Naomba kujuzwa maswali ya usaili Afisa Maendeleo ya Jamii Grade II

Exformer

JF-Expert Member
Nov 12, 2018
837
946
Waungwana, nina siku 7 za kujiandaa na usaili wa utumishi kada ya Afisa maendeleo ya jamii daraja ii.

Naombeni mnisadie baadhi ya maswali ya written ili nichanganye na yangu nisonge mbele..

Naiman wapo waliofanya usail kwa kada hii huko nyuma kwa taasisi binafs na serikali.

Naombeni waungwana
tusaidiane.
 
weka hapa na hayo yako
 
1. Sera ya Maendeleo ya Jamii
2. current social issues na strategic Projects
3. Job descriptions
Asante sana....mimi pia nimeitwa, atleast Nimepata mwanga wa wapi pa kuanzia.
 
Utumishi Wana maswali ya kukomoa Sana,

Bro tengeneza 4-4-2 ndani ya chumba

Kariri notes, maana mtihani ule haukulimi uelewa,unapunguza watu.

Hakikisha hausahu vyeti vyako original plus ID

Note:muda Ni dk 40 tu.
Maandaliz
Nashukuru kwa kunikumbusha

Mm na deal na paper tu nje ya hapo nimefaham niend vp
Ahsante
 
tumia akili tu kule tunaenda kushindana sio kupata GPA nzuri so amini cha kwako unachojaza mana hujui mtihan.unatokaje sasa unawezaje kuamini majibu ya mtu mwengne ingawa wewe hujui majibu sahihi
Naamini hujui maana ya 4-4-2

Nakutakia usiku mwema
 
Possibly hujawahi fanya saili za utumishi
mkuu jitahidi kumuelekeza mtu ukweli usipindishe vtu bila kujiandaa na kusoma hiyo 4 4 2 haitamsaidi dakika 40 utawezaje kuwa unapiga chabo tu.
Note; Nimefanya interview na nilifika mpka oral bila chabo.
 
Jamani wapambanaji nawatakia maandalizi mema ila cha kuwashauri ni kwamba hakikisha umejibu maswali yote na usilembe mwandiko na usiandike essay ndefu sana please jamani nenda kwenye point moja kwa moja maana muda ni mchache sana.mitihani ya utumishi siku hizi wanaleta maswali mengi ya wameweka maelezo mengi lisome chapu na kwenda kwenye points.Mungu awasaidie ndugu zangu. Mimi nipo tayari kuwapa mawazo na ushauri muda wowote ahsanteni sana.
 
Back
Top Bottom