Nilikuwa na Fanya kazi kama Mwalimu wa Somo la Kemia na Biolojia Shule ya Sekondari Uroki, Kata ya Machame Uroki, Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro inayomilikiwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri...
Habar wapendwa
Kuna huyu dada angu ana miaka 25
Elimu kidato cha one
Amesomea utalii ngazi ya certificate
Anaomba muamsaidie kazi yoyote halali ambayo anaweza kujiingizia kipato
Anapatikana moshi...
Leo mtatiro anawaamisha watumishi walio kuwa na shida ya ubadhifu na matumizi mabaya ya MADARAKA alafu mtatiro anaamua kama jitu la CCM na sio Cuf?
Hivi Mtatiro Ujui ukifa UTAKUTANA maelf...
Mimi ni Mfanyakazi wa Kampuni ya ulinzi inayoitwa G4S, Serikali ilitangaza kuwa kima cha chini ni 299k na ukijumulisha na overtime na sikukuu inatakiwa kiwe kuanzia 489k - 520k kwa normal guard...
Halmashauri ya Nsimbo Mkoa Katavi, fedha ya kujikimu kwa Walimu wa Sekondari hatujapata tangu Mwaka 2025, cha kushangaza Walimu wenzetu wa shule za msingi walipewa.
Tumefatilia majibu ni kwamba...
Mimi ni mlemavu wa viungo, sina mkono mmoja, Mwaka 2025 nimefanya usaili na nikapata alama 55 lakini sikuchaguliwa. Sasa nataka kuelewa labda kuna kitu sikuambatanisha, kwenye account ya...
TAMISEMI hasa upande wa LGA Hawajali masilahi ya Watumishi wao kila siku watu wanalamika hakuna majibu yanayojibiwa.
Tasisi zote zilizo na miradi ya Ujenzi Kuna hela inakuwepo kwa ajili ya...
Uzi huu ni maalum Kwa kutoa pongezi kwa Tume ya Utumishi wa Mahakama kama mfano wa Uwazi, Uharaka na Uadilifu Kwenye Ajira za Umma.
Nawapongeza kwa dhati Tume ya Utumishi wa Mahakama kwa namna...
Mimi ni mwajiriwa kwenye taasisi X na nimepangwa mkoa ambao mazingira yake sio mazuri kuendana na afya yangu. Nataka niombe kuhama kwenda mkoa Y.
Je, inawezekana ikiwa bado sijathibitishwa...
Sisi wafanyakazi wa zamani wa Kampuni Power Placers Ltd. ambayo ni kampuni iliyokuwa ikiajiri kwa ajili ya Wafanyakazi kufanya kazi chini ya Kampuni ya Yapi Merkezi kwenye mradi wa ujenzi wa reli...
Mimi ni Mtumishi Ajira mpya 2025, tumeripoti kazini tangu Machi 2025 Mkoa wa Geita ila cha ajabu mpaka sasa tumemaliza takribani miezi 10 hadi 11 hatujapewa hela za kujikimu.
Imekuwa kama mpira...
Ventilation Technician at Barrick January 2026
Ventilation Technician (01) Vacancy
Position Description
Bulyanhulu Gold Mine is seeking to recruit a Ventilation Technician to join and grow our...
Heshima yenu Wakuu
Niruke moja kwa moja kwenye mada
Humu kuna maCEO, MaHR, watu wana mabiashara yao makubwa wengine wana maconnection mbona hamtangazi hizo nafasi wadau tuingie mzigoni?
Mnaenda...
Mimi ni miongoni mwa walimu wa Sekondari (ajira mpya) mwaka 2025.
Baadhi tumeajiriwa mwezi wa pili, wa tatu hadi wa sita - lakini mpaka leo hatujapata pesa ya kujikimu.
Wenzetu walipewa pesa...
Nimeogopa kutaja directly kituo cha kazi huwenda nikajulikana
Lakini,
Muda mrefu umepita Baada ya kuripoti ila ni kama wanapotezea posho ya kujikimu wakati ipo kwa mujibu wa Sheria...
Mimi ni mmojawapo wa waaajiriwa katika idara mpya katika Halmashauri ya mji Kasulu.
Tumeajiriwa toka tarehe 1/07/2025 mpaka sasa hatujalipwa pesa za kujikimu.
Tukiiuliza, wanasema pesa hazijaja...
Wanafunzi wa Chuo cha Ukutubi, Uhifadhi wa Nyaraka na Tafiti (SLADS) kilichopo Bagamoyo chini ya Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB) tunapitia changamoto kadhaa:-
Nawasilisha kero hii kwa...
Shirika la Bima la Taifa (NIC) kumekuwa na changamoto kwenye makato kinyume na makubaliano ya wanachama hususani ajira mpya jambo ambalo linapelekea migogoro baina ya Sirika na wateja wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.