Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Habari za wakati huu ndugu zanguni Kwa majina naitwa ELIUD GABRIEL mwenyeji wa KIGAMBONI DAR ES SALAAM nimekuja kwenu nikiwa na uhitaji wa kazi au internship nina uzoefu katika umeme wa majumbani...
1 Reactions
1 Replies
293 Views
Habari wana JAMII FORUM naomba kuuliza ni taratibu zipi kwa mwanandoa kuhama kikazi serikalini na kumfata mwenza wake ambae kapangwa mbali yaani halmashauri tofauti Pia mume anaruhisiwa kumfata...
2 Reactions
4 Replies
567 Views
Habari zenu Wana Jamii forum? Natumanini mko salama kabisaà. Mimi ni kijana wa kiume, nipo Dar Es Salaam, Ubungo. NATAFUTA band ya mziki ya kujiunga nayo katika shughuli za mziki. Yeyote anaeweza...
1 Reactions
1 Replies
323 Views
Habari wana JAMII FORUM naomba kuuliza ni taratibu zipi kwa mwanandoa kuhama kikazi serikalini na kumfata mwenza wake ambae kapangwa mbali yaani halmashauri tofauti Pia mume anaruhisiwa kumfata...
1 Reactions
6 Replies
589 Views
Habari Wana Tanzania Salamu kutoka Tukuyu -Mbeya Msimu huu wa masika nimejikuta Sina site ya kufanya kazi na mwaka ndo unayoyoma hivo😅 Kama unahitaji shamba boy nipo hapa Naweza na Nina...
1 Reactions
3 Replies
433 Views
Habari waungwana, kijana wenu hapa naomba connection ya kazi. Nina uwezo na experience ya kufanya as-built site survey kwenye miradi wa kusambaza umeme vijijini. Natumia kifaa cha GPS, OPEN...
0 Reactions
3 Replies
353 Views
Habari wana jamvi! Leo nimewiwa kueleza machache kuhusu fursa za kufanya kazi nje ya nchi,mtazamo wangu binafsi na baadhi ya vijana waliopo hapa Tanzania na hata wale walio nje ya nchi wakifanya...
9 Reactions
30 Replies
6K Views
Nafasi za kazi: Watunza Bustani (02) Eneo la kazi: Dar es Salaam, Tanzania Majukumu: Kutayarisha na kutunza upandaji wa maua, mapambo, na nyasi. Kuripoti matengenezo yanayohitajika kwenye...
3 Reactions
4 Replies
744 Views
1. Mnawatangazia kuwa kama huna chati cha kuzaliwa original, leta affidaviti ku confirm your names. 2. Kama academic certificte imepotea na una copy certified leta hivyo na court affidavit Watoto...
5 Reactions
29 Replies
1K Views
Fursa: Nafasi 700 za Kazi za Kuangalia Wazee New Zealand (Kupitia Danvast Career Search) Habari wanajamii, Nimekutana na tangazo la kazi ambalo naona linaweza kuwasaidia baadhi yetu humu. Kuna...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Je, wewe ni mtaalamu wa ukuaji wa biashara, usimamizi wa akaunti muhimu, au huduma za fintech? Jiunge na mteja wetu, kampuni ya simu maarufu, kama Airtel Money Business Support Officer na usaidie...
1 Reactions
1 Replies
571 Views
Jamani kwa wale mlio fanya interview jana mtupe update maswali yakuaje mi sikufanikiwa kufanya kwa sababu ambazo zilikuwa nje ya uwezo wango
1 Reactions
0 Replies
324 Views
Habari wote mimi ni kijana wa Kiume miaka 28 Natafuta kazi yeyote ile yenye kulipa ninaujuzi katika sales, marketing, graphic design, tourism, management, negotiation na pia kingereza nazungumza...
4 Reactions
7 Replies
749 Views
Job Title: Horticulturist Location: Dar es Salaam, Tanzania Job Summary: We are seeking a Horticulturist to help improve plant growth, yield, and quality. Horticulturist will manage gardening...
1 Reactions
0 Replies
269 Views
Mko poa wapambanaji wenzangu? Ebana nimeitwa oral interview gaming board of Tanzania nafasi ni gaming inspector iii. Jamaa wanapiga simu hawatoi majina ya waliofaulu mtu ajijue kapiga ngapi...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Habarini wakuu. Nimekuwa nikija humu kuomba hizi nafasi za kujitolea upande Wa IT. wakuu natamani niwe expert Wa computers networking installation and configuration lakini bado sijapata nafasi...
2 Reactions
11 Replies
849 Views
Habari, natafuta kazi nimesoma IT, Iwe mikoa yoyote kasoro Dar es Salaam
1 Reactions
6 Replies
651 Views
Natafuta kazi nipo mkoa wa Tabora. Pia hata kufundisha masomo ya sayansi ya sekondari yaani Physics, chemistry,computer, na mathematics naweza. Kwa yeyote mwenye connection msaada
1 Reactions
7 Replies
871 Views
Mimi ni binti wa miaka 24, nina degree ya Information systems Management. Natafuta kazi nina ujuzi wa computer (word, power point na excel). Mchapakazi, msikivu na ninaependa kujifunza. Utanipata...
13 Reactions
64 Replies
3K Views
Wadau nilikuwa naomba kazi nina kipaji cha upigaji picha na kushoot video lakini pia ninajua graphic designer Lakini pia nanvyo vifaa vyangu mwenyewe tayari kwa kazi Nina camera, na vifaa...
2 Reactions
15 Replies
963 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…