Je, ajira za Benki Kuu ya Tanzania (BoT) zinapatikana vipi na vigezo vyake ni vipi?

MR. JERO

Senior Member
May 16, 2014
139
81
Habari za asubuhi watanzania wenzangu.

Ninaomba kuuliza, hivi ajira za kazi kwa Benki ya Tanzania huwa zinatangazwa vipi. Na kama ukitaka ku apply inabidi uwe na vigezo vipi?

Nina ndoto zakufanya kazi B.O.T kwa mkoa wowote wa Tanzania na masomo niliyosomea ni ya biashara. Naomba msaada wenu.

Ndoto zangu zilianzia hapa...nikiwa kidato cha tatu,
Sikumoja nilikua napita ktk mabenki ktk mkoa mmoja kusini Kwa lengo lakubadili hela yangu (10,000Tzs) iliyokuwa imechanika. Hovyo kwamatumizi yakawaida ilikua ikishindikanika.

Nakumbuka nilipita km bank tatu tofauti na zote zilinipa majibu..."sisi hatubadili pesa chakavu hapa labda nenda banki nyingine unaweza pata huduma hiyo"

Sikuchoka na nilipoenda benki ya nne wao walinijibu kuwa niende B.O.T.

Nilielekea huko lakini baada ya kufika nilipatwa na mshangao kwa jinsi nilivohudumiwa. Wale wafanyakazi walionesha dhahiri wan amaadili ya kazi zao. Hawakunidharau na elf 10 yangu bali walikuwa straight kunielekeza kuwa ukitoka hapa. Utaenda pale. Baada ya pale nenda dirisha lile.

Kwakweli nilifarijika sana sana, kwani kuanzia walinzi hadi wafanyakazi wengine walinionesha kunijali. Tofauti na wale wa awali niliokuwa nipita kuuliza ktk banki kubadili fedha yangu.

Hapo ndipo ari yakusoma kwa bidii ilishika kasi kwa lengo moja tu. KUFANYA KAZI B.O.T
Na namshukuru Mungu mwaka jana nime graduate salama.

Utata unapoanzia nihapa.
Nikuwa, nimetafuta sana njia za kufanya maombi ya kazi huko lakini sijaona.
Nimejaribu kununua magazeti yale international wide kuwa huenda nikaona matangazo huko lakini wapi...
Nimetumia njia nyingi sana kufanikisha hili kwa kifupi bado sijafanikiwa.

Hivyo basi kwa yeyote mwenye uelewa na haya mambo naomba anipe namna ili niweze kukamilisha ndoto yangu.
 
Habari za asubuhi watanzania wenzangu.

Ninaomba kuuliza, hivi ajira za kazi kwa Benki ya Tanzania huwa zinatangazwa vipi. Na km ukitaka ku apply inabidi uwe navigezo vipi?

Ninandoto zakufanya kazi B.O.T kwa mkoa wowote wa Tz na masomo niliyosomea niya biashara. Naomba msaada wenu.

Ndoto zangu zilianzia hapa...nikiwa kidato cha tatu,
Sikumoja nilikua napita ktk mabenki ktk mkoa mmoja kusini Kwa lengo lakubadili hela yangu (10,000Tzs) iliyokuwa imechanika. Hovyo kwamatumizi yakawaida ilikua ikishindikanika.

Nakumbuka nilipita km bank tatu tofauti na zote zilinipa majibu..."sisi hatubadili pesa chakavu hapa labda nenda banki nyingine unaweza pata huduma hiyo"
Sikuchoka na nilipoenda banki ya nne wao walinijibu kuwa niende B.O.T.

Nilielekea huko lakini baada yakufika nilipatwa na mshangao kwa jinsi nilivohudumiwa. Wale wafanyakazi walionesha dhahiri wanamaadili ya kazi zao. Hawakunidharau na elf 10 yangu bali walikua straight kunielekeza kuwa ukitoka hapa. Utaenda pale. Baada ya pale nenda dirisha lile.

Kwakweli nilifarijika sana sana ,kwani kuanzia walinzi hadi wafanyakazi wengine walinionesha kunijali. Tofauti na wale wa awali niliokuwa nipita kuuliza ktk banki kubadili fedha yangu.

Hapo ndipo ari yakusoma kwa bidii ilishika kasi kwa lengo moja tu. KUFANYA KAZI B.O.T
Na namshukuru Mungu mwaka jana nime graduate salama.

