Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 28, nina Bsc in Wildlife Science and Conservation from UDSM, niko tayari kufanya kazi katika mazingira ya aina yoyote ile na kazi yoyote ile halali na kama sio...
Wapendwa nimeona niulize leo hivi huyu mama bado anamiliki hiki kiwanja jamani
nakumbuka enzi za mumewe madarakani alichukua hisa nyingi tu za kilimanjaro airport
na kufikia kumilikishwa kila kitu...
WanaJF,
Ukiangalia post lukuki zinasanifu hali halisi ya ukosefu wa ajira inayozidi kumea Tanzania. Ni kweli hata nchi nyingine zinakumbwa na tatizo hili, lakini je hapa kwetu nini haswa tufanye...
Finding the right type of job is not always easy for some people. Some already know what they want to do long before they leave high school
http://bit.ly/fvvrKX
Wakuu respect sana,
Kuna mtu anatafuta kazi nikaona nilete hapa
-Ana Bachelors Degree In Business Administration(BBA) Specialized in Finance
-Masters Degree In Economics
-Masters Degree in...
Habari zenu wakubwa,
Naomba kuuliza..hivi kama ume-apply kazi mahali, unapataje habari kama umechaguliwa?
Mfano; kama tangazo lilitolewa gazetini..je ni kwamba watapost kwenye gazeti majina ya...
USAID is hiring!
We are looking for people to fill a variety of Foreign Service positions overseas (for both career and limited term appointments), Civil Service positions...
Banking jobs, especially investment banking jobs are very much in demand. Every young kid who is good with figures wants to be an investment
http://url4t.com/2tk
Utafiti uliofanywa na taasisi moja nchini KENYA imegundulika kwamba maziwa ya mtindi yanaondoa unene wa kawaida hata na obesity, bakteria rafiki(harmless bacteria) aitwaye " LACTOBACILLUS"...
Natafuta kazi ya udereva popote africa uzoefu wangu ni toka mwaka 1988 na nimeendesha magari afrika mashariki/kati na kusini umri wangu miaka 42 kontakti zangu mr. Charles...
www.lifeofmshaba.com: JOBS/EMPLOYMENE
hizo link ni muhimu kwa wanaotafuta kazi au
wanaotaka kubadilisha kazi
NAFASI YA KAZI
Head - Credit and Risk Management. ( Banking Firm). Location...
It will be advertised on EA news the coming Sunday and to some of local News Papers this week or early of next week.
Start forwarding whatever is required.
Nawakilisha
UTAFITI: FAIDA NYINGINE ZA MAZIWA AINA YA MTINDI
Mtindi una bacteria rafikl aitwaye " LACTOBACILLUS", ambaye anafanya kazi zifuatazo:
Hukaa kwenye UKE na utumbo , na hivyo kuteketeza wadudu...
Jamani na mimi nilipata email hiyo, wanataka nifanye CAPT. Nimewasiliana na James this is what he replied:
We offer psychometric testing including Cognitive Ability Psychometric
Testing (CAPT)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.