Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Kama unatafuta kazi tajwa na unasifa nicheck.0658190222
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Location: Jersey City, NJ Contract: 1+ year Rate: OPEN!!!! W2 ONLY- NO CORPS OR THIRD PARTIES Sr. Security Analyst Please reach out with resumes and manager references if interested. ·...
0 Reactions
0 Replies
883 Views
natafuta vijana wenye bidii na uwezo wa kujiongoza watoke mkoa wa mwanza shughuli ni utembezaji wa mikoba na vitenge malipo ni per day aliye tayari ani pm
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu wana jamvi, mm ni kijana kutoka zanzibar, hii kampuni wamenipigia simu kwmba wananihitaji cku ya jmosi kwa ajili ya kufanya interview, naomba kwa anaefahamu hii kampuni anipe ushauri...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mimi ni mhitimu wa chuo cha kilimo ngazi ya cheti, natafuta ajira ya muda, naomba kwa yeyote atakayeguswa anifahamishe kupitia nambari yangu 0762001136. AHSANTE
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tembelea www.recruitme.co.tz kwa kutumia simu yako ya mkononi au kompyuta 1. Fungua palipo andikwa “Register/Upload your CV” 2. Ingiza Email yako au Namba yako ya simu ya mkononi 3...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Naitwa mwalimu James Mbonde. Kuna Shemeji zangu NEEMA Na zulfa wako tayari kufanya kazi za ndani popote. Wapo hombolo Dodoma kwa mawasiliano call 0689710292
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Zaidi tembelea tovuti yao www ajira.go.tz
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Kasoma DIT, mwenye uhitaji wasiliana naye kupitia 0754729751
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Salaam, Tunahitaji Vijana waaminifu, mahili, makini na wenye moyo wa kupenda kujifunza na kuchapa kazi katika mazingira yeyote. KAZI ZA KUFANYA; Watafanya kazi za kutafuta masoko katika maeneo...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Ndugu wanajamvi mm ni mwalimu ajira mpya nimeripoti tarehe 3/5/2015 hapa kituoni na tangu kipindi hicho mpaka sasa sijapokea mshahara nifanyeje? Naombeni ushauri!
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habarini wadau,ninaomba kupewa uelekeo kwa wenye uzoefu huu,kama ninakwenda mkoani geita kutokea mikoa ya kaskazn hususani Arusha kwa mabasi ni njia gani wanatumia,na naul ni sh.ngapi?Tafadhali
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Jamani kuna huyo ndugu yangu namleta kwenu kwa sifa tajwa hapo juu na kwa kuongezea anayo leseni,anatafuta kazi ya udereva magari yeyote anaendesha,hvo ukiwa wewe mwenyewe rafiki,ndugu yako au...
0 Reactions
0 Replies
761 Views
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT'S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref. Na EA.7/96/01/G/69 23nd SEPTEMBER, 2015 VACANCY ANNOUCEMENT On behalf of the DAR Rapid Transit...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari wanajamii Leo nimepigiwa simu ya kuitwa kwenye usaili wa nafasi ya Mail room pale US embassy hivyo naomba mwenye ushauri au uelewa wa maswali yanayoulizwa anijuze tafadhali
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Jana jumatatu SAA kumi na moja jioni nilipigiwa simu na mtu wa LAPF kuwa natakiwa kuhudhuria interview Dodoma jumatano tareh 16/09 saa tano asbuhi.sasa maswali ya kujiuliza: 1.hivi mtu huko Dar...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Nimekuta tangazo la kazi mahali. Nimewapigia via namba ya simu moja wapo walioiandika kwenye tangazo. Nimepiga simu akapokea mdada. Akaniuliza 'umeona wapi tangazo letu'? Nikamtajia. Akaniuliza...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wanajamvi chekini majina hapo wenye bahati mkafanye yenuuuuuuuuuuuuuuuu,ila mbona ACCOUNTANT WAJAITA?
0 Reactions
16 Replies
4K Views
TANGAZO LA KAZI Mkurugenzi wa Halmashaya Maji wa Bariadi anatangaza nafasi za kazi themanini na moja (81). Maombi ya kujaza nafasi tajwa hapa chini yanakaribishwa kutoka kwa mtanzania yeyote...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Jamani naomba kujua anebadilisha kazi kwa mwajiriwa wa halmashauri ni nani ? Mfano mi nilikua mwalimu msingi, nikienda masomoni degree ya education management, nimerud but kazi ya kufundisha...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom