Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

1. Qualification Diploma/Degree Marketing or business related. 2. English speaking skills, computer skills, communication skills, Leadership skills, negotiation skills, marketing,coordination...
1 Reactions
3 Replies
440 Views
Naona zipo dalili kwa wanaume kukosa misimamo katika ndoa zao,jambo ambalo linenifanya nifikirie mbali zaidi kwa kuona Tunaweza kuingia katika utamaduni mpya wa ndoa. Wengi wataozesha wake zao...
7 Reactions
6 Replies
384 Views
 Kijana anatafuta Kazi au kibarua Kwa sasa yupo Dar es salaam. Sifa zake hizi hapa Umri miaka 20 Jinsia ME Aina ya Kazi . Kazi Kama za jikoni anaweza kufanya mfano katika pub n.k Kazi Kama...
1 Reactions
2 Replies
486 Views
Wakuu bado sijapata mchongo kama kuna mchongo wowote au ajira me bado natafuta ni kijana wa miaka 22 nishafanya kazi sehem tofaut tofaut pia nnaufanis wa quality na marketing pia kwa sasa...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Hello JF family, Nina umri wa miaka 26 (mwanamke)nina cheti cha kidato cha 4, pia nina mtoto mmoja. Naomba mnisaidie nipate kazi ili nijikimu na mwanangu 🥹 maisha magumu sana. Nina kipaji cha...
1 Reactions
6 Replies
572 Views
Mbona situmiwi message ya ku access email yangu? Shida iko wapi adimini..... 😭
0 Reactions
5 Replies
701 Views
Mimi ni mhitimu wa shahada ya ualimu kwa masomo ya kemia na biologia mwaka 2020, nipo Urambo- Tabora, Naomba kwa yoyote mwenye Taarifa au uwezo nahitaji shule ya kufundisha sekondari au msingi...
0 Reactions
6 Replies
559 Views
Habarini Wakuu, Kuna malalamiko mengi sana kuhusu kasi ndogo ya Utumishi kushughulikia mchakato wa Maombi ya kazi. Maombi mengine yanachukua mpaka miaka mitatu bila kufanyiwa kazi na hatujui nini...
0 Reactions
22 Replies
1K Views
Salamu, hivi kwenye kuomba kibarua sehemu then wananihitaji Mimi kuwaandikia barua, upande wa sender's address, SLP inakuwaje?
4 Reactions
27 Replies
1K Views
Wakubwa naomba kuuliza viwango vya mishahara vya watumishi wa NIDA hulipwa shilingi ngapi kwa mwezi kama mshahara Kuanzia wenye diploma hadi Degree hulipwa shilingi ngapi?
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari naitwa Mary natokea Shinyanga natafuta kazi yoyote ya kuweza kujikumu iwe apa mkoano Shinyanga
2 Reactions
5 Replies
462 Views
# Wanatangaza Ajira 14 elfu. # Wanafanyisha interview. # Wanafauru vijana kwa kadri wanavyoweza. Kisha. TAMISEMI INAANZA KUTOA MAJINA 40 KILA SIKU kanakwamba hizo Ajira walilazimishwa kuzitangaza...
5 Reactions
7 Replies
605 Views
Hamjambo humu? Imekua mara yangu ya kwanza kufanya written interview za serikali. Nimefanya nafasi ya accounts officer ii, nimepata 78 ila sijawa selected. Nimelichukulia hili jambo very...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari wakuu Naomba ushauri na mwongozo Mimi ni kijana umri 25_27 nimepata ajira kwenye kampuni flani hapa bongo ya kisafirisha mizigo nikiwa kama BM wa mkoa flani mshahara ni...
11 Reactions
29 Replies
2K Views
Ndio, unaweza kutengeneza pesa kupitia uandishi mtandaoni. Kuna njia kadhaa ambazo unaweza kutumia kufanya hivyo: 1. Blogu: Unaweza kuanzisha blogu yako na kuchapisha maudhui kuhusu mada...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Mahali: Mwanza. Fani: Uhusiano wa Umma na Masoko Uzoefu: Mwaka 1
2 Reactions
2 Replies
269 Views
Samahani wakuu naomba kuuliza, interview TRA ni lini?
2 Reactions
54 Replies
9K Views
Ni tangu mwezi wa kumi mwaka 2024 TBS walitoa tangazo la nafasi za kazi kwa kada mbali mbali mpaka sasa kimya au waliita watu kimya kimya?
2 Reactions
2 Replies
553 Views
Anaitajika mtu wa kukopesha sabuni za maji . 1.Target chupa 60 za Lita moja 2.Mshara 150,000 3.Ela ya chakula atapewa kwa siku 2,500 Anaitajika kwa yule aliyetari na anayejua kazi kwa moyo...
2 Reactions
3 Replies
573 Views
Habari, naitwa omary ni dereva timamu,sina usumbufu kwenye mali ya mtu uwaminifu 100%.naweza kuendesha gari na Bajaji kwa boss yeyote mwenye uhitaji katika chombo kimoja wapo tajwa hapo juu iwe ya...
0 Reactions
1 Replies
410 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…