Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Poleni na mihangaiko ya siku nzima Wakubwa zangu kwa Wadogo zangu., Kama mada inavyojieleza natafuta kazi yoyote halali ambayo inaweza kunikwamua kwenye hii hali mbaya niliyonayo ya kiuchumi...
2 Reactions
6 Replies
870 Views
Habari wana JF, matuamaini yangu ni wazima. Kichwa kama kinavojieleza kwa ufupi, Nina uhitaji wa kazi yoyote ya halali isiyohitaji vyeti ili kuendesha maisha, Japo elimu yangu ni kidato cha...
1 Reactions
6 Replies
904 Views
NYS TANZANIA inapenda kuta taatifa ya nafasi za kazi za kujitolea maka ifuatavyo Mwisho wa kutuma maombi ni jumatano tarehe 13/3/2024 SAA 6 usiku.!!
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu kwema kuna Watu walifanya usahili uhamiaji na magereza washaripoti? Kama unafahamu chochote NAITAJI majibu
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Request For Information (RFI) FOR SUPPLY, INSTALLATION, TESTING AND COMMISSIONING OF GRID TIED SOLAR SYSTEM NMB Bank PLC is a fully-fledged commercial bank listed at the Dar es Salaam Stock...
0 Reactions
1 Replies
542 Views
CONSULTANCY OPPORTUNITY End of Term Evaluation – Smallholder Coffee Development Project (CODE-P) in Tanzania Vi Agroforestry, a Swedish development organization, seeks to evaluate the...
0 Reactions
1 Replies
489 Views
About the company Tanganyika Plywood LTD (TPL) produces plywood for the local and regional markets in East Africa. It uses sustainable plantation materials, specifically eucalyptus and pine. The...
0 Reactions
1 Replies
705 Views
Job Title: Monitoring, Evaluation & Learning (MEL) Director Application Deadline: Apr 30,2024 Position Type: Full-time Position Category:b Company/Division/Subdivision: JSI – Local Hire Location...
1 Reactions
1 Replies
576 Views
Job Title: Deputy Chief of Party Application Deadline: Apr 30,2024 Position Type: Full-time Position Category: Local hire, paid in-country Company/Division/Subdivision: JSI – Local Hire Location...
0 Reactions
1 Replies
494 Views
Cotton Development Trust Fund (CDTF) was incorporated in Tanzania on 4th March 2008 under Trustees Incorporation Act (CAP.318 R.E. 2002) as per certificate of incorporation No. 3352. The Fund is a...
0 Reactions
1 Replies
534 Views
Introduction: WAJIBU – Institute of Public Accountability was founded in 2015 to foster an environment that supports transparency, accountability and good governance in the management of public...
0 Reactions
1 Replies
524 Views
Nina miez kadhaa mwanza natafuta walau kibarua Cha kuniweka mjini nipate hela. Niende gereji kujifunza umeme wa magari. Lkn kibarua , ajira ni mgumu Sana Kama hauna unayemfahamu Mambo ni magumu...
3 Reactions
100 Replies
5K Views
Position Tittle : Sales Executive Lumac Construction & General Supplies Co. LTD is a Tanzania incorporated company and locally owned that offers construction, project management and general...
0 Reactions
3 Replies
532 Views
pharmacist anatafutwa Requirements: awe na cheti kilichosajiliwa na baraza la wafamasia Location: Dar es salaam Payment: 600,000Tsh Contact: 0782121208
2 Reactions
9 Replies
797 Views
Kwa heshima kubwa na taadhima nawasalimu katika hali zote Mimi ni kijana wa miaka 27, elimu yangu ni ya kidato cha sita, niko Dar es salaamn. Nilisoma chuo kikuu, sikufanikiwa kumaliza kwa sababu...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Habarini viongozi, Nina umri miaka 24. Naishi ARUSHA naishi na mama yangu pekee toka nikiwa mdogo mpk sasa Elimu yangu ni DIPLOMA OF COMMUNITY DEVELOPMENT. Nawaomba sana msaada wa kupata AJIRA...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
TANGAZO Anahitajika Mfanyakazi wa kike mchapakazi kwa ajili ya kazi za Stationery. Awe Mwaminifu na mdhamini mwenye makazi ya kudumu. Awe anajua Microsoft office(Ms Office , Ms Excel...
4 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari Nimeitwa kwenye practical ya utumishi kada network administrator, ningependa kupata hints jinsi namna maswali yanavyotoka na ni part ipi nijiandae vizuri.
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Credit collector vacancy: Tasks: Report to : Team leader (Immediate Supervisor) -To collect not less than 750k per day from business debtors within given territory and to issue accurate receipts...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Napenda kuwasilisha kama inavyojieleza je BOT taasisi huwaga haitoi nafasi kwa vijana wa kujitolea au ??? Wenye ujuzi wa hili msaada
0 Reactions
2 Replies
649 Views
Back
Top Bottom