Naomba mnisaidie kutafuta kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba mnisaidie kutafuta kazi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by NOELA KUWESE, Mar 23, 2011.

 1. N

  NOELA KUWESE New Member

  #1
  Mar 23, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba mnitafutie kazi nimehitimu chuo kikuu cha sokoine mwaka juzi nimetafuta kazi kwa muda wote huo bila mafanikio , nimesoma home economics and human nutrition, tafadhali naomba nitafutiwe kazi yeyote inayoendana na field yangu
   
 2. florence

  florence JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 405
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  hapa umefika utafanikiwa
   
 3. K

  Kosmio Senior Member

  #3
  Mar 24, 2011
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 128
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ni PM nitakupa email utume CV yako. Labda utafanikiwa.
   
Loading...