Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Pande zote nchi nzima tumekuwa tukisumbuka juu ya hili janga la ajira nchini! Kiukweli kabisa hili ni tatizo kubwa na wahanga wa hili tatizo ni wengi sana! Lakini tumekuwa tukisema kazi hazipo! Mi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
salam wana jamii..natafuta college ya kufundisha masomo Haya; 1.economics 2.statistics 3.basic mathematics 4.business research. Nina degree ya Economics and Statistics.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wanajamvi kama miez miwili hv kuna usaili ulifanyika hivi karibuni chuo kikuu cha ardhi, nauliza yeyote mwenye taarifa za kuitwa kazini
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wanajamiiforums nina bachelor ya ICT, natafuta kazi yoyote hata ya kufundisha vyuo vya diploma na certificate katika masomo yafuatayo. 1.Database design&administration(mysql&oracle) 2. Web...
0 Reactions
0 Replies
972 Views
Guys wale waliofanya interview chuo cha ardhi tayari wameanza kuita kazin, mi nimeitwa kesho ndo naenda kuripoti...nawashukuru sana wa jamii forum kwa ushirikiano wenu
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wadau hebu angalieni mwananch la leo nimeona kuna nafasi za maafisa tawala na Afisa utumishi.
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Salam wanajamii, Nina degree ya economics and statistics na nina uzoefu sana kwenye upande ufatao; 1.Kutumia excel 2.Kuingiza data kwenyeSPSS na kuzifanyia analysis 3.Kuandika research...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Salaam waungwana wa jamvi hili. Naomba kusaidiwa mawasiliano na mashirika au hata watu binafsi ambao wanaopokea na kufadhili tafiti mbalimbali ndani na nje ya nchi. Ahsante
2 Reactions
41 Replies
5K Views
Tunatafuta tenda mbalimbali katika makampuni, ngo,mashule na taasisi mbalimbali na kussuply vitu vya aina mbalimbali kama stationary and office equipments, t.shirt,id printing and business card...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimepigiwa simu ya kuitwa kwenye interview ya CMSA,kwa walioapply muwe na simu zenu
2 Reactions
10 Replies
2K Views
TUNATAFUTA TENDA MBALIMBALI KATIKA MAKAMPUNI, NGO,MASHULE NA TAASISI MBALIMBALI NA KUSSUPLY VITU VYA AINA MBALIMBALI KAMA STATIONARY AND OFFICE EQUIPMENTS, T.SHIRT,ID PRINTING AND BUSINESS CARD...
0 Reactions
0 Replies
951 Views
Tunatafuta supplier kwa ajili ya kusuplly products kwenye restaurants zetu ambazo zipo masaki na mlimani city.. Tutaanza na products moja ya PICKLES: Picha yake hii hapa kwa asiyeijua.. Then...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu! Napenda kuuliza kwa wenye uzoefu na haya mambo! Cheque namba imetoka tarehe 07.08 ni mwajiriwa upya,je uhakika wa mshahara mwisho wa mwezi huu wa nane upo? Nawasilisha
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Dear Applicant, Ref: Call for Training Registration and Participation Confirmation Stage On behalf of our organization, I am obliged to inform you that after desk review of your cv and...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
GlaxoSmithKline Jobs - Tanzanians - 8/12/2014 Career Opportunity Medical RepresentativesGSK is one of the world's leading research-based pharmaceutical and healthcare companies. We research...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau ningependa kufahamu Kama muajiri kakakuachisha kazi kwa sababu kama Cost reduction stratergy, Je unastahili mafao gani Note: Sio kufukuzwa kazi ni kupunguzwa kutokana na gharama kubwa za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nawasalimia wana jf.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hello Tanzanians! Tanzania Mainland has been granted support from the Global Partnership for Education (GPE) for the period 2014/15-2016/17 to support implementation of the Primary Education...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
. .jamaani mimi ni Pharmacit Techn . .nina tafuta kazi yeyote itakayo ifanya ndani ya miezi 2 . .7bu bado ni mwanafunzi nipo likizo . .plz en plz . .help me thrgh . .+255 657 359 544 . .!!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habar zenu wanajamii natafuta kaz yoyote nina diploma ya business administration
0 Reactions
5 Replies
989 Views
Back
Top Bottom