JOB OPPORTUNITIES
An International company dealing with TV productions, documentaries etc is currently looking for candidates to fill in the following vacant positions for our up comings projects...
Habari wana JF!
Nina mitungi mitupu( empty cylinders)ya gesi ya kupikia aina ya Oryx ujazo ni 6kg na 15kg, nilikuwa nafanya biashara hiyo ya kuuza gesi ila kwa sasa nimeamua kuicha kutokana na...
Kwa wale wanaotafuta nyumba za kupangisha kwenye maeneo yafuatayo ; makumbusho, mikocheni, kijitonyama,mwananyamala, na maeneo ya karibu na hayo tuwasiliane
Simu namba 0716 85 06 95...
Samahani Kwa usumbufu,
Mimi ni Kijana Mwenye Kujituma kwa bidii yaani mchapa kazi sina Maringo na niko tayari
kwa kufanya kazi yeyote ile ambayo itasaidia katika ujenzi wa taifa pamoja na maisha...
jamani...niko bizee ila nasikia inshu za fursa zinatangazwa na clous fm ni za aina gani...maana mi bado hata sizielewi....je zinahusu nini, kazi, biashara au nini....kwa mnaofahamu hebu...
UNAWEZA UKAISHI TOWN KWA UJANJA HUTAKUA MACHINGA WA VITU VYA WACHINA ILAUTAKUA MJASIRIAMALI MWENYE TIJA UNAYEJUA a)kusave hela b) kujifunza kufanya kazi kwa bidii. kujuana na watu usidharau kuna...
Serikali itaanza kumwaga ajira za kutosha kuanzia mwakani hadi July mwaka 2015, taarifa zilizopatikana kutoka serikalini ni kwamba kumekuwa na maneno maneno sana kuwa vijana ni bomu linalosubili...
Anatafutwa Co-Presenter/Host (Female) atakasaidiana na main Main Host/Presenter katika Talk Show inayotarajiwa kuanza kurushwa katika Luninga hivi karibuni kila wiki kwa saa moja.
Sifa:
Awe...
Wadau naomba kujua kama shortlist ya TPDC pia inahusisha Technicians maana mimi nimejaribu kupekua sehemu zote sijaona na kazi hiyo ilitangazwa.
Tafadhali naomba msaada maana kukaaa kijiweni...
Ndugu zangu habari za majukumu, napenda kujua wale walioudhuria interview ya mwezi oktoba TPDC ni aina gani ya maswali yanayoulizwa? kama kuna ambao wana taarifa naombeni mnisaidie jamani, msaada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.