Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Habari Wandugu na wazoefu wa hizi michujo. Hivi oral interview inakuwa husika na ishu gani hasa je ni kwenda kupigwa technal n proffsinal qns au nin hasa Nimewah attending interview kama mbili...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nipo wilaya Kongwa ni nurse, kwa alie mkoa wa Tabora anahitaji kubadilishana nami, naomba tuwasiliane kwa 0767846476
0 Reactions
0 Replies
787 Views
Tanzania Country Program   Vacancy Catholic Relief Services (CRS) is an International NGO specializing in Relief and Development activities through working with local partners. CRS...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni bora kuwa na taarifa sahihi kuhusu mchakato wa ajira unavyoendelea kwa kila usaili unaofanyika,kwa mfano usaili wa mwezi wa sita kuanzia tarehe 14-21 walisema watatoa majibu ndani ya wiki mbili...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mbona hawa jamaa wamekaa kmya sana.. mwenye taarifa tafdhali.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
1. POST: HEAD NATIONAL ICTBB Summary This position seeks to provide strategic leadership and direction to TTCL with the view to ensure that the company manages and operates the National ICT...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tunakodisha vyuma vya kujengea gorofa kwa mawasiliano 0715657077
0 Reactions
0 Replies
783 Views
Job Description Application Support Officer II reports to Manager, Information and Communication Technology Duties and Responsibilities i) To participate in the provision of professional...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
kwa anayejua kuusu kutoka kwa majina ya hizo nafasi. Mana haijulikan lin yatatoka, yametoka wakaguzi wasaidizi tu wa uhamiaji. Naomba tujuzane kwa anayejua tafadhari.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
anaependa kubadilishana nami nipo moro mjini nataka kurudi dar mimi ni office assistant
0 Reactions
0 Replies
784 Views
Institute of Management and Entrepreneurship Development (IMED) tunatoa fursa kwa vijana kufanya kazi kwa kujitolea ikiambatana na mafunzo ya diploma ya biashara. Kutokana na changamoto kubwa ya...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Mimi ni binti nina miaka 27, nimesomea mambo ya maendeleo ya jamii (community development). Nina diploma ya community development. Naomba mwenye kuweza kunisaidia kupata hata sehemu ya kujitolea...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
MUHIMBILI UNIVERSITY OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES EMPLOYMENT OPPORTUNITIES A. Muhimbili University of Health and Allied Sciences is inviting applications from suitably qualified Tanzanians to...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Wadau nataka kwenda ofisi za UNESCO za Dar es salaam lkn sijui ntafikaje.Wanasema wapo Kinondoni mtaa wa Mafinga(off Kinondoni road) Ntatokea ubungo naomba mwenye kuelewa vizuri anielekeze...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
habari nimeitwa kwa interview na hawa jamaa.....mwenye experience na hawa watu abt interview tushee kidogo....
0 Reactions
13 Replies
2K Views
VSP Specialist VSP Engineer Date Posted: 18 Jul 2014 I am working alongside my client, one of the world's largest oilfield...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Tanzania Police Force wametoa ajira. fungua www.policeforce.go.tz
4 Reactions
43 Replies
85K Views
Naombeni kujuzwa Iwapo kuna yeyote anayefahamu kama sumatra walishawahi kuita kweye usaili katika nafasi zilizotangazwa mwezi 5 mwaka huu 2014
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Introduction Earth Sciences Institute of Shinyanga (ESIS) is a Private Technical Institute licensed by the National Council for Technical Education of Tanzania (NACTE) with full Reg. No...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wana JF, jana mlitupa taarifa ya kuitwa kazini kwa wale 70, baada ya kuona hayo, nilikimbilia kwa muuza magezeti, nkanunua gazeti la uhuru, kuangalia jina langu halipo. Sikukata tamaa nkanunua...
2 Reactions
53 Replies
7K Views
Back
Top Bottom