Utata unapoanzia nihapa.
Nikuwa, nimetafta sana njia zakufanya maombi yakazi huko lakini sijaona.
Nimejaribu kununua magazeti yale international wide kuwa whuenda nikaona matangazo huko lakini wapi...
Nimetumia njia nyingi sana kufanikisha hili kwakifupi bado sijafanikiwa.

Kazi sa hivi hakuna serikalini. Boss wenu hana kipaumbele cha ajira. Ukiona tangazo bot ujue post ni watu wachache sana wanahitajika na io mbinde yake utachoka. Post watu 10 mnaaply watu 40k.

Naomba tu nikuambie mdogo wangu hio ndoto yako unaweza usiitimize kipind hiki jaribu kulala tena uote ndoto nyingine.
 
Haha akitoka kwenye io interview aende lumumba akatoe taarifa kuwa katoka kufanya interview ofisi flani asubiri majibu yake pale lumumba.

Akiwa kwenye interview amsifie tu boss wao aponde chadema aongelee umuhimu wa kununua ndege zinazoleta hasara..asifie uwanja wa ndege wa chato..amponde cag na kusema anatumika.

akifanikiwa kufanya hayo kazi atapata sio bot tu ata ikulu
Ni rahisi tu....Andaa kadi ya CCM na uvae shati la kijani lililoandikwa "CCM mbele kwa Mbele" halafu nenda kafanye "Intavyuu" yao.
 
Kuna baazi ya kazi,ajira si rahisi kuzipata hata kama ndoto yako hipo vipi,ni kuomba mungu kama sio mungu,basi familia yenu au jamaa yenu yupo kwenye mifumo ya kazi hizo au ajira hizo.
Habari za asubuhi watanzania wenzangu.

Ninaomba kuuliza, hivi ajira za kazi kwa Benki ya Tanzania huwa zinatangazwa vipi. Na km ukitaka ku apply inabidi uwe navigezo vipi?

Ninandoto zakufanya kazi B.O.T kwa mkoa wowote wa Tz na masomo niliyosomea niya biashara. Naomba msaada wenu.

Ndoto zangu zilianzia hapa...nikiwa kidato cha tatu,
Sikumoja nilikua napita ktk mabenki ktk mkoa mmoja kusini Kwa lengo lakubadili hela yangu (10,000Tzs) iliyokuwa imechanika. Hovyo kwamatumizi yakawaida ilikua ikishindikanika.

Nakumbuka nilipita km bank tatu tofauti na zote zilinipa majibu..."sisi hatubadili pesa chakavu hapa labda nenda banki nyingine unaweza pata huduma hiyo"
Sikuchoka na nilipoenda banki ya nne wao walinijibu kuwa niende B.O.T.

Nilielekea huko lakini baada yakufika nilipatwa na mshangao kwa jinsi nilivohudumiwa. Wale wafanyakazi walionesha dhahiri wanamaadili ya kazi zao. Hawakunidharau na elf 10 yangu bali walikua straight kunielekeza kuwa ukitoka hapa. Utaenda pale. Baada ya pale nenda dirisha lile.

Kwakweli nilifarijika sana sana ,kwani kuanzia walinzi hadi wafanyakazi wengine walinionesha kunijali. Tofauti na wale wa awali niliokuwa nipita kuuliza ktk banki kubadili fedha yangu.

Hapo ndipo ari yakusoma kwa bidii ilishika kasi kwa lengo moja tu. KUFANYA KAZI B.O.T
Na namshukuru Mungu mwaka jana nime graduate salama.

Utata unapoanzia nihapa.
Nikuwa, nimetafta sana njia zakufanya maombi yakazi huko lakini sijaona.
Nimejaribu kununua magazeti yale international wide kuwa whuenda nikaona matangazo huko lakini wapi...
Nimetumia njia nyingi sana kufanikisha hili kwakifupi bado sijafanikiwa.

Hivyo basi kwa yeyote mwenye uelewa na haya mambo naomba anipe namna ili niweze kukamilisha ndoto yangu.
 
Haha akitoka kwenye io interview aende lumumba akatoe taarifa kuwa katoka kufanya interview ofisi flani asubiri majibu yake pale lumumba.
Akiwa kwenye interview amsifie tu boss wao aponde chadema aongelee umuhimu wa kununua ndege zinazoleta hasara..asifie uwanja wa ndege wa chato..amponde cag na kusema anatumika.
akifanikiwa kufanya hayo kazi atapata sio bot tu ata ikulu
Sina mtu lumumba wala kwenye taasisi yoyote kubwa.
Nilichokua nikiamini mimi,nilijua qualifications ndizo zinaweza kuwa kigezo chakupambania nafasi huko.

