Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

1. Process Manager Assista nt –Distillery Kilombero Sugar Company Limited, the largest Producer of sugar is inviting a dynamic and result oriented person to fill a vacancy of Process...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajamii tafadhari anaejua center nzuri yenye walimu wazuri wanaofaulisha ACCA professional level hapa Dar es salaa naomba kujulishwa plse na kama mnajua bei zao pia Ahsanteni
0 Reactions
1 Replies
864 Views
Anaitajika msichana mwenye umri usiopungua miaka 25 na kuondelea wa ofsini kazi yake ni kupokea mteja na kumsikili ni vzr pia kama atakuwa kapitia chuo chochote cha neceng kwa maelezo 0754400495
0 Reactions
0 Replies
657 Views
BD Clinic is a dental clinic of the advanced dentistry located at Masaki Dar es Salaam. BD Clinic is now looking for a Midwife with experience of at least three years. To apply please send your...
0 Reactions
3 Replies
794 Views
Kwema huko?? Niko pori huu kama mwezi Wa 3 toka nime pangiwa kazi huku. Ila kiukweli maisha ya huku yana niwia ngumu niki linganisha na kiji mshahara hiki nacho kipata.. yani ndio basi tena haki...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mimi naitwa francis Joshua nko musoma natafuta company ya kufanya nao kazi Nina certificate level kwenye electric installation nimeitimu Chuo 2012 veta Mwanza Contact zangu ni 0754071881
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Majibu ya mchujo saa ngapi?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama unahitaji kupata malipo kwa mtandao fungua hii link then fuata maelekezo ni rahisi sana na unaweza usiamni unaweza pata mpaka $1000 Jobrize.com - Earn from Your Home, Earning website for...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ninahitaji mtaalamu wa 'graphics' anitengenezee lebo.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT'S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref. Na EA.7/96/01/H/73 09 October, 2015 VACANCIES...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Hawa jamaa wanalipwa Tsh. Ngapi ?kuna chalii anaulizia amechaguliwa post hiyo
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Anahitajika mwanasheria aliyesajiliwa TLS, ni Ajira kwenye Shirika la Umma Interview itafanyika Ijumaa, ajira ni ya permanent and pensionable. Atakayehitaji taarifa zaidi atume msg kwenye...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama kuna Mtu au kampuni inataka private photographer and videographer please send me email: Successtime@mail.com
0 Reactions
2 Replies
734 Views
Click the link below.. Mimi Jay Blog
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Samahani wakuu, kuna kiwanda kipya cha viatilifu kipo kibaha.nilisikia kinahitaji watu zaidi ya 150 kwa ajili ya ajira.tulipeleka cv zetu muda mrefu tangu mwanzoni mwa mwaka huu,sasa sijui...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
http://jobrize.com/index.php?ref=574683
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwanza napenda kuwapongeza UTUMISHI kwa kuboresha utaratibu wa kuomba nafasi mbalimbali serikalini. Lakini ni jambo la kushangaza pale mtu unapoitwa kazini wanasema barua za kupangiwa kituo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
habari wana jf Nilikuwa naomba msaada kwa mtu aliyefanikisha kuomba kazi TRA maana kila nikiingia hazipo kwenye website yao kama kuna mtu anajuwa njia mbadala ya kuomba anisaidie Tashukuru...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Naulizia Kama Kuna Mtu Anataarifa Yoyote Juu Ya Kutoka Kwa Majina Hayo Au Anaejua Ni Lini Yanatoka,pia Posho Watatoa Sh Ngap!
0 Reactions
0 Replies
2K Views
UNITED NATIONS YOUNG PROFESSIONAL PROGRAMME OPEN TO TANZANIANS! Umoja wa Mataifa Umetoa nafasi za ajira kufanya kazi kama watumishi katika Secretariat ya UN. Kutakuwa na mitihani ya kuingia...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Back
Top Bottom