 Replies
356 Views
Habari wanajamii wenzangu,Mimi nimemaliza chuo mwaka 2022 kozi ya MIPANGO na MAENDELEO ya JAMII ,naombeni kwa mtu yeyote mwenye kusaidia kupata nafasi ya Kazi kwenye kampuni au taasisi yeyote ...
0 Reactions
2 Replies
230 Views
Habari zenu wakuu. Nimesomea mambo ya meli tangu mwaka 2011,nimehangaika sana kutafuta japo seatime ila sikufanikiwa kupata. Naombeni msaada hata wa kunipa website ambazo naweza kuzitumia ku...
3 Reactions
30 Replies
16K Views
About Announcement Number: DaresSalaam-2024-023 Hiring Agency: Embassy Dar Es Salaam Position Title: Maintenance Mechanic – Plumbing (Internal Candidates Only) Open Period: 04/23/2024 – 05/07/2024...
2 Reactions
1 Replies
900 Views
Wasiliana na 0623446608 kwa msaada binafsi
1 Reactions
1 Replies
160 Views
Habari za leo wakuu na pia shikamooni wakubwa. mimi ni kijana(kiume) mwenye almost 33yrs, na ni graduate wa diploma ya medical laboratory science tangu 2016. nimefanya kazi katika facility...
2 Reactions
1 Replies
389 Views
Siamini macho yangu. Anyway natafuta attention Naomba connection ya KAZI yoyote POPOTE nchini ahsante
1 Reactions
6 Replies
321 Views
Ukiona mtu anapenda sana kwenda kazini ujue mwizi.
3 Reactions
8 Replies
284 Views
Habari ndugu zangu ,mimi ni fundi wa kunyohosha magari yaliyopata ajari (car body repair )sikusomea darasani ila nilijifunza mtaani na ni mzoefu sana kwa kazi zifuatazo kufanya setting...
2 Reactions
5 Replies
425 Views
Mimi ni kijana umri miaka 26 elimu kidato cha sita 6 nimepita veta kupata basic driving, NIT kua VIP driver na ninauzoefu wakutosha kabla ya kwenda kuongeza ujuzi nabaada ya kwenda kuongeza ujuzi...
2 Reactions
12 Replies
440 Views
Jinsi Mwanafunzi wa Form Six Anaingiza Pesa Mtandaoni Kupitia Freelancing Wakati vijana wengi waliomaliza kidato cha sita wakisubiri majibu ya chuo au kutafuta “kazi ya kuajiriwa,” kijana mmoja...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Hi everybody, when i was a little boy i had a dream to be a marine engineer but unfortunately i studied Ordinary Diploma in Electrical Engineering at Mbeya University of Science and Technology...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Hizi gari zenye plate Number pendwa sijui zimepotelea wapi
1 Reactions
6 Replies
322 Views
Mimi ni Kijana 25, Naomba KAZI yoyote ya nguvu na akili. Nipo Tabora ila naweza kwenda mkoa wowote kupiga KAZI. Nina shahada ya maendeleo ya jamii. Nina ujuzi wa kutumia computer (Microsoft...
5 Reactions
8 Replies
421 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…