Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Habari zenu wana JF,natafuta nafasi ya kufundisha kwa muda wa mwaka mmoja masomo ya physics na mathematics. plz nitafuteni kwa namba hii.0712708953
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari zenu wakuu ..mimi nimehitimu masomo yangu mwaka jana ila bado sijapata ajira na hali ya maisha nyumbani kwetu ni tete sasa nilipata wazo la kuwa na plan A NA plan B YAANI NITAFUTE KAZI NA...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU ALAZIMISHWA KUREKODI MKANDA WA NGONO Kweli dunia ina mambo! Kuna watu wanajaribu kutumia kila fursa inayopatikana kujinufaisha kwa kupata fedha hata ziwe ‘chafu’...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu heshima kwenu, nina ndugu yangu amemaliza diploma ya maendeleo ya jamii mwaka huu na hivi sasa yuko kijijini.Hivi karibuni aliniambia kuwa amesikia (kwa wenzake) kuwa nafasi za ajira za...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Habarini wana jamvi, poleni kwa mliokumbwa na unyama wa TPDC. Kwenu wakuu wa kazi TPDC ni dhahiri mlikusudia mliyoyafanya kwa wanyonge wananchi. Nikiwa kama mmoja wao nimehuzunishwa na the way...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Kuna ugonjwa huu umeingia kwa vijana kushinda JF na Facebook wakijifanya wanasiasa wakitukana na kukejeli wakubwa,,, wakilalamikia ajira nchini hakuna (ni kweli) lakini nigewaomba kitu kimoja...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Wakuu barrick walitangaza post mbalimbali deadline ilikuwa tarehe 18 mwezi wa 7. Kwa yeyote mwenye taarifa na post zile atujuze kama wameita au bado
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Natambua kuwa kuna vijana wengi sana ambao wamemaliza masomo yao lakini bado hawajapata ajira na wanatamani ipo siku watapata ajira. Pamoja na juhudi wanazozifanya, naomba nisiwe mchoyo wa mawazo...
12 Reactions
16 Replies
4K Views
Heshima zenu wakuu. mimi nipo dar maeneo ya ubungo na nina jenereta langu aina ya tiger saiz ya kati imegoma kabisa kuwaka na tangu niinunue ina miez minne tu. kwa iyo naomba mnielekeze sehem...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
hakumaliza school coz ya ajali ya gari'' sasa anatafta kazi hana cheti!!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
guys natakiwa kwenye final interviews its all about excel , i will be given computer and excel sheet with questions , pls nipen ma formula na techniques wadau, nimetumia excel ofcn for more thn...
0 Reactions
31 Replies
7K Views
Jaman kwa yeyote akiitwa NSSF tujuzane au majina yakitoka mtuambie
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Naenda kutuma maombi ya ajira jeshi la polisi, twendeni jamani usidanganywe na mtu katume maombi tu OVER
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habarini wakuu nilikua na shemeji yangu alikua anahangaika kutafuta kazi kwa muda mrefu sana zaidi ya miaka miwili lakini mwaka huu mwezi february aliitwa kwenye usaili na hivi juzi kapigiwa simu...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu,nimebahatika kuitwa kwa ajili ya interview kampuni inaitwa Keys marketing ila siijui malipo yake na utendaji kazi wake ukoje, kwa yeyote anaeijua naomba anisaidie kunifahamisha.
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu wana jamvi natafuta mtu mwenye sifa tajwa hapo juu. Nitafurahi kama atakuwa mwandishi wa habari au ata kama anaweza kufanya kazi hizo hapo. MASHARTI. 1. AJI KUAJIRIWA ILA...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Mimi ni kijana,mwanafunzi katika moja ya vyuo vya afya hapa nchini.Naomba kwa yoyote mwenye nafasi ya kazi aniajiri niifanye kwa muda huu wa likizo wa miezi miwili Ninaweza 1:Kufundisha kidato...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Up date zozote kuhusu TIB BANK!!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ikitokeaa unakutana na mtu mwenye cheo cha DIRECTOR, MANAGER, SUPERVIORS nk akatoaa kauri kama hiyo title tafasili yake kwa jamii nini.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Napenda sana kujiunga na jeshi la police.Nikiwa chuo 2013 nilijaza form lakini sikuitwa kwa sasa niko mtaani form za kujiunga zimetoka kwa wahitim tu.Je tulioko mtaani na tunamoyo wa uzalendo wa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Back
Top Bottom