Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

The Judiciary Service Commission is a body established under Article 112(1) of the Constitution of the United Republic of Tanzania of 1977. Furthermore, Article 113 of the Constitution and the...
1 Reactions
2 Replies
716 Views
Leo nimejionea kwa macho yangu pale Makao Makuu ya Ofisi ya Rais, Utumishi (OR-Utumishi), Dodoma, na kuthibitisha kwamba, kwa uzembe uliopo pale ofisini, hakuna mtu yeyote anayewaadhibu Maafisa...
2 Reactions
0 Replies
47 Views
Mimi ni Mwanasheria (Wakili), wa Mahakama Kuu na Mahakama zote za chini. Uzoefu miaka 5+ Jinsia - Mwanaume Maeneo ya ubobevu ni: - Masuala yote ya Ardhi, Mirathi na Ndoa, Kazi na Ajira...
3 Reactions
10 Replies
594 Views
Anonymous
Sisi wafanyakazi wa ujenzi wa Daraja la Mto Sanga linalounganisha Ifungilo na Usangijo, Wilaya ya Meatu, tunailalamikia Kampuni ya Busangwa Company Limited ya Shinyanga kwa kushindwa kutulipa...
0 Reactions
1 Replies
87 Views
Anonymous
Mimi ni mwalimu mpya wa Somo la Biashara ngazi ya Shule ya Sekondari, Arusha DC. Tulipata ajira mwezi Mei 2025, lakini hadi sasa hatujathibitishwa kazini, licha ya kuambiwa wakati wa mafunzo...
0 Reactions
0 Replies
13 Views
Anonymous
Walimu walioajiriwa hivi karibuni katika Halmashauri ya Wilaya ya Geita (Geita DC), huu ni mwaka wa pili sasa hatujapewa fedha za kujikimu, licha ya kuona watumishi wa idara nyingine wakilipwa...
0 Reactions
1 Replies
18 Views
Habari za muda huu wajomba! Naitwa Fareed age 26 Nimekuja Mdogo wenu Nàomba Kazi ya Udereva, Elimu: Form Four Najua pia kutumia Computer&English Language Driving Licence ✅ Cheti (VETA) ✅ National...
2 Reactions
5 Replies
125 Views
Anonymous
Ni Mwaka sasa tangu tumewasilisha kero yetu ya kutolipwa Fedha za Kujikimu kwa sisi watumishi wa VETA Intake ya September 2025. Hatujalipwa na kuna mmoja ya mtumishi mwenzenu yeye yupo Makao...
0 Reactions
3 Replies
93 Views
Habari ndugu zangu.? Naomba ufafanuzi mwenye kujua, inakuaje mtu umepata ajira hizi za utumishi kada ya ualimu toka mwezi wa 3, barua zako za mikataba serikalini zinasoma tar 17 na tar 18 mwezi...
5 Reactions
78 Replies
6K Views
Anonymous
Walimu wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru (Meru DC), hatujalipwa fedha za increment tangu mwezi Julai 2026. Kila tunapofuatilia kuhusu malipo hayo, tunaelezwa kuwa tatizo linasababishwa na mfumo wa...
0 Reactions
0 Replies
10 Views
Anonymous
Sisi watumishi wapya wa kada ya afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya (Mbeya DC), tunaomba kupaza sauti kuhusu kuchelewa kulipwa fedha za kujikimu. Tumeajiriwa mwezi wa tano, lakini hadi...
2 Reactions
2 Replies
33 Views
Anonymous
Sisi walimu walioajiriwa mwezi Januari 2026 katika Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama, Singida, tunaomba mamlaka husika zisaidie kufuatilia stahiki zetu za fedha za kujikimu ambazo tumekuwa...
5 Reactions
30 Replies
526 Views
Anonymous
Ofisi ya TAESA Mkoa wa Dodoma, inatoa nafasi za internship na fursa nyingine za kazi kwa upendeleo wa kujuana, badala ya kuzingatia sifa na vigezo vinavyostahili. Aidha, baadhi ya wanaopata fursa...
0 Reactions
0 Replies
65 Views
Anonymous
Sisi walimu walioajiriwa Januari 2026 katika Wilaya ya Mpwapwa, Dodoma, hatujapewa fedha za kujikimu. Mamlaka zimekuwa zikituzungusha bila majibu ya msingi. Tunaomba msaada wa kupaza sauti yetu...
0 Reactions
10 Replies
110 Views
Jamani maisha magumu mwenye connection au kazi au kibarua kwa geita au Mwanza pls nahitaji
2 Reactions
4 Replies
91 Views
Anonymous
Ndugu Anayehusika, Tunawasilisha malalamiko haya tukiomba taasisi yenu ifanye uchunguzi kuhusu stahiki za fedha za kujikimu kwa walimu wapya. Walimu wa ajira mpya tunalazimishwa kuandika barua...
0 Reactions
2 Replies
143 Views
Anonymous
Walimu tulioajiriwa mwaka 2026 tumefuatilia suala la fedha za kujikimu katika Wilaya ya Sengerema. Kero hii imefikia takribani miezi sita sasa bila kupata suluhisho la uhakika. Kila...
0 Reactions
1 Replies
43 Views
Baada ya kuajiriwa, hatukulipwa fedha za kujikimu kama inavyopaswa. Tuliingizwa kwenye mfumo wa malipo (payroll) na kuanza kuripoti kazini, lakini stahiki hizo bado hatujazipokea. Kutolipwa fedha...
0 Reactions
3 Replies
85 Views
Anonymous
Sisi watumishi walioajiriwa mwezi Julai 2025 katika Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe, Mkoa wa Mbeya, tunapenda kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu kutokamilishwa kwa malipo ya fedha za kujikimu...
0 Reactions
1 Replies
78 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…