An exciting career opportunity for a Certified Registered Nurse to work for private pediatric clinic located in downtown Dar es Salaam. The individual should have some pediatric nurse experience...
Ningependa kuwafahamisha nudgu zangu wanao kataa kuwa hakuna rushwa kwenye mshirika yetu haya hayajalishi ni ya kimataifa au la.
Nimefanya application ys nafasi moja ya kazi on line...
Hi wana jf, kwa walioomba kazi mwananchi communication post hiyo apo juu wameanza kuita watu kwenye intrv alhamisi ya trh 4 April, kwa wale wadau hivi huwa wanauliza maswali gan? kwa ambaye...
.............Naomba mwenye taarifa kamili ni lini JWTZ watatangaza/hua wanatangaza nafasi za kujiunga na jeshi kwa proffesionals!!!!!!
msaada jamani,natamani sana GWANDA!!!
Habari za majukum, wana jf............ natafuta mwalimu (SEKONDARI) wa kutoka halimashauri ya njombe mji au makambako wa kubadirishana nae kituo cha kazi, aje mkoani MBEYA katika wilaya ya...
kwa hakika si rahisi kuvumilia maumivu km haya haya ni maumivu ya maisha nimeyachoka
wana JF natafuta nafasi ya kazi ya fundi welding sehemu yoyote nje na ndani ya nchi mm ni fundi wa kujitegemea...
Wadau ebu angalieni hii job discription yangu. Natakiwa nikafanye interview tarehe 12. Mshahara nikiulizwa nitaje shillingi ngapi kutokana na hii job discription na kampuni yenyewe? maana sitaki...
POSITION: ASSISTANT LECTURERS- (3) Main Campus (1) Mbeya Campus College (2)
PLACE: Mzumbe University
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
Conducting lectures; preparing case studies; assisting in...
Position: We are looking for a dynamic person with experience in management possibly in the beauty and wellness industry. Educational requirements are basic secondary education plus a certificate...
Husika na ombi lililopo kwenye kichwa cha uzi huu. Mwalimu wa shule ya Sekondari ya Nyabisindu kata ya Kabanga anaomba kubadilishana kituo cha kazi na Mwalimu Mtanzania yeyote anayependa...
Nimepokea mail ya kwanza tar 29/03 ikisema nitume CV yangu kwenda kwenye email address hotelmarriott.hrdept@mit.tc huku ikiambatanishwa na attachement yenye nafasi za kazi kwenye hii hotel ya...
Husika na ombi lililopo kwenye kichwa cha uzi huu. Mwalimu wa shule ya Sekondari ya Nyabisindu kata ya Kabanga anaomba kubadilishana kituo cha kazi na Mwalimu Mtanzania yeyote anayependa kwenda...
Miaka michache iliyopita, kabla ya kuundwa kwa Mamlaka yauthibiti wa Mifuko ya Pension SSRA. Kila watu walikuwa na mfuko wao maalum wapension kwa ajili ya mpango wa lazima (mandatory scheme)...
Ndugu wana jf please jamaa ameitwa interviw ya access bank na wamedai kwamba itafanyika jengo la ashifu ladhan lipo sehem gani au hawa access bank wako sehem gan hapa mwanza!
Habari za kutwa wadau?Mwenye uelewa kuhusu kubadilishana vituo vya kazi kwa waalimu naomba anijulishe.
Je inawezekana mwalimu mzoefu kubadilishana na mwalimu wa ajira mpya?
Natanguliza shukrani.
Wana jf!
Mwaka huu mwezi wa sita mwishoni natarajia kumaliza masomo yangu ya Shahada ya kwanza ya Sayansi ya Siasa na Utawala/Uongozi wa umma (Bachelor of Political Science and Public...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.