Watafuta kazi na rushwa iliyo kithiri

Watafuta kazi na rushwa iliyo kithiri

Tetty

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2012
Posts
26,355
Reaction score
21,424
Ningependa kuwafahamisha nudgu zangu wanao kataa kuwa hakuna rushwa kwenye mshirika yetu haya hayajalishi ni ya kimataifa au la.

Nimefanya application ys nafasi moja ya kazi on line (Brightmonday) yenye job ID 71305,leo nimekuta kwenye in box yangu mtu kaniandikia meseji ikisema kuwa nimmwambia nitampa kiasi gani ili niweze kupata nafasi hiyo.Baada ya kumuuliza maswali mawili tu hilo ni shirika gani na anahitaji shilingi ngapi akaniambia siko serious na siko qualified na ana wasiwasi kama nimefanya application mwenyewe.Ila imenishangaza.

Jamani Tanzania yetu tutafika kama hali ndiyo hiyo.
 
Back
Top Bottom