Siz Kitaa ya CLOUDS TV inamtafuta MKALI WA KUPIGISHA STORY KIJIWENI kwako baada ya Mishemishe zenu so km kijiweni kwako kuna jamaa ambaye ni mkali wa kupigisha story za kuchekesha/kufundisha andikeni eneo ambalo kijiwe chenu kinapatikana, muda ambao mnakuwepo kijiweni, idadi ya watu mnaopatikana kwny kijiwe hicho kisha ntupie kwny Facebook Page ya Casto Dickson Kitaani halafu fastaaa me ntawaibukia kijiweni kwenu tuzisikilize hizo story kisha raia wote Tz watazicheki kupitia Siz Kitaa na kutoa maoni yao kuwa MKALI NI NANI mpk tupate TOP 10 kisha mshindi mmj kiroho saafiii... hii ni kwa jinsia zote Fanya ivo uibuke na BONGE LA ZAWADI litakalotangazwa