Wakuu ni mambo gani tunapaswa kuzingatia kabla ya kwenda kwenye usaili wa Jeshi la POLISI Tanzania.Tusaidiane.Ya chini chini niliyoyaskia ni haya:
1. Usiwe na HIV/AIDS.
2. Usiwe na makovu.
3...
Hi, guys habari za weekend I hope mpo good kwa wale wenye changamoto zozote zile poleni sana ndugu zangu coz siku hazifanani.
Bila yakupoteza muda ndugu zangu Mimi ni kijana fukara ambae mara...
Habari za weekend wakuu.
Swali langu ni kama heading isemavyo.
Na Mimi natamani nipate ajira niachane na huu ujobless, maisha magumu umri unaenda, wachumba hawanitaki kisa dough.
mfano wa...
Anatafutwa kijana mwenye umri kuanzia miaka 18-30 kwenye cafeteria
Awe anajua kupika vyakula vile vya kipemba pemba
Kachori, katles, sambusa, bagia keki na bites, juis za matunda na nyengine atume...
Habari wakuu samahani,
Kama kuna yeyote ambaye amewahi pitia usaili wa online na akafauru vizuri mpaka kufika oral nilikuwa naomba atupe mbinu na alitumia web site gani kujiandaa na usaili.
Asante.
Hello Kuna mtoto wa Shangazi yangu amepata changamoto ya application za ualimu,
Ametuma maombi Kwa somo la history, vyeti aligonga muhuri Kwa mwanasheria, passport aliweka, na barua ya maombi...
Habari,
Sina mengi ila naomba msaada wa referrals (marefa) wanaohitajika kwenye mchakato wa kuomba ajira mpya za serikal.
Kiufupi inaweza kufikirisha kwa baadhi ya watu humu ila kwangu nina maana...
Wana jamiiforums kwema
Kama kicha juu hapo kinavyojieleza mm ni kijana wa miaka 25 mkazi wa dar es salaam mbagara elimu kidato Cha nne
Nimekujua kwenu waja JamiiForums kuomba kwa yoyote ambaye...
Habari za wakati huu........ mimi ni kijana wa miaka 23 nimemaliz bsc chemistry hivyo naombeni mwenye connection na internship anisaidie au kazi yoyote .
Asanten
Ewe unayeomba ajira za ualimu hakikisha umefuata maelekezo na masharti kama yalivyoelekezwa na utumishi.
Barua yako ya maombi utie saini kwa mkono wako, jidanganye utumie adobe signature unaliwa...
Naomba kujua utaratibu wa Mtumishi wa Umma kujiunga na vyama vya wafanyakazi.
Ni halali mtumishi kuanza kukatwa mshahara wake bila idhini yake na kuchangia vyama vya wafanyakazi? Hatua gani...
Wasalaam
Kwa ambao wameshafanya usahili wa polisi unaoendelea.. nisaidieni hivi wanauliza maswali ya namna gani..
kuna mdogo wangu anafanya kesho Iringa..
Wasalaam.
Heshima mbele kama Tai
Na tafuta sehemu ya kujitolea kwenye NGO yoyote. Nipo Dar es Salaam nimesoma Project Planning and Community Development.
CVkwa ufupi
Age 25
Place dar es salaam
Experience. Biko sales
Nom...
Habari wakubwa mbele yenu ni mdogo wenu fresh graduate wa degree ya sheria Niko mkoa wa Mwanza lakini niko tayari kwenda sehemu yoyote muhitimu wa shahada ya sheria
Naomba ajira au nafasi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.