Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Habar wakuu, Natumai mko poa sana Kama kichwa cha habar hapo juu, naomba connection ya nafasi ya ajira ya medical lab na nitatoa mshahara wote wa mwezi wa mwanzo kama shukrani kwa atakae...
3 Reactions
17 Replies
282 Views
Natafuta kazi za kuangalia Nyumba kama vile usafi nakutuzia Nyumba mpaka pale utakapokuja ikiwa na mtu wa kuangalia, pia kama una chochote kile kulinda hapo Nyumba hapo pia nitakilinda , Miaka...
0 Reactions
0 Replies
181 Views
Mungu mwema sikuzote
1 Reactions
6 Replies
625 Views
Habari wakuu, naombeni msaada wa haraka kwa ufafanuzi au ushauri. Nimekua na passion ya kuja kufundisha vyuo vikuu kwa muda sasa, lakini kuna jambo linanitatiza hapa. Undergraduate nilisoma...
8 Reactions
37 Replies
2K Views
Anonymous
Baadhi ya Watumishi ajira mpya wa Halmashauri ya wilaya ya MBULU hawajalipwa hela ya kujikimu Kuna watu waenda kumaliza mwaka sasa hela imekuwa kaa la moto wanalipana Kwa kujuana. Kuna watu...
0 Reactions
2 Replies
218 Views
Habarini wakuu, Wiki chache zilizopita nilileta uzi huu Natafuta kazi za kwenye idara ya procurement, lakini pia nina ujuzi kwenye ulimwengu wa social media na naongea kiingereza vizuri Kuomba...
4 Reactions
13 Replies
346 Views
Natumaini hamjambo, nami pia sijambo nimefanya kazi ya security kwa miaka 5 maeneo mbalimbali ikiwemo serena hoteli mwaka 1, viwandani miaka miwili na airport terminal 3 mwaka 1, na nimefanya kazi...
0 Reactions
2 Replies
195 Views
Anonymous (7da3)
Mimi ni moja wa Wafanyakazi tulioajiriwa na Shirika lililopo Mkoa wa Songwe, Halmashauri ya Mbozi ili kuwahudumia watu wanaoishi na maambukizi ya UKIMWI, hatujalipwa mshahara wetu kwa miezi mitaty...
1 Reactions
4 Replies
251 Views
Natafuta fundi piki piki duka lipo mbezi kibanda cha mkaa duka ni jipyaa tutamlinda kwa posho mpaka pachangamke 0685141035
1 Reactions
0 Replies
193 Views
Anonymous
Wahitimu wa chuo cha Tanzania institute of accountacy waliomaliza 2022 Taharifa zao hazipo TCU wala NACTE na wanashindwa fanya maombi ya kazi uhamiaji. Wakituma details zao kama namba za...
1 Reactions
0 Replies
178 Views
FURSA FURSA Natatafuta vijana wanaoweza kufanya kazi za kutunza mifugo kama ng'ombe, mbuzi Nk Majukumu Kuandaa malisho ya wanyama Kulisha wanyama Mshahara: 100,000 Kula na kulala buree Vigezo...
1 Reactions
10 Replies
619 Views
Habari wakuu nimekuja kwenu kuomba uelewa nimeajiriwa na diploma lakn nina cheti changu cha degree bado sijakichukua chuoni naomba kujua je itachukua muda gan kazini hadi niweze kukitumia cheti...
3 Reactions
17 Replies
954 Views
πŸš€ WE’RE HIRING: The Ultimate Content Visionary πŸš€ Are you the person your friends call when they need the perfect aesthetic photo? Do you spend more time analyzing TikTok transitions than actually...
3 Reactions
3 Replies
275 Views
Leo nitatoa mbinu moja ya kupata kazi nyepesi kwenye miradi ya Wachina. Kesho au baadaye nitatoa mbinu ya kupata kazi au kuokota kazi ya serikali kirahisi. Hata kama kuna tatizo la unemployment...
6 Reactions
30 Replies
795 Views
Nipeni kazi yoyote ya kufanya nipo kahama, Manzese 0715670870 Nitakufa na njaa.
9 Reactions
57 Replies
2K Views
Human Resources Officer RTI Tanzania The Real Transformation Initiative (RTI) – Tanzania is a nonprofit, non-governmental Organization (NGO) dedicated to providing research and programme...
1 Reactions
1 Replies
451 Views
Heri ya Mwaka Mpya 2026 – Tunawatakia mwaka wenye afya, mafanikio na maendeleo endelevu kwa kila mmoja!
1 Reactions
1 Replies
176 Views
Happy New Year 2026 – Wishing you a year filled with good health, success, and sustainable progress for everyone!
4 Reactions
3 Replies
205 Views
Ndugu wasomaji na wanajukwaa naomba mfumo ufiche majina yangu niliyosajilia humu na hili jambo liende public tupate majibu ya serikali. Tarehe 5 Juni 2025 serikali kupitia sekretarieti ya ajira...
1 Reactions
9 Replies
426 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…