Kupta kazi shida;kupata likizo uhonge jamani??mabosi wanavuna sana kipindi hiki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kupta kazi shida;kupata likizo uhonge jamani??mabosi wanavuna sana kipindi hiki

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Pdidy, Mar 18, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Mar 18, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,441
  Likes Received: 5,693
  Trophy Points: 280
  Wakati watu mbalimbali nikiwemo mimi wakiomba kupata likizo ili kwenda kupata maji ya loliondo mabosi wa maofisini wamefanya kama dili na sasa unaombwa penzi kama ulivyoogawa wakati ukipata kazi
  madada kibao mjiniw wameanza kulalamikia jinsi wanavyoteseka wakiomba likizo na sasa wameona watoe tu ili mradi wakirudi wanakuwa wamepata uponyaji..kwa kweli haya maradhi yatatuua jamani hawa watu sijui ...na nyie wake zetu ma secretary embu muwe makini jamani vile vi tweins tutavitunzaje kama babu wa loliondo anataka kuondoka na nyie..hakika naomba hili mabosi wote mliopewa ama na MUNGU ama aKwa uchawi hivyo vyeo jamani msiwamege tena ma dadazetu/wake zatu..inatosha wapeni nafasi wakaombe uhai tena kama mliwachafua mwanzoni

  EMBU MWOGOPEN HATA MOLA JAMANI..WAPENI WATU LIKIZO ZAO KAMA WANASTAHILI
   
 2. a

  african2010 Member

  #2
  Mar 22, 2011
  Joined: Mar 31, 2010
  Messages: 95
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Mke mwema anapatikana kwa BWANA.
   
 3. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Duh hili nalo neno.
   
Loading...