Asa iweje tena watu flani, warithishane kazi flani tu kwasababu wao wapo sehem flani.
 
Habari za asubuhi watanzania wenzangu.

Ninaomba kuuliza, hivi ajira za kazi kwa Benki ya Tanzania huwa zinatangazwa vipi. Na km ukitaka ku apply inabidi uwe navigezo vipi?

Ninandoto zakufanya kazi B.O.T kwa mkoa wowote wa Tz na masomo niliyosomea niya biashara. Naomba msaada wenu.

Ndoto zangu zilianzia hapa...nikiwa kidato cha tatu,
Sikumoja nilikua napita ktk mabenki ktk mkoa mmoja kusini Kwa lengo lakubadili hela yangu (10,000Tzs) iliyokuwa imechanika. Hovyo kwamatumizi yakawaida ilikua ikishindikanika.

Nakumbuka nilipita km bank tatu tofauti na zote zilinipa majibu..."sisi hatubadili pesa chakavu hapa labda nenda banki nyingine unaweza pata huduma hiyo"
Sikuchoka na nilipoenda banki ya nne wao walinijibu kuwa niende B.O.T.

Nilielekea huko lakini baada yakufika nilipatwa na mshangao kwa jinsi nilivohudumiwa. Wale wafanyakazi walionesha dhahiri wanamaadili ya kazi zao. Hawakunidharau na elf 10 yangu bali walikua straight kunielekeza kuwa ukitoka hapa. Utaenda pale. Baada ya pale nenda dirisha lile.

Kwakweli nilifarijika sana sana ,kwani kuanzia walinzi hadi wafanyakazi wengine walinionesha kunijali. Tofauti na wale wa awali niliokuwa nipita kuuliza ktk banki kubadili fedha yangu.

Hapo ndipo ari yakusoma kwa bidii ilishika kasi kwa lengo moja tu. KUFANYA KAZI B.O.T
Na namshukuru Mungu mwaka jana nime graduate salama.

Utata unapoanzia nihapa.
Nikuwa, nimetafta sana njia zakufanya maombi yakazi huko lakini sijaona.
Nimejaribu kununua magazeti yale international wide kuwa whuenda nikaona matangazo huko lakini wapi...
Nimetumia njia nyingi sana kufanikisha hili kwakifupi bado sijafanikiwa.

Hivyo basi kwa yeyote mwenye uelewa na haya mambo naomba anipe namna ili niweze kukamilisha ndoto yangu.
Tafuta kadi ya ccm na jezi zake.. kisha nenda kamwone mwemyekiti wa ccm wa shina.. atakupeleka kuna ko husika
 
Tafuta kazi ya ccm na jezi zake.. kisha nenda kamwone mwemyekiti wa ccm wa shina.. atakupeleka kuna ko husika
Asante. Naona hii kazi ianze leo then kwa chochote nitakachokutananacho huko. Nitaleta mrejesho hapa.
 
Mdogo wangu unadhani wewe pekee ndio una hizo qualifications??
Unadhani wote wanaofanya kaz pale wana hizo qualifications??
Kama humjui mtu pale ni noma kupata kazi hata ue na gpa ya 5.
Katafte kwanza kadi ya ccm uende lumumba umuone katibu mwenezi wa chama mwamvie ww ni mzalendo umekuja kuunga mkono juhudi za mheshimiwa.
Hawez kosa mtu bot pale kukudirect
Sina mtu lumumba wala kwenye taasisi yoyote kubwa.
Nilichokua nikiamini mimi,nilijua qualifications ndizo zinaweza kuwa kigezo chakupambania nafasi huko.

Asa iweje tena watu flani, warithishane kazi flani tu kwasababu wao wapo sehem flani.
 
kikawaida BOT huwa wanatangaza kwenye vyombo vya habari kama wana nafasi iliyo wazi.
Ila mara nyingine BOT wanakwenda chuoni na kuajiri moja kwa moja wale waliofaulu vizuri sana darasani ambao vipanga kuna ndugu yangu alimaliza BCOM alipata first class yaani mwaka wao wote waliopata First class BCOM waliajiriwa BOT.

Otherwise pia wanaoffer scholership yao inaitwa mwalimu nyerere scholership kusomesha masters degree, mara nyingi watu wanaomaliza hizo scholership na kufanya vizuri pia wanapewa ajira BOT kiufupi BOT wanaangalia sana grade zako za darasani degree yako ili kupata ajira kwa sasa. zamani wakati wa akina liumba kulikuwa na kamtelezo flani hivi hadi watu wasiokuwa na vyeti waliajiriwa ila kwa sasa hakuna huo ubabaishaji. Kama hauna first class ndugu achana na mawazo ya kufanya kazi BOT
 
Kufanya kazi B.O.T kama ni mtoto wa mzee Tola mlia gizani ni uwe vizuri na smart kichwani, nimefika mara kazaa yaani utasikia wamesoma mzumbe, Tabora boys, kibaha, kilakala, marian

Sijui umesoma Tosamaganga Sekondari ukaenda Ud ukapiga B.O.T utaisikia tu

Mwisho..

