Msichana wa Kazi za Ndani Anahitajika

Msichana wa Kazi za Ndani Anahitajika

Goodluck Mshana

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2011
Posts
1,272
Reaction score
1,128
Kwa yeyote mwenye kujua ama kunielekeza nitapopata msichana wa kazi (house girl) anisaidie. Ni sana kwani mke wangu hana muda mrefu atajifungua hivyo angekuwa msaada mkubwa sana. Mshahara maelewano. Na atoke pande yeyote ile ya Tanzania kikubwa ajue Kiswahili. Kiingereza sio ishu sana.
 
Kuna Msichana mmoja hapa Arusha ana miaka 25,elimu kidato cha nne,anahitaji hiyo kazi kama upo serious..Anataka mshahara si chini ya 80,000/= kwa mwezi. Wewe unaishi wapi..? Ukimhitaji niPM.
 
nenda mwanayamala kama unaelekea kinondoni upande wa kuria kwako baada ya kituo cha A kuna njia ya vumbi unaingia hapo mita chache kutoka barabara kuu kuria kwako utaona kibanda kipo kwenye mti mrefu basi hapo wanatoa huduma ya wasichana

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Mke wangu hataki mwenye umri mkubwa hivyo... Anahitajika mwenye miaka 16 au 17 at least. Aidha kwa malipo ya 80,000 bado ni makubwa unless awe wa day (kuja kuserve na kuondoka).
 
Huna msaada...
 
Siku hizi ni adimu kupata msichana wa kazi under 18 years old,kutokana na kuongezeka kwa sekondari za kata.Mkeo anaogopa nini msichana mwenye umri mkubwa..? Au anahisi utakula mzigo..? Kama ni hivyo mwambie alete ndugu zake wa kike..!!
 
mke kashtuka anaweza kuibiwa mume ndo maana anataka under 18
 
sasa wewe unataka uletewe mlangoni utasubiri sana labda uwafate kijiji nimekwambia hapo sababu hata me nilielekezwa na nikapata dada hapo

Back
Top Bottom