Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

The Role IT consultant for HMF project Project Background and objectives The International Finance Corporation (“IFC”), the private sector arm of the World Bank Group (“WBG”), fosters...
1 Reactions
1 Replies
521 Views
Habari za mida wakubwa zangu! Naitwa Mzelela Ally, nina miaka 25 ni dereva na nimesomea VETA pamoja na N.I.T. course ya Public Service Vehicle na nina lesen Class A, B, D, C1, E pia nina uzoefu...
1 Reactions
1 Replies
626 Views
Wakuu nipo hapa tena mbele yenu bado natafuta kazi sehemu yeyote ile viwandani na sehemu nyiginezo naamin kupitia jukwaa hili mtanisaidia ombi langu wenye connection sehemu mbali mbali naombeni...
1 Reactions
11 Replies
978 Views
wakuu naomba kujua mshahara wa katibu mkuu na naibu katibu mkuu. kama pia kuna marupu rupu naomba nijue
3 Reactions
33 Replies
10K Views
Hakika hali ni mbaya. Katika mizunguko yangu ya kumalizia weekend, nikasema niingie kwenye ki-pub kimoja cha mtaani nipate hata ka-bia kamoja kupoza Koo. Mhudumu mdada aliyenihudumia ni graduate...
41 Reactions
382 Replies
31K Views
Mimi ni muhitimu wa shahada ya kwanza ya elimu, nimesomea ualimu wa masomo ya Kingereza na fasihi ( English Language and Literature) pia nina uwezo wa kufundisha lugha ya Kifaransa (FRENCH)kwa...
0 Reactions
2 Replies
502 Views
Naomba kuuliza juu ya Tangazo hili kama ni la kweli, maana linasambaa sana. [emoji120]
10 Reactions
255 Replies
22K Views
Muda wa kazi Saa 4 Usiku - Saa 4 Asubuhi Majukumu: Wakala Mitandao ya Simu Mshahara 200,000 Mawasiliano: PM Eneo la kazi: Mbezi Mwisho VIGEZO NI VILE VILE KAMA 👇...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
kwa utafiti wangu nimegundua kuwa kazi zifuatazo zinalipa 1.C.E.O(Directors), 2.doctors 3.lawyers(jaudges&advocates) 4.soldiers 5.engineers 6.politicians 7.managers 8.accountants . Without...
5 Reactions
92 Replies
24K Views
Wana jamii, Ningependa kusikia ushauri wenu kuhusu best companies to work for in Tanzania. Hii ina include salary, benefits, employee development, etc.
0 Reactions
162 Replies
73K Views
Habari wakuu. ELIMU: Bachelor of science in Mechanical Engineering from University of Dar es Salaam. UZOEFU Nina uzoefu wa miaka 4 kwenye masuala ya Machine design, Metal fabrication, Machine...
4 Reactions
46 Replies
7K Views
Kama kichwa kinavyojieleza, JF naomba mtupatie mrejesho wa zile nafasi za kazi mlizotangaza. Natanguliza shukrani.
5 Reactions
8 Replies
564 Views
Habari zenu ndugu zangu. Katika harakati za kujipambania kutafuta ajira na kulingana na kasi ya teknolojia ya dunia inavoenda, kuna mambo muhimu sana ya kuzingatia kabla ya kusubmit application...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu zangu, mimi ni kijana me (24) elimu yangu 4m 4. Natafuta kazi yoyote ndani ya Dar napatikana kwa namba 0783090144.
3 Reactions
8 Replies
795 Views
Natafuta kazi yoyote, Nina diploma ya banking and finance, ninaishi Dar es salaam, ni mwanamke.
3 Reactions
13 Replies
1K Views
AJIRA MPYA 12,000 ZA WALIMU KUPUNGUZA CHANGAMOTO YA UPUNGUFU WA WALIMU - Mhe. Katimba Na. James K. Mwanamyoto OR TAMISEMI Naibu Waziri, Ofisi ya Rais-TAMISEMI (Elimu) Mhe. Zainab Katimba...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Salute kwa wanajamii wote! NB: Nipo tayari kufanya kazi mazingira ya mjini au Vijijini. KWA MASHIRIKA YA VIKUNDI VYA KIJASILIAMALI naweza Kuunda mashine,mbalimbali zinazotumia teknolojia ya...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Julai 15 kila mwaka ni Maadhimisho ya Siku ya Ujuzi kwa Vijana Duniani, ilipitishwa mwaka 2014 na Shirika la Umoja wa Mataifa kuadhimisha umuhimu wa kuwawezesha vijana na ujuzi ili kuwawezesha...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Nina Mdogo wangu anataka nimfanyie application ila anashindwa kutambua achague mkoa gani Aishi Kati ya hii 1 Kagera 2 Katavi 3 Kigoma 4 Lindi 5 Manyara 6 Mara 7 Mbeya 8 Morogoro 9...
0 Reactions
11 Replies
703 Views
Kwa wale job seeker walio soma diploma zinazoendana na utawala kuna mtiririko wa kazi zinatangazwa ajiraportal (https://portal.ajira.go.tz/user/auth/login) nendeni mka compete mpate sehem za...
4 Reactions
0 Replies
450 Views
Back
Top Bottom