Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Ndugu wana JF na yeyote atakaeona uzi huu, Kwa unyenyekevu mkubwa naomba kuleta kwenu ombi kwa anaefahamu au mwenye connection au umesikia sehemu kuna nafasi za kazi naomba nina vijana wangu...
1 Reactions
0 Replies
139 Views
Anonymous
Wakuu habari, Kwa taarifa za chini chini, Serikali inaenda kuhuisha sheria hizo kupitia Ofisi ya waziri Mkuu... Kumbuka sheria hasa ya mishahara binafsi inaenda kufanyiwa marekebisho; kuanzia...
2 Reactions
7 Replies
431 Views
Anonymous
Walimu Ajira Mpya mwezi wa kwanza 2026 had leo hatujapewa pesa za kujikimu Halmashauri ya Wilaya ya Babati, tunateseka hatuna hela ya matumizi. Pia Walimu wa Science na wa Arts huwa mishahara...
3 Reactions
3 Replies
411 Views
Location: Horizons College of Learning and Enrichment, Australia Position Type: Full-time Salary:Competitive, based on experience and qualifications Application Deadline: 30/10/2024 Job...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Anonymous
Habari JamiiForums Kuna vijana wenzetu tuliajiriwa nao Mwaka 2024 wao Mahakama sisi LGA, wale wa LGA tukathibitishwa 12/2025 lakini wao Mahakama mpaka leo bado, wanalalamika tu bado yaani kiufupi...
1 Reactions
3 Replies
158 Views
Habarini ndugu zangu mm ni kijana wa miaka 23 nimemaliza chuo hv karibuni ila sina mchongo wowote mtaani sasa nina idea za kusoma short course za OSHA, huenda nikapata hata kijikazi cha...
5 Reactions
5 Replies
287 Views
Anonymous
Mimi ni Mwalimu wa Manispaa ya Kibaha, kero yangu kubwa ni kuhusu madaraja ya ngazi ya mshahara, sisi tulioajiriwa Mwaka 2014 tupo nyuma kwa daraja moja. Mpaka sasa kwa muda tuliokaa kazini...
1 Reactions
5 Replies
312 Views
Anonymous (a103)
Mimi ni mwakilishi wa Watumishi kadhaa ambao naweza kusema ni wengi katika Hospitali ya Bugando (BMC), kuna malalamiko dhidi ya uongozi ambao tunaweza kusema kuna "unyonyaji na ukandamizaji"...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Anonymous
Mimi ni Afisa Tabibu (Clinical Officer) nilihitimu chuo Mwaka 2020 tulifanya interview tarehe 19/12/2025 ila hadi sasa hatujaona pdf ya walioajiriwa miongoni mwa tuliofanya interview...... Je...
0 Reactions
1 Replies
181 Views
Ninaandika hapa kuwasilisha kero inayotukumba sisi baadhi ya watumishi wapya wa Afya wa Halmashauri ya Mafia tulioajiriwa mwaka 2025/2026. Mpaka sasa, watumishi hatujalipwa hatujalipwa kabisa...
0 Reactions
1 Replies
125 Views
Natumaini kila mwenye sifa au ndugu mwenye sifa amfikishie taarifa. Nafasi 340+ ni nyingi sana. Probability ya kupata ni kubwa. Ajira Portal afanye Application
2 Reactions
2 Replies
240 Views
Wakuu habarin za muda huu Moja kwa moja niende kwenye mada nimehitim mwaka juz shahada ya finance baada ya kumaliza nilifanikiwa kufanya sail za sekretareieti ya ajira zaidi ya 6 na zingine...
2 Reactions
9 Replies
568 Views
Achana na hizi kazi za kwenye vijikampuni uchwara vya wachina au wahindi. Nauliza kuna mtu amewahi kupata kazi ya maana either serikalini au kwenye makampuni ya kimagharibi na NGO kwa nguvu za...
9 Reactions
173 Replies
28K Views
Anonymous (b60c)
Mradi wa Mabasi ya Mwendo Kasi jijini Dar es Salaam, ulianza kwa mafanikio makubwa na mapato mengi. Hata hivyo, hali ilibadilika baada ya viongozi wa juu kuzidisha "michezo yao" kisha wanatumia...
4 Reactions
10 Replies
468 Views
Habari za wakati huu 👋 Mimi ni mtaalamu wa masuala ya kihasibu (Accounting) ninayetoa huduma mbalimbali kwa wafanyabiashara, makampuni na hata individuals. 🔹 Huduma ninazotoa: ✔️ Kutengeneza...
0 Reactions
0 Replies
104 Views
Anonymous
Sisi Walimu wa Ajira Mpya Mbeya Mjini hatujalipwa pesa yetu tangu Mwaka 2025, waliokuja wapya wa mwaka huu pia hawajalipwa wakati Halmashauri za pembeni wamelipwa muda tu. Soma Pia:
0 Reactions
1 Replies
114 Views
Anonymous
Halmashauri ya Itilima iliyopo Mkoani Simiyu vivyo hivyo pia Watumishi wake walioajiriwa Mwaka 2024 katika Sekta ya Afya hawajathibitishwa kazini. Hii inaleta ulakini ni nini hasa changamoto...
0 Reactions
0 Replies
134 Views
Anonymous
Malalamiko kuhusu hali ya ajira katika kiwanda cha Jambo kilichopo Shinyanga yamekuwa yakijitokeza mara kwa mara, hasa kutoka kwa wafanyakazi wazawa. Inadaiwa kuwa kuna hali ya upendeleo katika...
0 Reactions
5 Replies
271 Views
Anonymous (b60c)
Somo: Ombi la Mapitio ya Mfumo wa Ajira kwa Wahitimu wa National College of Tourism Mheshimiwa, Kwa heshima na taadhima, napenda kuwasilisha waraka huu kwa lengo la kuangazia changamoto ya ajira...
0 Reactions
0 Replies
167 Views
Anonymous (8b17)
Watu wa nje wanaotaka kupata vibali vya kazi siku hizi wanapata changamoto kubwa. Zaidi ya mwezi mmoja sasa mfumo wa vibali vya kazi (OWAIS) haufanyi kazi. Hii ina maana kwamba maelfu ya watu wa...
0 Reactions
0 Replies
120 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…