Job Summary
Job Purpose: Support operations by ensuring proper usage, regular maintenance and repairs of assigned vehicles for high performance and to undertake driving assignments within and...
Habari za muda huu Ladies & Gents nakuja Moja Kwa Moja kwenye mada tajwa hapo juu....
Nilikuwa nauliza hawa madereva wa hizi gari za Azam zinazojulikana kama SARAFU mishahara yao inaweza fika...
Habari wanajamvi naomba mnisaidie kujua vigezo gani vinaangaliwa ili kupata tenda ya usafi mgodini Mimi n mjasiriamali mdogo lengo langu ni kupata takataka za chuma km drill bit nk yan skrepa...
Napenda kutoa salamu kwa wote jamani ni wote ni wazima poleni kwa majukumu mimi ni kijana wakiume mwenye umri wa miaka 21 elimu kidato cha nne natafuta kazi yeyote ile iwe ya kiwandani, ofisini...
Wakuu nimerudi kwenu tena, nipo dar es salaam natafuta nafasi ya kazi. Kazi yoyote inayo husu computers naweza fanya!. Data entry, Microsoft Office works, computer software repair and maintenance...
Unitrans Tanzania Limited has the following exciting opportunity at Kilombero and Kilosa Districts, Morogoro Region where is subcontracted for various agricultural operations to the sugar...
Waziri Ummy Mwalimu alihaidi kuwa kufikia mwezi December watakasema ameajiri walimu elfu 10.
Hiyo ilikuwa mwezi wa 8, mwezi wa9 majaliwa akasema kibari Cha ajira kimetoka,lakini mpaka Leo mwaka...
Looking For:
Unpaid Internship in IT fields, specifically Networking, Database Management, Web Development.
Name: AvailableIntern
Sex: Female
Age: 26yrs
Address: Kigamboni, Dar es Salaam...
Niko maeneo ya Pugu
Nina kazi kidogo ya kupaka rangi chumba kimoja. Nahitaji fundi wa kufanya kazi hiyo na awe anatoka maeneo ya jirani na Pugu.
Karibuni sana.
Sent from my TECNO CC6 using...
Mimi kijana mwenye miaka 29 natafuta kazi yeyote kuhusu elimu mi degree holder, lakini njaa haijui Mambo ya degree.
Nahitaji kazi yeyote iwe halali au haramu. Naweza fanya sales and marketing...
Hello naitwa Kelvin nipo mbeya kwetu kwasasa(from kahama). Nimekuja mbele yenu tena ndugu zangu natafuta kazi/kibarua. Nna elimu ya ualimu wa sekondari.
Pia nna ujuzi wa kutumia computer (Ms...
Habari wana JamiiForums,
Kuna mtu anifahamu hio kampuni "JOB JUNCTION"? Niliona wametuma kazi nikaaply, kufika wananiambia wao ni recruitment agency kazi yao ni kuwaunganisha wanaotafuta kazi na...
Habari,
Natafuta kazi ya ukemia wa dhahabu (gold processing)
Kwa mwenye connection ama kazi naomba anisaidie wakuu maisha magumu bila kazi ndugu zangu tusaidiane
Jinsia yangu ni +ke hata kazi...
Kichwa tajwa hapo juu chajieleza natafuta field kwenye kampuni lolote binafsi au la serikalii level yangu ni diploma
Kweny maeneo ya
Sales
Marketing
Customer care
Store keeper
Kwa ambaye...
JOB VACANCY
We wish to invite applications from suitably qualified candidates to fill in these challenging positions
POSITION: CABIN CREW – 6 POSTS
REPORTS TO: CHIEF CABIN CREW
DUTY STATION: DAR...
WFP celebrates and embraces diversity. It is committed to the principle of equal employment opportunity for all its employees and encourages qualified candidates to apply irrespective of race...
DRC has been implementing emergency response projects in Tanzania since the onset of the Burundi refugee crisis in 2015 in three refugee camps in the Kigoma Region at the border with Burundi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.