Wafilipi 4:6 Msijisumbue kwa neno lolote bali kwa kila neno kwa kusali na kuomba

Naamini katika Maombi na Mungu siku zote

Tunaomuamini Yesu Kristo, tuna mamlaka ya kuingia popote kwa nguvu za Imani

Usiache kuomba na kukata tamaa kama yule mjane wa luka 18:1-8
 
We sema umemaliza Chuo huna ajira, vijana wengi mmekuja na matangwzo ya kuuliza sana taasisi nyeti za serikali wewe unauliza ajira BOT, mwenzio jana kauliza mishahara ya TISS, mwingine Mishahara ya Majeshi, acheni tamaa ya kufikiri huko kuna mipesa mingi. Tafuta ajira kokote fanya kqzi upate mkate wako.
Habari za asubuhi watanzania wenzangu.

Ninaomba kuuliza, hivi ajira za kazi kwa Benki ya Tanzania huwa zinatangazwa vipi. Na km ukitaka ku apply inabidi uwe navigezo vipi?

Ninandoto zakufanya kazi B.O.T kwa mkoa wowote wa Tz na masomo niliyosomea niya biashara. Naomba msaada wenu.

Ndoto zangu zilianzia hapa...nikiwa kidato cha tatu,
Sikumoja nilikua napita ktk mabenki ktk mkoa mmoja kusini Kwa lengo lakubadili hela yangu (10,000Tzs) iliyokuwa imechanika. Hovyo kwamatumizi yakawaida ilikua ikishindikanika.

Nakumbuka nilipita km bank tatu tofauti na zote zilinipa majibu..."sisi hatubadili pesa chakavu hapa labda nenda banki nyingine unaweza pata huduma hiyo"
Sikuchoka na nilipoenda banki ya nne wao walinijibu kuwa niende B.O.T.

Nilielekea huko lakini baada yakufika nilipatwa na mshangao kwa jinsi nilivohudumiwa. Wale wafanyakazi walionesha dhahiri wanamaadili ya kazi zao. Hawakunidharau na elf 10 yangu bali walikua straight kunielekeza kuwa ukitoka hapa. Utaenda pale. Baada ya pale nenda dirisha lile.

Kwakweli nilifarijika sana sana ,kwani kuanzia walinzi hadi wafanyakazi wengine walinionesha kunijali. Tofauti na wale wa awali niliokuwa nipita kuuliza ktk banki kubadili fedha yangu.

Hapo ndipo ari yakusoma kwa bidii ilishika kasi kwa lengo moja tu. KUFANYA KAZI B.O.T
Na namshukuru Mungu mwaka jana nime graduate salama.

Utata unapoanzia nihapa.
Nikuwa, nimetafta sana njia zakufanya maombi yakazi huko lakini sijaona.
Nimejaribu kununua magazeti yale international wide kuwa whuenda nikaona matangazo huko lakini wapi...
Nimetumia njia nyingi sana kufanikisha hili kwakifupi bado sijafanikiwa.

Hivyo basi kwa yeyote mwenye uelewa na haya mambo naomba anipe namna ili niweze kukamilisha ndoto yangu.
 
We sema umemaliza Chuo huna ajira, vijana wengi mmekuja na matangwzo ya kuuliza sana taasisi nyeti za serikali wewe unauliza ajira BOT, mwenzio jana kauliza mishahara ya TISS, mwingine Mishahara ya Majeshi, acheni tamaa ya kufikiri huko kuna mipesa mingi. Tafuta ajira kokote fanya kqzi upate mkate wako.
Sina lengo hilo mkuu kua kujitangaza ili nipate ajira sehem nyeti.
Lengo langu ilikua nikupata ushauri ninamna gani ningeweza kufanikisha ndoto zangu kwenda kufanya kazi huko.
Ninachoamini mimi hata hao wafanyakazi ktk sehem hiyo ni binadam km mimi na whuenda walikuwa na ndoto km mimi na walizisimamia ndoto zao na ndomaana leo wako pale.

