mchilo
Member
- Sep 14, 2015
- 7
- 1
Wapendwa mimi ni msichana wa miaka 23 natafuta kazi ya kuuza duka liwe la nguo, vipodozi au vitu vingne. elimu yangu kidato cha nne naishi mabibo dar-es-salaam. mshahara uwe kwanzia 250,000 kwenda juu kulingana na kazi yenyewe , ninalugha nzuri kwa watu wote.
mawasiliano:0654 943 124.
AHSANTENI
mawasiliano:0654 943 124.
AHSANTENI