Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Location - Tanzania Salary - USD3000 to USD4000 plus accommodation, vehicle and medical aid, depending on experience Our client is a large established agricultural organisation who is looking for...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Hello wadau,naombeni msaada kidogo,huwa ninaomba ajira za nmb bank kupitia site yao https://careers.nmbbank.co.tz/ lakini cha kushangaza sijawahi kuitwa hata katika interview au hata kuambiwa...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
JOB OPPORTUNITIES A Tanzanian IT Company in Dar Es Salaam is looking for: 1. Stationery/Café Attendant (1) 2. IT Officer (1) 3. IT Sales Officer (1) 4. Accountant Cum Office Admin (1) 5. IT...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
  • Closed
Nafasi ya kujitolea kwa Dereva, awe amepita NIT. Umri kuanzia miaka 25 na kuendelea. Awe tayari kukabiliana na Mazingira ya kazi. Akiwa fundi itakuwa sifa ya ziada pia. Mawasiliano: 0759330546
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Jaman naomba kwa wale ambao mnauzoefu na haya maswala ya application ajira portal mnielekeze nb maana nimekuwa muanga wa kila kukicha kufuatilia majina ya usahili kwa nafasi ya postal clerk ambayo...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Mm ni mhitimu wa Diploma ya Udaktari natafuta kazi kituo chochote cha kufanya kaz. Dodoma, Morogoro na Dar namba zangu ni hizi 0711245598.
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Ninahitaji vijana wachache ndani ya Wilaya ya Mbogwe kwa ajili ya kuanzisha nao miradi wa kuozesha taka za sokoni kuwa mbolea nzuri ya shambani kwa muda mfupi kwa kutumia njia ya kibaiolojia ya...
7 Reactions
37 Replies
6K Views
The School of St Jude hereby invites interested members of the public to bid for the purchase of 1,200 litres of dirty (used) oil from motor vehicles routine services. Please click to read the...
0 Reactions
1 Replies
504 Views
Habari ndugu zangu mimi kijana pia baba wa familia nategemewa naangaliwa mimi nipo Dar es Salaam najishughulisha na biashara. Sasa hivi napitia changamoto sana kodi yangu imeisha pia biashara...
22 Reactions
166 Replies
10K Views
Tangu Mama ameingia madarakani amerejesha matumaini ya ajira kwa vijana wa kitanzania kulinganisha miaka 6 kabla yake. Hii Ni baada ya miaka yake miwili kuajiri kada ya elimu na afya. Na hili...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, Kwa majina nahitwa HAMISI JUMA IBRAHIM Nina Degree ya Business Administration natafuta kazi yoyote mkono huende kinywani ila hata ya kufundisha kama ni College Kwa masomo ya...
0 Reactions
1 Replies
472 Views
Habari zenu ndugu zangu, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 elimu yangu ni kidato cha sita.Naomba mnisaidie ajira yoyote ile ya kufanya itakayoniingizia kipato mimi napatikana...
0 Reactions
5 Replies
734 Views
Je, Unatumaga Maombi ya kazi/ujumbe/document kwa njia ya Email na huweki Subject na body of Email? Je, Umetuma maombi mengi ya kazi kwa njia ya Email na hujapata majibu? HII HUENDA NDIO SABABU...
4 Reactions
5 Replies
5K Views
Yes, It's me again. Nimechoka na Hela za kula. Sitaki uje na idea ya million 10, 20 , 330 hizo Hela za kula. At least anzia deal la 50M. Deal lolote. Ila isiwe tu mambo ya bendera yenye rangi...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Wapendwa habari zenu Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Wanajamvi hivi ikitokea umepata kazi lakini kwasababu fulani ukahitaji kutokwenda kazini. Je ni hatua gani unatakiwa kuzifuata ili...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Natafuta sehemu ya kujitolea ni mhitimu 2022 , shahada ya kwanza ya utawala na rasilimali watu Tumaini university ......napatikana Mbeya
0 Reactions
3 Replies
685 Views
Mimi ni kijana umri miaka 26, mwenyeji wa mkoa wa songwe ambako ninaishi mpaka sasa. Nimemaliza kidato cha nne na kupata div 2 point 20 mwaka 2015, nilifaulu vizuri masomo ya sayansi hivyo...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wakuu, Mimi nina umri miaka 24 elimu yangu ni kidato cha nne nilipata division 2 nina basic Technician Certificate in Computer science hivo naomba mweny kibarua tusaidiane kuinuana kazi...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 natafuta kazi iwe kwenye taaluma yangu au nje ya taaluma yangu nimehitimu diploma ya uhasibu na nina uzoefu kama cashier kwa miaka mitatu na kuuza duka...
3 Reactions
3 Replies
655 Views
Back
Top Bottom