Kikubwa siwezi kukata tamaa . Kuna vitu vingi nimevipata hapa kupitia michango ya baadhi ya ndugu zangu ambapo nimeona kunaukweli ndani yake ikiwa ni kumuomba MUNGU kulitimiz hili, kupitia mara kwa mara ktk kurasa zao.
#ibelieveican
 
Graduetes wengi ndo tulivyo ile umemaliza chuo tu basi unataman kufanya kazi kwenye sekta nyeti. Kazi ni kazi tu usichague sijui BOT sijui WB ndugu yangu utazeeka mtaani bila hata godoro la inch 2/3, kama hutaki kujiajir basi tafuta kaz yoyote ile halali na hiyo kazi halali hata kama mshahara mdogo ila inaweza ikakupeleka kwenye dream job yako, me nakushauri achana na mambo ya BOT kwa sasa focus na ajira nyingine, ingekua enz zile za JK sawa ila kipindi hiki utajikausha uzazi bureeeee
 
Usinikatishe tamaa nduguyangy
Nadhani haujajua nikwanamna gani na mudagani nimeyabeba maono haya.
Ningeomba unipe mbinu na ikiwezekana hata connection nifike huko na ila sio kunivunja moyo km hiv
 
Habari za asubuhi watanzania wenzangu.

Ninaomba kuuliza, hivi ajira za kazi kwa Benki ya Tanzania huwa zinatangazwa vipi. Na km ukitaka ku apply inabidi uwe navigezo vipi?

Ninandoto zakufanya kazi B.O.T kwa mkoa wowote wa Tz na masomo niliyosomea niya biashara. Naomba msaada wenu.

Ndoto zangu zilianzia hapa...nikiwa kidato cha tatu,
Sikumoja nilikua napita ktk mabenki ktk mkoa mmoja kusini Kwa lengo lakubadili hela yangu (10,000Tzs) iliyokuwa imechanika. Hovyo kwamatumizi yakawaida ilikua ikishindikanika.

Nakumbuka nilipita km bank tatu tofauti na zote zilinipa majibu..."sisi hatubadili pesa chakavu hapa labda nenda banki nyingine unaweza pata huduma hiyo"
Sikuchoka na nilipoenda banki ya nne wao walinijibu kuwa niende B.O.T.

Nilielekea huko lakini baada yakufika nilipatwa na mshangao kwa jinsi nilivohudumiwa. Wale wafanyakazi walionesha dhahiri wanamaadili ya kazi zao. Hawakunidharau na elf 10 yangu bali walikua straight kunielekeza kuwa ukitoka hapa. Utaenda pale. Baada ya pale nenda dirisha lile.

Kwakweli nilifarijika sana sana ,kwani kuanzia walinzi hadi wafanyakazi wengine walinionesha kunijali. Tofauti na wale wa awali niliokuwa nipita kuuliza ktk banki kubadili fedha yangu.

Hapo ndipo ari yakusoma kwa bidii ilishika kasi kwa lengo moja tu. KUFANYA KAZI B.O.T
Na namshukuru Mungu mwaka jana nime graduate salama.

Utata unapoanzia nihapa.
Nikuwa, nimetafta sana njia zakufanya maombi yakazi huko lakini sijaona.
Nimejaribu kununua magazeti yale international wide kuwa whuenda nikaona matangazo huko lakini wapi...
Nimetumia njia nyingi sana kufanikisha hili kwakifupi bado sijafanikiwa.

Hivyo basi kwa yeyote mwenye uelewa na haya mambo naomba anipe namna ili niweze kukamilisha ndoto yangu.
Kila la kheri mkuu. Ndoto hii yawezekana kabisa kutimia pasi kumfaham yeyote. Nakuelewa vizuri unaposifia huduma uliyowah pata toka kwao. Amin katika ndoto yako...ifanyie kazi...sala muhm,utafanikiwa. Kuhusu matangazo...ni kupitia magazet ya serikali...au yenye mzunguko mkubwa sokoni,pia mara kwa mara usiache kupitia website yao.
 
Thanks
 
Usinikatishe tamaa nduguyangy
Nadhani haujajua nikwanamna gani na mudagani nimeyabeba maono haya.
Ningeomba unipe mbinu na ikiwezekana hata connection nifike huko na ila sio kunivunja moyo km hiv
Sio anakukatisha tamaa bali anakwambia ukweli.
Inavyoonekana ww una imani fulani ya ajabu ya kutoshirikisha ubongo wako.
Unafanana na wale wasabato kipindi kile waliokusanyika airport wakitaka kusafirisha kwenda nje ya nchi bila ya kuwa na ticket.
 
Back
Top Bottom