Ndugu Wanachama na Wataalamu wa Sheria wa Jamii Forum
Napenda kuwasalimu kwa heshima.
Ninaandika barua hii kwa heshima kubwa kuomba ushauri na ufafanuzi wa kisheria kuhusu taratibu halali za...
Je, unahitaji huduma za usafi zenye viwango vya kitaalamu?
Jibu sahihi ni ๐๐บ๐ถ๐ฐ๐ฎ๐ฏ๐น๐ฒ ๐๐ฟ๐ผ๐๐ฝ ๐๐ผ๐น๐ฑ๐ถ๐ป๐ด๐ ๐๐ถ๐บ๐ถ๐๐ฒ๐ฑ (๐๐บ๐ถ๐ฐ๐ฎ๐ฏ๐น๐ฒ ๐๐น๐ฒ๐ฎ๐ป๐ถ๐ป๐ด ๐ฆ๐ฒ๐ฟ๐๐ถ๐ฐ๐ฒ๐) โ kampuni iliyosajiliwa kisheria chini ya Sheria za Jamhuri...
Je, unahitaji huduma yoyote ya kiserikali au binafsi inayohusisha matumizi ya mifumo rasmi kama TRA, leseni za biashara na mengineyo?
Jibu ni ๐๐บ๐ถ๐ฐ๐ฎ๐ฏ๐น๐ฒ ๐๐ฟ๐ผ๐๐ฝ ๐๐ผ๐น๐ฑ๐ถ๐ป๐ด๐ ๐๐ถ๐บ๐ถ๐๐ฒ๐ฑ (๐๐บ๐ถ๐ฐ๐ฎ๐ฏ๐น๐ฒ ๐ฆ๐ผ๐น๐๐๐ถ๐ผ๐ป๐)...
Anahitajika Binti wa kufanya kazi stationery,
SIFA:
Awe na uzoefu wa kufanya kazi stationery
Anajua kutumia computer
Mwaminifu
Awe na umri 20-25
Awe ni mkazi kati ya haya maeneo
Mbezi kimara...
Mimi ni kijana wa miaka 22 ,natokea wilayani kahama , natafuta kazi yoyote ile ya kufanya kwa anaye hitaji mfanyakazi au connection ya kazi mimi nipo tayari kufanya , namba zangu ni 0715308721
Kwema wanabodi nimekua nikijaribu kupitia sites mbalimbali za ajira ambazo ni remotely kuanzia LinkedIn, WWR,flexjobs na nyinginezo nikajiregister kule
Lakini changamoto unakuta hata kazi ambayo...
Wadau kuna kampuni hii ngeni kwangu naombeni taarifa kwa anayeifahamu vizuri mana napata ukakasi sana kwa taarifa nilizopata.
Kwanza niseme wazi hii kampuni nilikuwa sijawahi isikia popote hadi...
Naitwa Rich JM nipo dar, Yakaribia mwaka sasa natafuta ajira humu JF bado sijapata, ni bachelor degree holder of Accounting with IT.
Nina experience na accounting na auditing kwani nimekua...
Wakuu natafuta kijana wa shamba kutoka usukumani mshahara laki1
Wa kunisimamia shughuli zangu za shamba la miparachichi
Shughuli zenyewe ni kama ifuatavyo
1.Kutunza miti ya parachichi ikiwemo...
Haya maisha bana,sometimes hayana nidhamu.
Baada ya kufulia mtaani muda mrefu nimepiga mishe za saidia fundi sana mtaani nikawa nishajikatia zangu tamaa ya kuajiriwa.
Kuna siku nikapigiwa simu...
Habari wadau, poleni na majukumu, hatimaye TRA wameanza kuita watu kwa usaili utakaofanyika tarehe 11 bunju Ilipo NBAA
Updates
Kwa wale waliokua na wasiwasi kuhusu barua tayari TRA wameishatuma...
OFA YA KITABU CHA KIINGEREZA
Mimi kama mwalimu wa kingereza imenibidi nikupe ofa ya kitabu (soft handbook)
DOWNLOAD hapo๐
in case utaitaji msaada wa vitabu vingine au namuna ya kukitumia hicho...
๐ง๐๐ป๐ฎ๐ต๐๐ฑ๐๐บ๐ถ๐ฎ ๐ธ๐ฎ๐๐ถ๐ธ๐ฎ ๐บ๐ฎ๐ฒ๐ป๐ฒ๐ผ ๐๐ฎ๐ณ๐๐ฎ๐๐ฎ๐๐ผ:
๐ฆ๐๐น๐๐ต๐ถ๐๐ต๐ผ ๐๐ฎ ๐๐ถ๐๐ต๐ฒ๐ฟ๐ถ๐ฎ
๐จ๐๐ต๐ฎ๐๐ฟ๐ถ ๐๐ฎ ๐๐ถ๐ฎ๐๐ต๐ฎ๐ฟ๐ฎ
Ofisi yetu: Ubungo, karibu na njiapanda ya kwenda Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Mawasiliano:
๐ 0753786858
โ๏ธ...
๐ง๐ฎ๐ป๐ด๐ฎ๐๐ผ ๐น๐ฎ ๐๐๐ฑ๐๐บ๐ฎ ๐๐ฎ ๐จ๐๐ฎ๐ณ๐ถ
Kampuni ya ๐๐บ๐ถ๐ฐ๐ฎ๐ฏ๐น๐ฒ ๐๐ฟ๐ผ๐๐ฝ ๐๐ผ๐น๐ฑ๐ถ๐ป๐ด๐ ๐๐ถ๐บ๐ถ๐๐ฒ๐ฑ inawakaribisha wateja kwa huduma bora za usafi kupitia ๐๐ฆ๐ข๐๐๐๐ฅ๐ ๐๐ฅ๐๐๐ง๐ข๐ง๐ ๐๐๐ซ๐ฏ๐ข๐๐๐ฌ.
Tunafanya usafi kwa ufanisi katika:
Ofisi...
Habari zenu nina rafiki yangu ambaye kwa sasa anahitaji kazi kwa namna yeyote
Amesomea udaktari na pia yupo vizuri katika masuala fedha, ugavi na uhasibu yupo vizuri Sana (si mtaalmu sana eneo...