Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Kwanini walimu mnatudhalilisha sana. Kuandika barua changamoto. Kufungua acc tu na kujaza General information changamoto. Walimu mna nini lakini?
3 Reactions
10 Replies
701 Views
Leo tarehe 18/7/2024, Mkoani Tabora yamehitimishwa mafunzo ya waandishi wasaidizi na waendeshaji wa vifaa vya bayometriki kwa ajili ya zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Wadau ni kipindi gani ajira za jeshi la polisi zinategemea kutangazwa?
1 Reactions
135 Replies
12K Views
Ndugu zangu ajira za jeshi la polisi 2024 zinatoka/ kutangazwa lini?
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Nilifungua account ajira portal mwaka 2020, ila nimesahau password lakni nikienda sehemu ya forget password wanatuma zile digits kwenye namba nilizosajilia account na mimi hizo namba sina na wala...
1 Reactions
5 Replies
7K Views
Naomba msaada ajira portal, nimesahau password ya email, nifanyeje hapo. Wakuu msaada naomba
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Tomorrow wake up, Put on your Official clothes, go to any company, and start working. If they call the Police go to the police station and start working there too. Sending CVs every day is so...
10 Reactions
11 Replies
740 Views
Kampuni mojawapo jijini Mwanza inahitaji watu wenye qualifications tajwa hapo juu. Kama unafit karibu inbox.
4 Reactions
10 Replies
955 Views
Hapa JF kila MTU anamuombea mdogo wake chuo Kila MTU anamuombea mdogo wake nafasi za ualimu na polisi. Wadogo zetu ndo sisi wenyewe.
6 Reactions
5 Replies
592 Views
Just imagine kuna taasisi/Shirika gawio lake kwa Serikali leo hii imetoa mamilioni ya fedha/Billions plus. Wengine taasisi zetu hata Millions 50 zimeshindwa😁. Taasisi/ Mashariki kama haya ndio...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Afisa mwandikishaji jimbo la tabora mjini seif. S. Seif ametoa tangazo la walioitwa kwenye usaili wa waandishi wasaidizi na waendeshaji wa vifaa vya bayometriki jimbo la tabora mjini utakaofanyika...
2 Reactions
22 Replies
5K Views
Habirini wana JF, kwa mwenye uhitaji wa mtu wa kuuza duka la dawa au pharmacy mwenye cheti cha ADO anicheki 0672498183, nina uzoefu mkubwa wa kazi hii pia duka liwe DAR ES SALAAM, asanteni
1 Reactions
1 Replies
724 Views
Habirini wana JF,kwa mwenye uhitaji wa mtu wa kuuza duka la dawa au pharmacy mwenye cheti cha ADO anicheki 0672498183, nina uzoefu mkubwa wa kazi hii pia duka liwe DAR ES SALAAM Asanteni
0 Reactions
2 Replies
825 Views
Hello Jf Binti wa kazi anatafutwa. Sifa 1. Ajue kupika chapati 2. Awe na Lugha nzuri kwa wateja na mchangamfu 3. Ajue hesabu 4. Awe anajua kuhudumia vizuri Kazi ni ya mama ntilie, kuuza supu na...
14 Reactions
140 Replies
15K Views
Wakuu nataka kuuliza hii taasisi ya Tanzania food and nutritio centre inalipa vzur kwa mfanyakazi aneanza kazi hapo? Maana mdogo wangu amechaguliwa kama laboratory scientist kwa level ya degree.
0 Reactions
2 Replies
466 Views
napenda kuwakumbusha mambo muhimu ya kuzingatia unapoomba nafasi secretariati ya ajira katika utumishi wa umma 1. hakikisha unatoa copy ya vyeti ikiwemo cha kuzaliwa, sekondari na talaluma na...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wakuu, Bila kuwachosha sana niende kwenye mada. Mm ni dereva Mzoefu ninatafuta Bajaj iwe ya mkataba au hesabu popote ndani ya Dar es salaam. Contacts. 749662314 Nawaslisha. Wasalaam
0 Reactions
2 Replies
554 Views
Kwanza ieleweke mie ni mdau wa elimu. Baada ya taarifa za ajira za ualimi kutolewa na sekiretarieti ya ajira badala ya TAMISEMI kama ilivyozoeleka vijana wamehaha. Wanauliza itakuwaje kama...
9 Reactions
30 Replies
1K Views
1: wana JF naomba kuuliza kuhusu hizi ajira za ualimu zilizotangazwa kutoka kwa mwajiri ambaye ni MDAs na LGAs, je unaenda kufundisha wapi na level gani? Pia 2: je kuna faida yeyote kwa mwalimu...
3 Reactions
40 Replies
6K Views
Habari zenu, Msaada kwa mtu yeyote anaejua NGO's yoyote ambayo naweza nikajitolea hata bure niwe nafanya kama part time muda ambao nakuwa nipo tu sina cha kufanya ni bora kujitolea katika jamii...
2 Reactions
1 Replies
495 Views
Back
Top Bottom