Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Kwako mliki wa Jamiiforums. Mimi ni kijana wako wa kitanzania. Miaka yangu ni 24. Elimu yangu ni darasa la saba. Niliwahi kuleta uzi hapa Jamiiforums kuomba kazi ya kuchora katuni kwenye gazeti...
10 Reactions
49 Replies
9K Views
Habari Ndugu zangu, Nahitaji msaada wenu juu ya taasisi hii, Mdogo wangu aliomba nafasi ya kazi 'Voters and Civic Field Education Officer' lakini ametumiwa email kuwa amekosa nafasi, pia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Anahitajika Haraka Afisa Masoko Mwenye uzoefu na kazi usiopungua miaka miwili, angalau awe na Diploma ya Masoko na kuongea kingereza vizuri. Umri wa waombaji usizidi miaka 30 Wasichana watapewa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu naomba kwa anayefaham chuo cha MOUNT UKOMBOZI KILICHOPO DAR ES SALAAM ANIJUZE,vp kuhusu ubora wake,na vp baada ya kumaliza hapo kama naweza kupata ajira
0 Reactions
3 Replies
3K Views
A.alaykum wadau wenzangu wa forum hii, Binafsi roho inaniuma saana pale navyoona wadau wakitapeliwa na wangine bila kufahamu kuwa wanatapeliwa Nilikua muhanga wa kutokua na ajira kwa mwaka 1 tangu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau habarini mm ni mtanzania ninampango wa kwenda kupiga box ughaibuni sasa naombeni ushauri nchi sahihi ya kwenda na jinsi ya kupata kazi kirahisi.nawakilisha
0 Reactions
138 Replies
29K Views
habar za humu, wanajamvi MIMI NILIKUWA MWALIMU WA DIPLOMA NILIAJIRIWA NA SERIKALINI, LAKINI MWAKA 2009 NILIAMUA KWENDA CHUO KUSOMA KOZI NYINGINE YA UHASIBU,NIKAMALIZA 2012, SASA NINETAFUTA KAXI...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nauliza jinsi ya Ku update taarifa kuptia recruitment portal ya PSRS
0 Reactions
3 Replies
2K Views
PECO ltd , is aprivate company located at kinondoni dar es salaam, it deals with electronic services, importation and sales in Tanzania, the company is seeking for an employees to cover the...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Anahitajika msichana wa kazi ya stationery haraka. Awe na ujuzi wa 1. Computer application, that is; word 2007, Excel 2007 and Publisher 2. Photocopy Machine application. Photocopying...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Wanahitajika vijana wa kike wachapakazi Kwa ajiri ya kufanya kazi katka mgahawa uliopo tabata; karbuni sna PGA 0768879361 au 0676445808
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naitwa Paul Mohamed, Nimehitimu Bacholor Of Science in Biology (BSC. Biology) Chuo Kikuu Dodoma mwaka 2013. Nimejaribu kuhangaika kutafuta ajira lakini jitihada zangu zimegonga mwamba. Nimepata...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Mwl Jenipher wa Irikisongo sec Arusha anatafuta mwl wa kubadilishana nae anefanya kazi mwanza ili yeye aje mwanza na uyo mwl aende Arusha piga 0769250246 kumpata
0 Reactions
0 Replies
918 Views
naitwa peter, natafuta kazi upande wa pharmacy, uzoefu na ujuzi ninao wa kutosha sana, najua vizuri sana na kila kitu kinachohusu pharmacy, nipigie simu namba hii +255719902822
0 Reactions
0 Replies
801 Views
Hivi zile kazi za mail clerk us embassy wameita,na zile za registration clerck za UNHCR nazo vipi wameita?KADCO nao vipi wameita?
0 Reactions
0 Replies
994 Views
guys Anaejua mitihani ya hawa jamaa inakuaje, materials naweza pata wapi na kwa kipindi kifupi unaweza bana nondo za kutosha kufaulu paper plse msaada
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wapendwa mimi ni msichana wa miaka 23 natafuta kazi ya kuuza duka liwe la nguo, vipodozi au vitu vingne. elimu yangu kidato cha nne naishi mabibo dar-es-salaam. mshahara uwe kwanzia 250,000 kwenda...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
mimi ni msichana mwenye degree ya uhasibu katika chuo cha uhasibu tanzania(TIA),GPA 3.2 pamoja na uzoefu wa kazi kwa muda wa mwaka mmoja,naomba nafasi ya kujitolea ili nipate ujuzi zaidi.Asante
0 Reactions
8 Replies
2K Views
habar zenu,,natafuta kazi ya kujitolea ya uhasibu,nina degree ya uhasibu,na uzoefu wa kaz hii kwa muda wa mwaka mmoja,,napatikana iringa,naombeni msaada wenu GPa 3.2, chuo TIA.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tunatafuta kijana wa kike au wa kiume ambae anabidii ya kujiendeleza, muaminifu, sharp, mwenye uwezo wa ku manage kazi tofauti tofauti na kuji manage mwenyewe, awe highly organized. Huyu atakuwa...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Back
Top Bottom