Wanauliza kama ushawahi kupigwa au kupiga mtu... Ni hivyo tu
Wasalaam
Kwa ambao wameshafanya usahili wa polisi unaoendelea.. nisaidieni hivi wanauliza maswali ya namna gani..
kuna mdogo wangu anafanya kesho Iringa..
Wasalaam.
Heshima mbele kama Tai
Haya Mkuu hata Bora ukae kimya kama huna cha kuchangia kuliko kubwabwaja..mdogo wako yupi? acha ujinga wewe watu wakusaidie. Si useme ni wewe.