Napata mkanganyiko kuelewa juu ya alama za matokeo ya majibu ya interview ya TRA. Majibu yaliyotoka tarehe 26.04.2025
1. Hapa nitazungumzia paper ya academic officer na warden ambazo zilikuwa na...
Habari wapendwa.
Mimi nimejiunga na TaESA lakini sijafiki asilimia za kuomba reg no. Lakini nimekua ninapokea e-mail zao mfano zinakua zinasema “MAOMBI YA USAJILI WA MWAJILI KWENDA WIZARA YA KAZI...
Habari zenu wapendwa. Samahani Nina changamoto kwenye kubook training, inaniandikia no data na nilishapata registration namba, na pia kwenye dashboard yangu upande wa taesa training inaniandikia...
Elimu yangu ni form four
Umri miaka 33 (me)
Kazi yoyote ya halali popote
Sifa ya ziada
Najua kucheza na kompyuta kiasi fulani ingawa sina vyeti (sijasomea rasmi)
Nina cheti cha ualimu Shule...
Habari nilikuwa natafuta kazi yeyote ambayo itanifanya kujikiumu mahitaji yangu pamoja niweze kulipa ada chuoni masomo nikipata kazi masomo ninaweza kushift evening classes ninapitia hali mbaya...
Katika ukurasa wa TRA kuna mdau katoa taarifa kwamba kuna watu walishakuwa na pepa kabla ya kuingia chumba cha mtihani.
kaweka ushahidi wa marking scheme ya maswali yaliyotoka na majibu yake...
Upcountry Kitchen Taste iliyopo Mweka -Moshi inatangaza nafasi za kazi zifuatazo;
1.nafasi ya kuhudumia wateja ( Service)
2.mpishi ( Chef)
Waombaji wawe jinsia ya kike na wakazi wa...
Habari zenu. Naomba kuuliza kw MTU ambae ana diploma ya Business Administration kw mfano hizi nafasi za mwandish mwendesh ofisi au MTENDAJI ambazo sifa Zake ni Kam ifuatavyo
" Mwenye stashahada...
TRA Tanzania
Matokeo ya Written Interview TRA Engineer II yanapaswa kupangwa kwa kada tano tofauti.
Mitihani ya usaili wa kuandika (Written Interview) kwa nafasi ya Engineer II ilikuwa tofauti...
MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA
TAARIFA KWA UMMA
MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA
Dar es Salaam, 26 Aprili, 2025:
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inapenda kuwataarifu wasailiwa wote waliofanya usaili...
Kuna Uwezekano Matokeo ya Written Interview ya TRA kwa Mechanical Engineering, Textile Engineering, Oil and Gas Engineering, Mining Engineering, na Geology Yamechanganywa Pamoja
Kuna uwezekano...
Jamani naomba nisaidieni location ya ofisi ya polisi wanapofanyia usaili (kuanzia kesho) kwa watu wa kidato cha nne na sita wilaya ya ilala. siku na muda kamili kwa ziada ya maelezo nitashukuru
Habari za muda huu wapendwa, poleni na majukumu mbalimbali katika kulijenga taifa letu.
Lengo la uzi huu ni kujuzana ni maswali ya namna gani yanaulizwa katika interviews za tutorial assistant...
Nimefatilia matokeo yote ila haya ya Data Management, System operator, Engineer, na Geologist,yamenitia mashaka uwezo wa NBAA. Ni wazuri kwenye kada zilizoendana na kazi yao ya kila siku. Lakini...
Kutoka kwa Rajiv J. Shah
Rais wa The Rockefeller Foundation
Je, ungependa kusaidia kuendeleza upatikanaji wa nishati na umeme barani Afrika?
Mapema mwaka huu, serikali kadhaa za Afrika zilisaini...