Vodacom tanzania

Vodacom tanzania

ndiuka

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2009
Posts
699
Reaction score
826
Nahitaji kuapply kazi vodacom, Je ni website ipi wanatumia kutoa matangazo ya kazi? Je ni lazima kupitia erolink kwa nafasi zote za kazi vodacom?
 
nahitaji kuapply kazi vodacom, je ni website ipi wanatumia kutoa matangazo ya kazi? Je ni lazima kupitia erolink kwa nafasi zote za kazi vodacom?

ni hivi voda wanachukuaga internal vacancies ni vigumu sana kuckia voda wanatangaza kazi zao magazeti kuna njia kuu 3 za kupata kazi kulee,

1.ukubali kuingia kupitia erolink uteseke sana afu kule wana portal ambayo ww unaweza access internal jobs chance ya kazi ni kubwa sana.

2.kupitia marketing na sales ambao kule unaweza ingia na kupanda vyeo vya marketing which is very easy pia.

3.human resource dept wapo block4 pale mcity unaenda kuacha cv yako hopefully watakuita

good luck!!!!!
 
ingekuwa vizuri zaidi kama ungesema ni kazi gani ungepata njia sahihi,lakini kama kupitia erolink kuumia ni muhimu.na kama ni mdada kuna vikwazo vingi vya kuvuka kama hutokubali kuwa kitoweo,customer care kuna team leaders ambao hutaka waonekane kama mungu watu unless otherwise umegwe na mmoja wao.kama ni masoko peleke tu cv pale blk 4 usikilizie ua kama una mtu unamfahamu ongea nae kikubwa.
 
Mkuu asante kwa maelezo yako, kwa kifupi nina experience ya miaka 4 katika marketing & sales, pia natarajia kugraduate MBA - marketing hivi karibuni.
 
ni hivi voda wanachukuaga internal vacancies ni vigumu sana kuckia voda wanatangaza kazi zao magazeti kuna njia kuu 3 za kupata kazi kulee,

1.ukubali kuingia kupitia erolink uteseke sana afu kule wana portal ambayo ww unaweza access internal jobs chance ya kazi ni kubwa sana.

2.kupitia marketing na sales ambao kule unaweza ingia na kupanda vyeo vya marketing which is very easy pia.

3.human resource dept wapo block4 pale mcity unaenda kuacha cv yako hopefully watakuita

good luck!!!!!

Mkuu asante kwa maelezo mazuri, kwa experience niliyonayo ya miaka 4 katika marketing & sales nadhani option ya tatu uliyoitoa itanifaa zaidi
 
Mkuu asante kwa maelezo yako, kwa kifupi nina experience ya miaka 4 katika marketing & sales, pia natarajia kugraduate MBA - marketing hivi karibuni.
Kwa qualifications hizi, kupitia Erolink ni kujitafutia stress!
 
Why mkuu hapo sijaelewa vizuri, kwamba hawawezi kumchukua au yupo over qualified??
Wanaweza kumchukua and he's not over qualified! BUT, these guys so called Recruitment Agents especially wa style ya Erolink, hawathamini kabisa qualifications za mtu!! Nilishawahi kufanya kazi na Infinity Communication....unaambiwa waliomaliza Form IV, VI na graduates, wote tuliwekwa kwenye kapu moja......all same salary grade and benefits! Sa' mkuu wangu Papizo kama si kutafutiana stress tuite nini hapo?!
 
Last edited by a moderator:
Vyuo vikuu viko zaid ya 20 Tanzania, wanafunzi wanaohitimu masoko tanzania ni zaidi ya laki moja ,Nashangaa kila anaemaliza taaluma ya masoko anataka lazima akaajiriwe na Vodacom..! why?
 
Ohhh mkuu wangu sasa hapo nimekuelewa vizuri kabisaa nini ulikuwa una maanisha, daa basi jamaa wanafanya vibaya sana kwa kweli, huwezi kumlinganisha mtu wa form 4 IV na mtu mwenye degree haviendani kabisaaa hata kidogo, sasa wewe uliamua kuachana nao au bado upo nao??na inaonekana wanaweka hela nyingi sana mfukoni.....mkuu NasDaz ningekuwa mimi ningeona hivyo tu ningewachomolea straight,

Hawa jamaa nadhani inabidi kuwafanyia kazi wanawaumiza sana watu.
 
Nilikaa nao kwa muda ili niweze kuishi mjini...baada ya hapo nikaachana nao na sitaki hata kuwasikia!! In fact,hao Infinity, Erolink pamoja na spanco, wote ni stress tupu kufanya nao kazi!!
 
Vyuo vikuu viko zaid ya 20 Tanzania, wanafunzi wanaohitimu masoko tanzania ni zaidi ya laki moja ,Nashangaa kila anaemaliza taaluma ya masoko anataka lazima akaajiriwe na Vodacom..! why?
Ungesoma Uchumi ungefahamu why!! Just social satisfaction; BASI!
 
Nilikaa nao kwa muda ili niweze kuishi mjini...baada ya hapo nikaachana nao na sitaki hata kuwasikia!! In fact,hao Infinity, Erolink pamoja na spanco, wote ni stress tupu kufanya nao kazi!!

Duu pole sana mkuu naona bora ulivyoamua kuachana nao, ila wanafanya vibaya sana, huwawezi kumlipa mtu mwenye degree laki 2 kwa mwezi wakati inabidi apate zaidi ya hapo.
 
Jamani hadi kobe niende kwa maliasili,mwishowe hadi vinyonga watakuwa wanapigwa sensa
 
Back
Top Bottom